Alex Okama (@okama645) header
Alex Okama (@okama645) profile picture

HAKI KWANZA / USAWA / RASILIMALI ZA NCHI FAIDA KWA WOTE/ DEMOCRAC🙏🙏

Sudan
Joined December 2014
Photo by Alex Okama (@okama645)Photo by Alex Okama (@okama645)Photo by Alex Okama (@okama645)Photo by Alex Okama (@okama645)Photo by Alex Okama (@okama645)Photo by Alex Okama (@okama645)Photo by Alex Okama (@okama645)Photo by Alex Okama (@okama645)Photo by Alex Okama (@okama645)Photo by Alex Okama (@okama645)
Kumbe ICC kweli wapo tao! 🧐 Ngoja tukoleze tena moto! Kila mwanaharakati hasa mawakili wasomi kama @BabaMwita , human rights defenders na mwananchi aandike na atume maelezo ICC kwa nini serikali haramu haifanyi uwajibikaji wa kweli! Kwa sasa waliokuja kutoka ICC wanafuatilia “Complementary principle” yaani what has the country done to address the matter or is doing. Ndo maana mafedhuli wako bize wanatoa kesi za ugaidi na wanatusaka! Sasa ni hivi: ushahidi uliopo dhidi yenu si ndogo! Na kutusingizia kuwa eti tuliingiza silaha imebuma hakuna mwenye akili timamu ataamini! ICC wanachotafuta na kuona ni kuwa MLIJIPANGA KUUA na mlijigamba na kimama chenu KABLA ya tukio! Case closed! Kuna video, picha authenticated zikionyesha polisi wakiwa na uniform wanapiga risasi na kupiga wananchi wasio na silaha! Hii kesi ni ngumu na sarakasi zenu hazitasaidia Ndo maana sasa mnalia maridhiano! Tulieni! Na nyie machawa mjipange - msije mkaanza kufuta posts zenu ✊🏽 Nasema #TutaelewanaTu #NoJusticeNoPeade
LEGAL SUBMISSION: Formal Reminder to the ICC Prosecutor: Tanzania’s Chande & Lila Commissions are designed to delay accountability for the Oct 2025 killings—urging The Hague to open an immediate investigation.
14
145
1
514
27,106
THE 2 DEVILS WHO ARE DESTROYING TANZANIA BECAUSE OF GREED!!!!!!!!
25
287
3
1,998
48,114
Nimeandika Email rasmi kuwaomba CAF kusitisha maandalizi ya AFCON Tanzania kutokana na hali mbaya ya Usalama ikiwemo vitisho vya UHAINI na UGAIDI. Tuma Email yako; [email protected] CC [email protected] Email ya Jumla; [email protected] #NoJusticeNoAfcon.
25
91
6
337
8,634
Alex Okama retweeted
Mtoto wa miaka 13. Ndoto zake alikua anataka kuwa daktari. Angel alipigwa risasi na watu wenye uchu wa madaraka na kiu ya damu za watu. Watu hawa wanaoendelea kuteka kila anaekosoa mfumo wao, wanaua, wanafunga jela kwa kesi za uongo. Familia nyingi kama ilivyo familia ya Angel wanabaki na majonzi na maumivu yasiyokwisha. Chuki inaongezeka, uhasama unajengeka wannabe wanafikiri wataua kila Mtanzania anaekemea huu uovu Mpaka wabaki ambao wataogopa kabisa na kukaa kimya wote.. Nafikiri wanajidanganya sana, kila uovu unaofanyika unaongeza chuki, unawapa watu ujasiri wa kupinga mabaya na wengi zaidi watazaliwa kukataa huu mfumo wa kidkteta wa sisi kuishi kama mateka. Tunakulilia Angela kama wengine wote ambao maisha yao yamekatishwa na yanaendelea kukatishwa bila sababu. Tunajua uovu wao huu wanataka kutubambikizia sisi, tunajua kesi wanaoandaa dhidi yetu ili kuficha wauaji halisi na kukamata watu wema. Vyovyote watakavyofanya, tutaendelea kupigania haki ya kila mtu na lazima itapatikana na waliohusika watawajibika. Pole sana familia ya Angel. Pumzika kwa Amani Malaika.
