MJ ™ retweeted
Tukio dogo, lakini lililochagia kufungua milango mikubwa ya mazungumzo na maridhiano Afrika Kusini.
MJ ™ retweeted
Mahakama imeamuru mtandao wa X ufunguliwe nchini Tanzania. Shauri hili lilifunguliwa na Tito Magoti na Kumbusho Kagine.
MJ ™ retweeted
Nimemuazima jirani yangu sabuni imerudi Ina nywele nywele halafu inakaharufu ka sha....wa🤔
MJ ™ retweeted
Demu wa 2007 lakini huo uchi wake ulivyo utasema ulikua unachakatwa na vampire kmmk🙌🏾.
MJ ™ retweeted
CHAMA kimetangaza LISSU awe huru ili aongoze hayo wanayoita "MARIDHIANO".
Kuna kundi la watu wanaojiita VIONGOZI wa CDM wanataka CHAMA kiende kwenye MARIDHIANO bila LISSU.
Hii inamaanisha kuna viongozi wa CDM wanafaidika na LISSU kuwa ndani. Hasa hawa wanaotaka MARIDHIANO bila LISSU kuwa nje.
MJ ™ retweeted
TOP 6 YA UONGO HAPA BONGO
1: Dhamana ni Bure
2 : Police ni Rafiki yako
3 : Vijana ni taifa la kesho
4 : Ajira Baada ya kuhitimu ni uhakika
5 : Elimu ni Ufunguo wa Maisha
6:....
Ongeza uongo wa sita hapa.😅👇🏾



















