MSB retweeted
Wakuu upokeaji wa simu hasa kwa namba mpya kama huzijui pokea kwa heshima ni muhimu sana, niliwahi kosa dili hivihivi.
Kuna kazi niliwahi apply mwaka 2019 nilitumiwa tangazo na mwana mjini green app akanambia jaribu.
⤵️
MSB retweeted
Naona AzamPesa wamepania sana huku kitaaa wanajitahidi sana kutoa elimu kuhusu AzamPesa wanavofanya kazi na wadau wengi wanajiunga kwa sasa tena ukijiunga watoa huduma wanakupigia simu kukuelekeza namna nzuri ya kutumia🫡🙌🏾
MSB retweeted
Changamoto zipo ila hakuna kukata tamaa, mapambano yanaendelea.
Huduma za Tiketi ni za uhakika 🙏🏻
MSB retweeted
Replying to @masuba___
Watu wanatafuta viwanja kwa gharama yoyote na sehemu yoyote mradi pafikike na pawe halali
Dar kuwe na satellite city ili kupunguza msongamano katikati ya miji. Mjini kumejaa watu wanahamia nje ya mji kazi wanafanya mjini misongamano haitoisha hata wakijaza bababara
MSB retweeted
Replying to @masuba___
NIKIPATA HELA LAZIMA NIFANY KITU CHA MAANA MFANO KUJENGA NYUMBA HIO NI SHERIA KABISA
MSB retweeted
Vijijini tofali ya kuchoma 1 ni 100 usafiri ni 30 so laki na 30 unapata tofali 1000, 1.3M unapata tofali elfu 10 kujenga chumba 1 ni laki na nusu, kuchimba shimo la choo ni ni laki na nusu 🤣🤣🤣
MSB retweeted
Sisi Wanaume wa ki kristo tunaongoza kubadili dini kisa wanawake wa kiislam
Wanaume wa kiislam ni nadra na ngumu kubadili dini kisa mwanamke wa kikristo kwanini.....?
MSB retweeted
GoodMornig Tanzania, Good morning Xfamily☺️❤️ PLEASE REPOST
Kwa wale wawekezaji kwenye Apartments, @GeoConstructors @Geo_Traverse We got Designs For you, tunakupa kuanzia wazo, ramani mpaka kuku kabidhi jengo
Tupigie leo: 0719 336 667/ 0763 782 274.
MSB retweeted
🇹🇿 Watanzania wenzangu, safari bado zinaendelea! 🇹🇿
Ninawashukuru kwa kuendelea kunichagua katika swala zima la kukata tiketi za mabasi ya mikoani.
MSB retweeted
Hizi kampuni zote unapata tiketi kwangu kwa ruti zote.
#Ally'sStarBus
#BaelsaLuxury
#IjukaLuxuryCoach
MSB retweeted
Kitunguu saumu kimekomaa vizuri
So far bei shambani ni Tsh 200k kwa 105kg
Kitunguu maji bei Tsh 40k Kwa 105kg 😰
Ushauri: Weka kwenye chanja
#kitunguusaumu
MSB retweeted
Kwanza, Bwana Chuga anapenda vita kuliko msosi na hajawahi poteza pambano.
Vita na Lowassa (Alishinda)
Vita na Manji (Alishinda)
Vita na GwajiBoy (Alishinda)
Vita na Nape (Alishinda)
Vita na Gambo (Alishinda)
Vita na Ruge (Alishinda)
Vita na Bunge (Alishinda) – at Dar es Salaam, Tanzania
MSB retweeted
MAJAJI WAMEANZA KUSIKILIZA SHAURI LA UHAINI LA MWENYEKITI WA CHAMA CHETU CHADEMA
Na, Mhe. Lissu anaieleza mahakama kwamba leo asubuhi alikutana na shahidi wake RAMADHANI KINGAI na wakaongea mambo mengi sana
Moja kati ya mambo ambayo RAMADHANI KINGAI DCI ameyasema yeye hayupo tayali kuwa shahidi wa Mhe. Lissu na pia yeye pia ni mmoja ya watu ambao watashereke Mhe. Lissu akikutwa na hatia dhidi ya makosa yake
Mbali na hivyo, kamueleza kwamba hata CDF Gen. John Mkunda na IGP wambura watakapo rejea nchini hawapo tayali kuwa mashahidi wa Mhe. Lissu
Mhe. Lissu ameiambia mahakama juu ya mambo hayo na kubainisha kwamba kwasasa hana shahidi mwingine tena wakumtetea na amemaliza mashahidi hivyo anafunga suala hilo la mashahidi na mahakama iendelee na hatua zingine zinazofuata juu ya shauri lake
MSB retweeted
Marafiki wa kweli hawapo tu kwenye starehe.
Ukitaka kujua thamani ya mtu kwenye maisha yako, angalia anavyokuweka wakati mambo hayako sawa.
MSB retweeted
Kumekucha Ndugu Zaki Naomba Retweet Yako Moja Tu🙏🏿
Napokea Oda za overall ana overcoats quality kabisa ikiwa tayari printed na details zako✅
45,000/= Nakupa Overcoat Na Trousers Yake Ikiwa Tayari Printed Na Details Zako
Oda Kuanzia 5
☎️ 0769063447
Sinza Makaburini 📍
MSB retweeted
Chloe
Eau De Parfum Available ✅
Tsh 163,680/=
☎️WhatsApp +255719068333
Mudi in Dubai 🇦🇪
MSB retweeted
AL-MASIH AD-DAJJAL MPINGA KRISTO WA KWELI NA FITNA YA MWISHO WA DUNIA
Kwa mujibu wa Hadith za Kiislamu, Dajjal sio mtu wa kawaida. Anaelezwa kuwa atatokea mwishoni mwa nyakati na atakuwa mtihani mkubwa sana kwa wanadamu kwa sababu atawadanganya watu kwa mambo yatakayoonekana kama miujiza
Neno Dajjal linahusishwa na udanganyifu na uongo. Hivy Al-Masih ad-Dajjal maana yake ni takribani Masihi Mdanganyifu au Masihi wa Uongo. Hii inatofautishwa na Al-Masih Isa bin Maryam (Yesu) ambaye katika Uislamu ndiye Masihi wa kweli
Atakuwaje?