51
371
5
1,345
37,632
Replying to @Europarl_EN
@Europarl_EN @UNHumanRights @commonwealthsec @tedcruz @SenatorShaheen @SenateForeign @SFRCdems Samia Suluhu has begun eliminating key witnesses to the October 29 atrocities, individuals who could testify against her in the future. An independent investigation must be launched to establish exactly what happened to this witness at Muhimbili National Hospital. The circumstances surrounding this case demand urgent scrutiny and accountability.
36
338
4
1,442
39,939
Alex Okama retweeted
kenya na tanzania mnajua mahali huyu raia alipo ? mwachieni haya ni mambo ya kijinga ?? hata Mungu hapendi??
1
1
6
kenya na tanzania mnajua mahali huyu raia alipo ? mwachieni haya ni mambo ya kijinga ?? hata Mungu hapendi??
1
1
6
WATANZANIA, tusikubali AFCON ikawapa ushindi wauwaji wa OCTOBER 29. TUHAKIKISHE afcon inaonyesha dunia kilichotokea Tanzania OCTOBER 29 2025…. NA KWAMBA TUNAJITAJI MSAADA WAO………
52
336
4
1,923
76,178
A cluster of treason cases in east and southern Africa can be read as a stress response. Political systems are beginning to come apart under the pressure of public dissatisfaction economist.com/middle-east-an…
10
73
3
158
40,819
Kuna watu wengi sana watatekwa na kupotea kwenye haya mashindano hasa WAKENYA Serikali ya Tanzania inaendesha chini kwa chini operation dhidi ya wakenya na watanzania waishio Kenya, Wageni wengi sana watapotea kwa kushiriki haya mashindano
2
25
72
4,686
Alex Okama retweeted
19 days and Twaha Mwaipaya still remain unaccounted for. Where is Twaha Mwaipaya #FreeTwahaMwaipaya
1
95
2
193
3,698
Illegitiamte President Samia Suluhu Hassan and William Ruto, your governments are responsible for Twaha Mwaipaya’s enforced disappearance. We call upon all diplomats and security partners, To immediately ask both governments for answers in writing and to produce Twaha immdiately! Find and free Twaha now. #FreeTwahaMwaipaya #EndTransnationalRepression
1
14
1
23
846
Alex Okama retweeted
People who cross a border seeking safety should be able to live without fear of abduction. Kenya, where is Twaha Mwaipaya? We call on the @achpr_cadhp to seek urgent answers from Kenya and Tanzania and press both governments to immediately produce Twaha and secure his safe release. #FreeTwahaMwaipaya #EndTransnationalRepression
1
41
1
59
1,572
Alex Okama retweeted
Leo ni siku 19 tangu ndugu yetu Twaha Mwaipaya atekwe na watu wasiojulikana mpaka sasa bado hatujui kapelekwa wapi. Tuendelee kumpazia sauti kama ambavyo yeye alikuwa mstari wa mbele kuwapazia sauti watu wasiokuwa na sauti. #FreeTwahaMwaipaya
7
146
1
499
9,896
What have you done to stop #EnforcedDisappearances in #Tanzania and the regiom!? Twaha Mwaipaya was abducted 20 days ago and todate we have not seen your statement on transnational repression! Speak up and say #FreeTwahaMwaipaya
1
26
50
471
Those who carry out and order #EnforcedDisappearances are all guilty and people with EXTREMELY dark souls! Twaha Mwaipaya has a right to dissent and to oppose Samia Suluhu and her murderous cabal! Abducting and torturing him is not only CRIMINAL but SINFUL! Zero tolerance for abductions ❌ #FreeTwahaMwaipaya
3
87
2
179
8,735
#Tanzania "I'm a good citizen of this country, a patriot. I've served this country... Today the government has killed at the very least 518 people and not a single person has been held accountable. Your decision will not hide that scandal." -@TunduALissu thechanzo.com/2026/11/10/ins…
4
105
3
331
36,805