Mwasa retweeted
Volvo na Kazi zake Chafu Chuma imetoka kwao Durban ZA ndio inaingia ingia Solwezi Zambia maeneo ya Kalumbila Mine au Kasanshi Mine moja ya Mgodi mkubwa(Open Pit) wa Shaba Africa nzima. Chuma ndio inamalizia malizia takribani 2700kms toka ZA馃嚳馃嚘
Mwasa retweeted
Chingola Boyz
Mercedes Benz actros Mirrorcam
Toka enzi za kumiliki vijembe mpaka kuja kwenye Ex-South Africa Mirrorcam
Mwasa retweeted
Za mwamba hizi zimeandikwa "Premium Edition" wakati Jirani ake Time Trucking zimeandikwa "Limited Edition" Sisi na Kingereza chetu cha ugoko tunaziona zote ni moto mzito..!!!
560 HP
Mwasa retweeted
Big Tembo na mnyama wake FAW 380 anapanda nayo kwa Ustadi sana huskii engine ikikoroma huu udereva ni wa kiwango cha kimataifa mwamba chuma anaijua na inamjua hii kipande ya chiweta馃嚥馃嚰 na gari yako singo diff utaombwa pabaya. Hapa wanapanda wenye 6x4 Axle configuration tu
Mwasa retweeted
Wakali wa Sulphuric Acid toka ZA to Kayelekera Uranium Mining in Malawi Via Tunduma border

















