Hadith za Sahih Muslim zinamueleza Dajjal kuwa ni mwanaume mwenye mwili mkubwa, nywele zilizojikunja sana na jicho la kulia lenye ulemavu likielezewa kwa mfano wa zabibu lililochomoza pia kuna riwaya zinazosema kwamba kati ya macho yake kutaandikwa neno “Kafir” Kafir ni mtu mwenye sifa yakutenda mambo yakumkufuru mwenyezi Mungu ambalo waumini wataweza kulisoma
Lakini jambo la kutisha zaidi sio sura yake ni uwezo wake wa kuwashawishi na kuwapotosha watu
Ataonyesha mambo ambayo yatawafanya baadhi ya watu waamini kwamba ana uwezo wa kiungu. Hadith zinaeleza kwamba ataamuru mvua inyeshe, ardhi izae na hata atafanya mambo yatakayoonekana kama kufufua mtu. Lengo litakuwa kuwafanya watu wamwamini na kumfuata
Hadithi ya Tamim ad-Dari
Moja ya simulizi maarufu zaidi kuhusu Dajjal ni Hadith ya Al-Jassasah inayopatikana kwenye Sahih Muslim
Inasimulia kwamba Tamim ad-Dari ambaye wakati huo alikuwa Mkristo kabla ya kusilimu, alisafiri baharini pamoja na watu wengine. Safari yao ilikumbwa na mawimbi makubwa kwa muda mrefu, mpaka wakafika kwenye kisiwa kisichojulikana
Walipofika kisiwani walikutana na kiumbe mwenye nywele nyingi sana ambaye aliwaita na kuwaelekeza kwenye jengo fulani. Kiumbe huyo aliitwa Al-Jassasah anayehusishwa na upelelezi au upelelezi wa habari
Walipoingi walimkuta mwanaume mkubwa sana aliyefungwa kwa minyororo, mikono na miguu yake ikiwa imefungwa. Mwanaume huyo akaanza kuwauliza maswali kuhusu matukio yaliyokuwa yakitokea dunian
Katika simulizi hiyo mwanaume huyo alijitambulisha kwa maswali yake kuhusu maeneo mbalimbali na hatimaye akafahamika kuwa Dajjal
Hapo ndipo simulizi hii inakuwa ya
kipekee, kwa mujibu wa hadith hiyo Dajjal alikuwa amefungwa akisubiri wakati ambao angeruhusiwa kutoka
Atatokea wapi?
Katika riwaya mbalimbali kuna maelezo kuhusu maeneo ambayo Dajjal atapitia na maeneo ambayo hataweza kuingia. Miongoni mwa maeneo yaliyosisitizwa ni Makka na Madina ambayo yanaelezwa kuwa hataruhusiwa kuyaingia wakati wa fitna yake
Atakapokuja fitna yake itakuwa kubwa kiasi kwamba watu wengi watadanganyika
Kwa nini anaitwa “Mpinga Kristo”?
Katika Uislamu, Isa bin Maryam ndiye Masihi wa kwel wakati Dajjal ni Masihi wa uongo. Kwa hiyo sio kwamba Dajjal ni Kristo mwenyewe ila anaitwa Al-Masih ad-Dajjal kwa maana ya yule anayejifanya au kuonekana kama Masihi lakini akiwa mdanganyifu
Na hapa ndipo simulizi la Dajjal linapounganishwa na kurudi kwa Isa bin Maryam katika mafundisho ya Kiislamu
Kwa mtazamo wa Kiislamu mwisho wa simulizi sio ushindi wa Dajjal. Isa bin Maryam atarudi na hatimaye Dajjal atauawa hivyo udanganyifu wake utaishia kushindwa
Jambo kubwa kuliko Dajjal mwenyewe
Kisa cha Dajjal katika Uislamu hakizungumzii tu monster au mtu mwenye nguvu za ajabu. Kinafundisha kuhusu fitna ya udanganyifu hali ambayo mtu anaweza kuona jambo linaloonekana kuwa la ajabu na kuliamini bila kutambua ukweli wake
Ndiyo maana Mtume Muhammad ﷺ alitoa maonyo mengi kuhusu Dajjal na akawafundisha Waislamu kumuomba Mwenyezi Mungu awakinge na fitna ya Dajjal
MSB retweeted
Top Countries by Passenger Car Production (Annual Units)
1. 🇨🇳 China - 27.48M
2. 🇯🇵 Japan - 7.14M
3. 🇮🇳 India - 4.99M
4. 🇩🇪 Germany - 4.07M
5. 🇰🇷 South Korea - 3.85M
6. 🇪🇸 Spain - 1.92M
7. 🇧🇷 Brazil - 1.90M
8. 🇨🇿 Czech Republic - 1.45M
9. 🇺🇸 United States - 1.43M
10. 🇮🇩 Indonesia - 1.03M
Source: International Organization of Motor Vehicle Manufacturers (OICA)


































