
Head of Programs @UNATanzania
Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2012
- Tweets7.3K
- Following704
- Followers839
- Likes2.6K
Mauwaji ya wanawake, wanaume na watoto kiasi ni matokeo ya ukizaa usituletee mzigo hapa, ukiolewa usirudi hapa, huyo mwanamke ni dhamani yako. Hii imesababisha hata pale watu wapo ona hatari kuendelea kuvumilia kwakuwa kwao wameshaambiwa wasirudi.
32
Maendeleo ya taifa lolote kwa namna moja yanaongozwa na aina ya mazungumzo wanachi wanafanya. Taifa linajadili ngono na mpira 24752365. Leo hata usafi mpaka Rais aseme jiji chafu.
161
Sema tu basi ila mtu kama babalevo angejitahidi kuwa mlezi wa vijana kwenye sanaa. Sio kuwa na tabia za kugusisha nyaya.
1
42
