Unatumia WhatsApp, Facebook au Instagram kila siku.!?
Karibu kwenye semina ya
Jinsi ya Kuendesha Biashara Kupitia WhatsApp, Facebook na Instagram,jifunze👇🏼
➡kupata wateja mtandaoni
➡ Kuandaa maudhui
➡ Mbinu za kukuza mauzo
Jisajili WhatsApp 0675931626
#LychApp
Umbali haujawahi kuwa kikwazo kama unatumia Lych App
Sasa unaweza kupata taarifa Biashara yako kwa urahisi kupitia simu yako tu📱
kupata ripoti za mauzo ya bidhaa
Inakuwezesha kujua Mwelekeo wa Biashara yako.
Download App ya Lych sasa
#LychApp
🎯 Tumefika Robo ya Mwaka!
Je umetimiza malengo ya Biashara yako hadi sasa?
➡Lych App tupo kukusaidia mfanyabiashara kutimiza na kuyafikia malengo yako kwa urahisi zaidi
Tuambie 👇🏼
-Umefikia asilimia ngapi za malengo?
-Umekutana na changamoto gani mpaka sasa?
#LychApp
New WhatsApp Chatbot kutoka Lych😊🚀
Lychat inakuwezesha kufanya yafuatayo kwa kutumia WhatsApp tu📱
➡kufuatilia muenendo wa Mauzo na mapato
➡Hifadhi kumbukumbu za Duka lako
Tuma ujumbe WhatsApp ili kujiunga
0678372079
Je! Unajua unaweza kuwa na biashara inayosimamiwa kwa urahisi kabisa.?😊
Fikiria jinsi itakavyokuwa rahisi kudhibiti mauzo, taarifa za wateja, na mapato yako yote kwa kutumia Lych App
Download Lych App sasa na ubadili biashara yako
#LychApp
➡Taarifa zote kuhusu Biashara yako zinakufikia kwenye Simu yako📱
➡Rahisisha usimamizi wa Biashara yako na Lych App.
➡Jisajili sasa na ufurahie.
➡Fikiria sasa unaweza kuunganisha maduka yako yote sehemu moja.📱
➡Lych App inakuwezesha ↪kufuatilia mauzo
↪kuunganisha wafanyakazi wa maduka yako
↪kupokea ripoti za maduka yako kupitia simu yako tu
➡Download LychApp leo na ujisajili
Kama huna zawadi ya kufungua,fungua account ya Lych App
#ValentinesDay
Valentine hii, onyesha upendo kwa biashara yako! ❤️
Tumia Lych App 👇🏼
Kuufuatilia mauzo, hifadhi taarifa za wateja, na kuwa na udhibiti kamili wa biashara.
Penda biashara yako, simamia vizuri, na ulete mafanikio zaidi.
Tumia Lych App leo.
Anza mwaka mpya kwa njia hii rahisi ya kuhifadhi taarifa za biashara yako! 🛒
➡ Lych App inakuwezesha kuhifadhi taarifa na ripoti za biashara yako kwa urahisi.
✅ Hifadhi ripoti za mauzo
✅ Hifadhi taarifa za wateja
Usikose fursa hii ya kuboresha biashara yako mwaka huu!🚀
Hey @neezaneeza Kama huna zawadi ya kufungua siku ya leo😁
Fungua hata account yake @lych_app
#Happyboxingday






















