In perfect world everyone is blind | @ManUtd |@realmadriden | @blackYellow |@inter_en | @yangasc1935 |Spooky place 134M...
Tanganyika |A-Town |Sokoni one
Joined December 2011
- Tweets318K
- Following4.4K
- Followers18K
- Likes955K
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
We will soon form a government
Long live Likud
Long live Bibi
The undisputed political titan
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Mdogo wetu Coletha Ntindyicha bado anashikiliwa na vyombo vya dola, Leo niliingia Mahakamani kuungana na Wakili Mahinyila na Mvanda kupambania uhai wa mdogo wetu baada ya govt kuweka mapingamizi, Mahakama imepiga chini mapingamizi na kesi itakuja ijumaa kusikilizwa. #FreeColetha
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
“Tunaomba Mahakama iweze kushurutisha Serikali ya Kenya kumleta Twaha Mwaipaya mbele ya Mahakama akiwa hai au maiti…”-; @husskhalid
Director of Vocal Africa @VOCALAfrica_
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Unamteka binadamu mwenzako labda kwa sababu ya namna anaongea!, unamtesa na kumuua ili iweje? Ukimuua wewe unapata nini? Tuseme unaendelea kutawala alafu mwishoni inakuwaje yani?. Wewe unaishi milele au?
Kuna wajinga wanashangilia utekaji na mateso ya watu, Wewe nawe ni mshirika
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
WHERE IS TWAHA??? FREE TWAHA!!
Watanzania tuna kila sababu ya kupambana ili kukomesha huu uongozi haram uliotuua kisha wakaiba uchaguzi siku ta October 29 2025….
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Replying to @Fon_Miko
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Less than 24 hours after leaving Citizen TV, Yvonne Okwara has landed a new role at UK-based Shuga Global as Head of Investments and Partnerships.
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Nimeangalia kwenye mtandao wa You Tube mahojiano ya Chanzo Tv.Mwandishi Khalifa na kaka wa Tundu Lissu aitwaye Alute Lissu Mughwai Mzee kanyooka kama rula.Kaeleza jinsi alivyoitwa na Kiongozi mkubwa wa taifa iliaandike barua ya familia kuomba msamaha kuhusu Lissu akakataa.
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
“Vijana wa Maria” nawasalimu na ninawapenda sana wote ❤️
Tusichoke! Nawashukuru kwa upendo wenu!
Wale waliokimbilia wapendwe na wapumbavu mafisadi na wasaliti leo wako wapi? Wako wanalalamika kama mademu kwenye Whatsapp group!
Heshima ya mtu ni kusimamia Haki si kupokea vijisenti vya watesi
Keep the 🔥 burning!
#TutaelewanaTu
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
#BREAKING: VOCAL AFRICA YAFUNGUA KESI YA HABEAS CORPUS KUFUATIA KUTEKWA KWA MWAIPAYA KENYA.
Shirika la Vocal Africa limewasilisha ombi la habeas corpus katika Mahakama ya Milimani, likiitaka serikali ya Kenya kumfikisha mahakamani akiwa hai mwanaharakati wa Kitanzania Twaha Mwaipaya, aliyeripotiwa kutekwa kimabavu katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos, Jumapili Oktoba 25.
Akihutubia wanahabari nje ya mahakama, Mkurugenzi Mkuu Hussein Khalid alisema: “Tuko hapa kuiomba mahakama isurutishe serikali ya Kenya imlete Twaha Mwaipaya mbele ya mahakama hii akiwa hai… Mwaipaya ana haki ya kulindwa kama Mkenya yeyote.”
Tukio hili limeibua sauti kali kutoka kwa Amnesty International, viongozi wa upinzani na wanaharakati wa haki za binadamu, wakionya kuwa Kenya inageuka kuwa ardhi hatari kwa wakimbizi wa kisiasa.
Serikali ya Samia Suluhu Hassan nayo imekosolewa kwa kuendeleza msururu wa unyanyasaji dhidi ya wapinzani na wanaharakati, huku kutoweka kwa Mwaipaya kukichukuliwa kama sehemu ya msako mpana wa kisiasa.
Wakati huohuo, serikali ya Kenya imewekwa lawamani kwa kuruhusu utekaji wa kuvuka mipaka, ikikumbushwa kisa cha Novemba 2024 ambapo kiongozi wa upinzani wa Uganda Dkt. Kizza Besigye alitekwa jijini Nairobi na kupelekwa Kampala, pamoja na jaribio la Januari 2025 kumteka mwanaharakati wa Kitanzania Maria Sarungi Tsehai, aliyeachiliwa baada ya ghadhabu ya umma.
Sasa, kesi hii imeiweka mahakama ya Kenya katikati ya mzozo wa kikanda, ikipima ulinzi wa kikatiba, uwajibikaji wa serikali na usalama wa sauti za upinzani katika Afrika Mashariki.
Jiunge na Mwanzo TV Membership hii leo ili usipitwe na taarifa Kuu za Habari 👉 youtube.com/@MwanzoTvPlus
Jambazi la waafrika wenzake
East Africa's most notorious slaver, Tippu Tip hated being told he looked more African than Arab. He believed Africans were sub human and he duly overcompensated.
An 1887 report in The Times described him as contemptuous of Black Africans and said he referred to white men as his “European brothers.”
Tip was actually a product of the Arab slave trade, as he a mixed Arab person in Zanzibar. Both his paternal and maternal grandmother's were enslaved African women from the interior who had been used as sex slaves.
He was born in Zanzibar as Hamad ibn Muhammad. Some say he earned the nickname Tippu Tip, because that’s how the guns that he used sounded, while others
believe it’s because of the prominent, involuntary nervous twitch in his eyes.
While he was born at the peak of the the East African slave trade run by Omani Arabs, he took slave raiding and trading to a whole new level. He led caravans all the way to what is now DRC because by the 1860s, the Tanzanian coast was already depleted of people to enslave.
One of his methods would be to burn down entire villages then kidnap women and children and use the captives to make the men lose the will to fight.
He was a crafty man. When the European colonialist came, he adapted. In 1887, through Henry Morton Stanley, Tippu Tip became governor of the Stanley Falls district in King Leopold II’s Congo Free State. A major slave trader was given an official position in a colonial administration that claimed to oppose slavery.
So when the British abolished slavery in their territories, he went on to supply King Leopold of Belgium with 'labour' for his mines and plantations.
Tip knew the interior if Africa so well, He apparently helped European explorers like David Livingstone and Henry Morton Stanley to map out the interior of Africa. This was consequential during the Scramble for Africa, because then they had a map of Africa to use during the divison
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
This is Samia Suluhu’s ancestor!
Now y’all understand why she proudly said she massacred us Tanganyikans and Zanzibaris were safe last year during #TanzaniaMassacre