little Man fx retweeted
Whatsapp channel link ๐
whatsapp.com/channel/0029VbCโฆ
550BH7
22 Odds
little Man fx retweeted
127 Odds on Sporty
Under 2.5 1st half
Booking code ๐
whatsapp.com/channel/0029VbCโฆ
little Man fx retweeted
180 Odds on Sporty
Handcap ๐ฅ
Booking code: ๐
whatsapp.com/channel/0029VbCโฆ
little Man fx retweeted
22 long years for the Arsenal.
But finally, weโre back where we belong.
Champions!
little Man fx retweeted
โI want to tell you Tanzanians, we don't have any uncle or aunt in Europe who will solve our problems,
It's a must that Tanzania be built by Tanzanians themselves, this country is richโ - John Pombe Magufuli
Former President of Tanzania.
JPM๐๐๏ธ
little Man fx retweeted
Waambieni wana ambao wako chuo this time. Mabadiliko ya mazingira na maendeleo ya Teknolojia yamebadilisha mifumo ya utafutaji fedha. Wabadilishe mindset zao, mitaa inakaza na Ajira hakuna na zikiwepo watu wana unganishana, wanarogana, wanahongana ilimradi ipatikane nafasi ya upendeleo.
Degree ina thamani kwenye mawanda ya kielimu na sio kwenye utafutaji wa fedha. Kiwango chako cha elimu haki determine ukubwa wa Balance ya account yako ya benki.
Ukimaliza shule usikimbilie kuuza PC na Smartphone yako..
PC ni nyenzo ya msingi sana kwenye utafutaji wa kisasa usiotegemea Ajira.
Sahii kuna issue nyingi sana, unaweza fanya online ukapata hela ya sabuni, Hela ya kusogeza siku na HATA KUBADILISHA MAISHA. Ukiwa na PC unaweza jifunza Freelancing, Kutengeneza Posta za matangazo, Kufanya Airdrops, Kutrade Crypto, kutengeneza Content, Kuuza Bidhaa online, Ai automation, kuandika tafiti (kuwaandikia wanafunzi research), kujifunza Copyrighting skills, Social media management na makorokoro mengine yanayoweza kuleta Ugali.
Ukikaa kusubiri Ajira utaozea kwenu, watu hawatakuwa wanapokea simu zako kwasababu watadhani unataka kuwakopa, utasuffer na Depression, madeni, utakonda na kupauka.
Usipopanga maisha yako leo ukiwa chuoni ukidhani bado umri wako ni mdogo, Maisha yatakupangia namna bora ya kuyaishi. NIMEMALIZA.
little Man fx retweeted
#TajiriLaKihaya
Kwa kuwa Benjamin Netanyahu ameondolewa, basi Donald Trump anaweza kuwa anayefuata hivi karibuni.
Iran bila shaka itachukua kisasi๐ฏ
little Man fx retweeted
Ngoja nisake pips kadhaa ili ikifika saa saba mchana nikaungane na mm pale kijiweni kulalamika kuhusu ugumu wa maisha pamoja na hii vita ya iran inaendaje kutuathiri Afrika kiuchumi
NB: hakikisha tayari una faida then ndio uende kijiweni โ at Tanzania





















