Daniel B.Sillo (@sillodaniel1) header
Daniel B.Sillo (@sillodaniel1) profile picture

Member of Parliament for Babati Rural Constituency| Deputy Minister, Ministry of Home Affairs.

Babati Manyara, Tanzania
Joined September 2021
Photo by Daniel B.Sillo (@sillodaniel1)Photo by Daniel B.Sillo (@sillodaniel1)Photo by Daniel B.Sillo (@sillodaniel1)Photo by Daniel B.Sillo (@sillodaniel1)Photo by Daniel B.Sillo (@sillodaniel1)Photo by Daniel B.Sillo (@sillodaniel1)Photo by Daniel B.Sillo (@sillodaniel1)Photo by Daniel B.Sillo (@sillodaniel1)Photo by Daniel B.Sillo (@sillodaniel1)Photo by Daniel B.Sillo (@sillodaniel1)
Leo tarehe 25.10.2024 nilikuwa Mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 150 ya utume ulimwenguni wa kanisa la waadventista wasabato jimbo la kusini mwa Tanzania lililofanyika katika viwanja vya Jamhuri mjini Morogoro.
1
78
Nilifanya mazungumzo na Kamishna mkuu msaidizi wa UNHCR anayeshughulikia operesheni kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu wakimbizi na hasa suala la urejeaji wa hiari wa wakimbizi wa Burundi.
1
90
Nikiwa na Mhe. Abdallah Possi, Balozi na Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa-Geneva. Tumefanya mazungumzo na kubadilishana mawazo katika sekta mbalimbali.
73
Wakati nikiendelea na Mkutano wa 75 wa kamati tendaji ya UNHCR hapa jijini Geneva, nimepata fursa ya kufanya mkutano wa pembezoni na Naibu katibu wa Marekani anayeshughulikia masuala ya Wakimbizi na Uhamiaji.
59
Nimepata heshima ya kuongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa mwaka wa Masuala ya Wakimbizi unaofanyika jijini Geneva nchini Uswisi. Mkutano ulianza tarehe 14 Octoba, 2024.
1
2
82
Tarehe 10, October, 2024 nilikuwa Mgeni rasmi katika mahafali ya 15 ya Kidato cha nne Shule ya Sekondari Arritsaayo Jimboni Babati Vijijini.
59
Leo October 5, 2024 nilimwakilisha Mhe. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi katika hafla ya makabidhiano ya nyumba 6 za Maofisa wa jeshi la Polisi Mkoani Geita ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Mhe. Dkt. Dotto Biteko.
2
137
Leo hii tarehe 28, September, 2024 nimekuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Mabalozi wa usalama barabarani yaliyofanyika Kitaifa Mkoani Iringa. Usalama wa barabarani ni jukumu letu sote.
87
Nikiwa na Balozi mdogo wa Tanzania nchini China, nilipoongoza ujumbe wa Tanzania katika kongamano la Kimataifa kuhusu Usalama wa Umma nchini humo
1
90
Leo hii tarehe 24/8/2024 nikiongoza kikao cha Baraza la Taifa la usalama Barabarani katika maandalizi ya maadhimisho ya miaka 50 ya Baraza na wiki ya nenda kwa usalama Kitaifa itakayofanyika tarehe 26/8/2024 Jijini Dodoma.
1
103
Nimepata heshima ya kushiriki ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi katika mikoa ya Kagera, Geita na Mwanza na kupata fursa ya kutoa ufafanuzi kwa hoja za wananchi zinazogusa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
1
88
Leo hii tarehe 18/07/2024, nimeongoza kikao cha Baraza la Usalama Barabarani kujadili mikakati mbalimbali ikiwa ni pamoja na maandalizi ya maadhimisho ya wiki ya Nenda kwa usalama kwa mwaka 2024.
1
2
116
Leo hii tarehe 4 June, 2024 nimetembelea Ubalozi wetu jijini Addis Ababa Ethiopia na kufanya mazungumzo na Mhe. Innocent Shiyo ambaye ni Balozi wetu hapa Ethiopia.
3
3
144
Jana tarehe 19,Mei 2024 nimetembelea kijiji cha Manyara kata ya Magara ambayo imekumbwa na mafuriko baada ya ziwa Manyara kujaa maji na kuvamia kijiji.
1
1
129
Ninamshukuru Mungu kwa neema yake ninapokumbuka siku yangu ya kuzaliwa leo tarehe 8, May. Ninaendelea kumwomba Mungu anipe maisha marefu yenye baraka na mafanikio makubwa kwa Taifa langu.
7
7
153
Asanteni sana ndugu zangu kwa salaam zenu za heri.
64
Nimeongoza kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti katika Bunge la Kenya katika kubadilishana uzoefu katika masuala ya Bajeti.
3
175