immortal (@managerIss) header
immortal (@managerIss) profile picture

HelpusHelpyou

Mwanza Ukerewe Tanzania
Joined April 2022
Photo by immortal (@managerIss)Photo by immortal (@managerIss)Photo by immortal (@managerIss)Photo by immortal (@managerIss)Photo by immortal (@managerIss)Photo by immortal (@managerIss)Photo by immortal (@managerIss)Photo by immortal (@managerIss)Photo by immortal (@managerIss)Photo by immortal (@managerIss)
Jamaa siyo siasa sasa wanafanya na wanajimaliza kila wakitoa neno. Wajitengenezea chuki kupitiliza.
2
Replying to @cafeenglish_
I appreciate your explanation.
33
Replying to @SuphianJuma
Sema unajiwekea mazingira magumu sana Suph, siasa hujui kabisa na huamini ktk maisha baada ya siasa lakini na mwinuko wa Gen Z. Hata hao wanaofaidi hii nchi wana ukiasi mfano Nape ila wewe na yule jamaa wa kigamboni mmepigwa upofu kabisa. Mbaya zaid TAl is your region's man.
1
1
21
1,418
Replying to @NCIC_Ug
Too much unnecessary writing. WHERE IS SHE? WHERE IS @AloikinOpoloje?
6
Sema dada yetu @AloikinOpoloje ipo na IQ kubwa sana. Yaani alikuwa amekaa anasubiri huduma Airport lakini akanusa kuna kitu haipo sawa. Akachukua video na ku tweet haraka sana ili kutujulisha her last situation, na kweli walipanga njama mbaya dhidi yake ila mpaka hapa wame fail.
17
Replying to @EsirEid
Big NO. Kwa sasa tunamtambua kama sehemu ya genge la utekaji dhidi ya wakosoaji wa mifumo kandamizi. Ukwe wake ni kwa yule jamaa aliyeoa binti yake tu.
1
1
54
Replying to @munyamambogo
Kahamia wapi?
1
33
Tomorrow! Kesho usikose X Space maalum ya Polepole na Utekaji Tanzania! Make sure you are part of this important space - it will be hosted HERE 👊🏽🔥 #FreePolepole #FreeAllPoliticalPrisoners in #Tanzania
5
154
3
588
12,074
Replying to @bakhita_esther
You're useless. Where was the gvmnt before Eric's intervation.
4
Replying to @MariaSTsehai
Yaani inatumika nguvu na asili mali kubwa kuendesha kitu cha uongo ambacho wanajua lazima watamuachia. Yaani kumkomoa tu bila kuona kwamba wanamkomaza kisiasa.
2
394
Replying to @MickyJnr__
You're useless.
1
Replying to @pastajoshuatz
Sema kwa namna anavyotembea na namna anavyosimama sidhani kama yeye ndo anakula. Muwe mnaangalia engo zake. Si za mtu anaekula ila ni anticlockwise.
2
311
Leo #MariaSpaces tunajadili: Hakuna wa kutuokoa, tutajikomboaje? #SusiaBidhaa #FreeTunduLissu Bila sisi #WenyeNchiWananchi kuamua hakuna mabadiliko Tumeshindwa hata kususia bidhaa? Tunataka nini? Leo tuongee na kuelezana ukweli saa 2 uck
1
34
1
99
6,814
𝐍𝐈𝐒𝐒𝐀𝐍 𝐉𝐔𝐊𝐄 🔥 𝐒𝐓𝐘𝐋𝐄 𝐏𝐎𝐖𝐄𝐑 𝐂𝐎𝐌𝐅𝐎𝐑𝐓 𝐏𝐄𝐑𝐅𝐎𝐑𝐌𝐀𝐍𝐂𝐄 𝐄𝐋𝐄𝐆𝐀𝐍𝐂𝐄 Year 2010 Engine HR15 Capacity 1498cc ⛽️ Petrol Mileage 81K Auto FEATURES Sport Rims New Tyres Foglights Android Tv Clean (In&Out) PRICE TSH 16.8M ☎️0786 518866 REPOST 🙏
1
12
1
16
1,201
Replying to @Jaguar_455
Wapige 🚫 mkuu wasikupe stress.
179
Replying to @kigogo2014
@kigogo2014 sasa hivi anajiongelesha tu.. amekuwa kama mzee wa mizimu yaani kila mtu kashampuuza.
3
Replying to @bonifacejoseph_
Nakumbuka kuna bro niliwahi kumwambia..Lile daraja pale Tazara halitakuwa solution ya jam, sbb gari zikimaliza daraja zinakutana na ufinyu wa barabara. Tulihitaji njia 4 kwenda na njia 4 kuingia mjini na si huko tu. Kama ulivyosema watatanua tu barabara na ni swala la muda tu
1
8
739
Replying to @bbcswahili
Na huku Ukerewe mlifika kufanya uchunguzi wenu? Halafu msiwe mnafanyia mijini tu. Huko tunajua hakuna shughuli kwa hao washindia chips na kulalia chips.
1
6
476
Replying to @Eric__Bernard
Tuna msiba wa Angel mliyempiga risasi #MO29. Haya yasubiri kwanza.
260