Living (@namedLiving) header
Living (@namedLiving) profile picture
Arusha, Tanzania
Joined February 2020
Photo by Living (@namedLiving)Photo by Living (@namedLiving)Photo by Living (@namedLiving)Photo by Living (@namedLiving)Photo by Living (@namedLiving)Photo by Living (@namedLiving)Photo by Living (@namedLiving)Photo by Living (@namedLiving)Photo by Living (@namedLiving)Photo by Living (@namedLiving)
God above all!!
1
124
Hivi vyeo vya mlezi wa mkoa vimeanza lini? Nini kazi ya RC sasa kwa mantiki hii?
Waziri Mlezi Mkoa wa Lindi ni Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano Deusi Sangu Waziri Mlezi Mkoa wa Ruvuma ni Waziri wa Uchukuzi Prof. Mbarawa Waziri Mlezi Mkoa wa Mtwara ni Waziri wa Viwanda na Biashara Una swali lingine?
12
Replying to @divahphilip
@divahphilip where are you? Umepoa Boss sikuoni mitaa hii
9
Birthday blessings to @KibongeTriceB count more years & blessings ahead!
1
1
1
530
"Jana ndio siku ambayo tulibarikiwa nayo, leo ni nyongeza na kesho ni ziada katika maisha yetu. Kila siku yetu ingine ni kwa hisani ya Mungu." Cc @tonytogolani
3
224
Sasa sisi majina yote matatu yana herufi L hatuna option ingine zaidi ya kuteswa na hawa wasioweza kutofautisha L na R
This post is from an account that no longer exists. Learn more
26
Kama sikosei @Kudu_ze_Kudu aliwahi kuuliza inakuwaje mnyama mzuri anakuwa mnyama pori🤓 haya mwingine huyu na rangi yake
A melanistic Fox, one of the rarest animals on the planet.
1
1
166
📌📌📌
Awali tulisema Basic needs kwa mwanadamu ni:- 1. Food (Chakula) 2. Clothes (Mavazi) 3. Malazi (Shelter) Lakini Dunia ya leo kuna vitu naweza sema ni SECONDARY NEEDS. 4. Computer 5. Mobile phone 6. Transport Trust me bidhaa zinazohusiana na hayo zina MZUNGUKO mkubwa.
25
"From the shores of Zanzibar to the peaks of Kilimanjaro, Tanzania's beauty knows no bounds. Let's protect and cherish our enchanting home. 🌍🏔️ #TanzaniaProud" – at Arusha, Tanzania
23
Nikifika Dar nikapige picha na shati la @kalage_jr kabla hajaweka tozo za kupiga picha kama fununu zinavyosema😂😂
1
2
20
706
Sijawahi visit ila siku moja nita visit @MalemboFarm nikapate madini ya @MalemboLE 🔥
1
1
4
858
Kuna muda piga hatua kurudi nyuma jiulize swali “Au mimi ndio tatizo”. Itakusaidia sana kuondoa lawama kwa watu pale mambo yanapokwenda tofauti na matarajio yako. Hasa pale utakapowajibika juu ya makosa na mapungufu yako. C&P from @jaliluzaid ✍️
1
31
Replying to @kalage_jr
@kalage_jr fanya namna huyo Eisten hapo kwa Avi yako nae aonekane kavaa shati lako linalotambulisha brand😁
4
Yaan nimempigia @kalage_jr simu anapokea mtu mwingine naambiwa kama hujamfollow Boss na hujampa rt haongei na wewe labda ulipie aisee😁😁
1
1
47
Mimi pia siku nikizishika pesa au basi nisiseme maana ugomvi wangu na pesa ntakuwa nauchochea halafu zizidi kukaa mbali nami😁🙌
Siku nikipata Pesa I will take him to Paris…
1
67
Inakuja kwa mwendo wa konokono inaondoka kwa mwendo wa Sungura tuna taabu ila basi tu😁
Good morning Chuzen People.
1
58
Tajiri, Boss @Kudu_ze_Kudu huna baya nimeona side hustle yako kumbe una lodge naomba kazi 😁😁 – at Arusha, Tanzania
1
119
"Binadamu wote wana vitufe vya ubaya na wema inategemeana tu na wewe umebonyeza kitufe gani." @tonytogolani
4
198