
Mtanganyika | Mkulima | Polygamist |Afisa Ubashiri | Beer & Bebez | Babu | Katikati ya usiku nitaamka nikushukuru ๐๐ฟ #VituVyaPeponi #MatomboStyleโญ๏ธ
Matombo, Morogoro, Tanganyika
Joined November 2010
- Tweets231K
- Following542
- Followers71.6K
- Likes32.6K
Pinned Tweet
UKWELI MCHUNGU: Kama baba yako angeamua kukwambia mabaya aliyokuwa anafanyiwa na mama yako hiyo heshima unayompa mama yako leo wala usingempa. Mama zetu tunawaheshimu na kuwapenda kwa sababu tu baba zetu waliamua โkufa kiumeโ na mambo yao moyoni. Heshima kwa wababa/wanaume wote!!
NYANI MZEE retweeted
"Sisi ni Kahawa,Kahawa ni sisi"
#CoffeeGang
โ๏ธ๐Nanjilinji CBD
Kuna mzee mwenzangu mmoja namfahamu anakula mbaazi miaka zaidi ya 15 sasa yuko poa amenawiri halafu anapenda teketeke kama mimi tu. Mungu alitukosea sana kuuweka huu ugonjwa kwenye unyevu.
NYANI MZEE retweeted
Ukipoteza fahamu kisha ukazinduka baada ya siku tatu; utatumia kigezo gani kujua umezinduka ukiwa nchi ya Afrika?
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Usije chekelea ukadhani ni namba ya chumba cha hoteli๐๐๐


























