
Safari Guide | Experience Planner I turn Africa into your story 🌍 🐾 #GoWithJohnsonSafaris
Arusha, Tanzania
Joined February 2012
- Tweets175K
- Following613
- Followers6.3K
- Likes59K
Pinned Tweet
Karibu sana.
.once you're in Arusha, na unataka good services za kwenda "mbugani/porini"... @johns_bobby ni mtu sahihi kwa 💯.
LoMaYaNi retweeted
Take care of your parents, just as they took care of you. Be loving, patient and present.
Majaribio na watu ndani?!!!!! 😳
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, CP Salum Hamduni amesema uchunguzi uliofanywa na wataalamu umeonesha kuwa meli ya MV Mwanza iko salama baada ya kugonga mwamba majira ya asubuhi wakati ikifanyiwa majaribio kabla ya kuanza safari zake rasmi.
Aidha, ameeleza kuwa tayari wamefanya mawasiliano na Wizara ya Uchukuzi, ambapo Serikali imeelekeza kufanyika kwa uchunguzi wa kina ili kubaini chanzo halisi cha tukio hilo pamoja na kiwango cha madhara yaliyojitokeza.
1
131
Dogo kafanana na @thegame
95
R.I.P
DAR: Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Irene Charles Mbonde amesema "Mgonjwa Angel Wariaeli amefariki usiku wa kuamkia Novemba 18, 2026 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali yetu. Tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huu.”
Ikumbukwe, Angel alijitokeza mitandaoni mwanzoni mwa Mwaka 2026 akiomba msaada akisema alipata majeraha Oktoba 29, 2025. Novemba, 2026 alipokelewa Muhimbili kwa matibabu kabla ya umauti kumfika.
Fuatilia zaidi jamii.app/KifoChaAngel
#JamiiForums #JFMatukio
2
178
LoMaYaNi retweeted
A man recreates a photo of him with his dad in 1989 and him with his son in 2026 at the same place.



























