loyal retweeted
Nimeona a group of friends wakicheza Scrabble very quietly. My friends could never! Five minutes into it ushaitwa "umbwa" "Malaya" na "ghasia".
"We Malaya ushaiona word Ka hiyo?"
loyal retweeted
Facing my fears today: listening to Kaa Nami by Angela Chibalonza... Let's hope I survive the tears.
loyal retweeted
Kutumia simu ya Mkopa nayo nikujichosha tu heri sasa nitumie tululu kuliko simu ya kulipia bana
loyal retweeted
Biblia nayo ilikuwa cruel kwa watu ambao sio main characters buana walikuwa wanakapitia ajabu😂kwanza huko jericho umechill tu kejani captain uko aluta alafu kidogo kidogo unaona cracks kwa ceiling unadhani ni zako zimeshika kumbe ni live buana ukuta inakubonda😂siet
loyal retweeted
When a fruit looks too ripe in the bush, don't rush to pick it. Rather, ask the birds why they left it alone.
loyal retweeted
Hata bado sijakuwa okay ndio hio run like water imeingia, Mwanamberi Alusa, Alusa heeh alusa heee alusa continua
loyal retweeted
It's a Friday,
TSC already deposited 17k.
Tuko holiday, kuwa sorber labda January sasa.























