Mfuko wa INUKA Money Market, unaosimamiwa na Orbit Securities ni mfuko unaotoa fursa ya kipekee ya kuwekeza kwenye amana za muda mfupi na hatifungani katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Inuka Fund ni mfuko wa uwekezaji wa pamoja unaowezesha Watanzania, kampuni, na vikundi kuwekeza kwa usalama kupitia usimamizi wa wataalamu wa Orbit securities chini ya uangalizi wa Serikali.
Mfuko huu unawekeza kwenye amana za muda mfupi, hati fungani za Serikali na kampuni binafsi ndani ya Tanzania, EAC na SADC.
kima cha chini cha uwekezaji ni TZS 10,000
Wasiliana nasi Sasa kupitia 📧 [email protected] 📞 0743677873 / 0711803634
Orbit Securities Co. Ltd retweeted
Tanzania Launches INUKA Collective Investment Scheme With Regional Reach.
tanzaniainvest.com/finance/c…
@orbitsecurities @dsetanzania #INUKA
Mfuko wa INUKA Money Market, unaosimamiwa na Orbit Securities unatoa fursa ya kipekee ya kuwekeza kwenye amana za muda mfupi na hatifungani katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Rais wetu Eng. Hersi Said leo alipata wasaa wa kualikwa kwenye uzinduzi wa mfuko wa soko la fedha INUKA Money Market Fund, inayoendeshwa na Kampuni ya @orbitsecurities
INUKA Money Market Fund ni mfuko wa kwanza wa soko la fedha, unaokuwezesha kuwekeza kuanzia kiasi kidogo cha fedha nchini Tanzania, na katika nchi za Afrika Mashariki na SADC.
𝐘𝐀𝐍𝐆 𝐙̌ michongo ndo hii sasa tukutane Jumamosi👊🏽
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Fursa hii ni kwa:
✅ Watu binafsi / Wenzi
✅ Makundi ya kijamii kama VICOBA
✅ Makampuni Wekeza sasa na ujipatie faida nzuri kwa muda mrefu!
#InvestingNeverStops 🚀
Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia:
📞 +255 746 848 301 | +255 785 137 883
✉️ [email protected]
Orbit Securities Co. Ltd retweeted
Replying to @CarolNdosi
Maokoto kwa wawekezaji wa @NMBTanzania
TGIF
Click 👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 to join:
xitter.gq/i/spaces/1OdKrjvEeleKX






















