Sir Major☀️ (@smkami) header
Sir Major☀️ (@smkami) profile picture

Petroleum and Industrial Services Expert | Businessman | Human Rights Monitor | Political Infuencer

Tanzania-East Africa
Joined June 2010
Bwana Yesu ana kazi kubwa sana! Huyu mtoto akikua sijui watamwambia nini ili awaelewe.
1
2
539
Ujumbe kutoka kwa Mwinjilisti kwa Wakazi wa jiji la Dar es salaama!
9
11
1
100
6,191
Kwa jinsi Malawi ilivyo! Sintashangaa kumuona huyu dogo akipandishwa kwenye majukwaa ya mikutano ya chama cha mbogamboga kuchapa mistari ili kuvutia nyomi!
10
10
140
11,787
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, anatarajiwa kuongoza maelfu ya Watanzania katika maombi maalumu ya kitaifa yatakayofanyika Novemba 20, 2026, City Park, Mbeya, kwa ajili ya kuliombea Taifa amani, umoja, upendo na mshikamano. Zaidi ya washiriki 500 wamethibitisha kushiriki.
62
6
10
22
5,334
Nimeona taarifa zikisambaa mitandaoni kwamba MV Mwanza imegonga mwamba asubuhi ya leo. 😳 Kuna nini hasa kimetokea? Tatizo ni nini? Wenzetu mliopo Mwanza, tunaomba mtupe taarifa zaidi kuhusu tukio hili.
1
16
500
Inasikitisha sana! Angel Wariael Noel (13) aliyejeruhiwa kwa risasi kwenye uti wa mgongo wakati wa vurugu za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, amefariki dunia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Alikuwa na ndoto ya kupona na kuwa daktari, lakini amefariki kabla hajazitimizia.
15
43
2
220
5,910
Hauwezi kugombana na baba mkwe halafu ukapatane na mtoto wako ukasema nimepatana na baba mkwe! Kupatana na kundi moja hakumaanishi umetatua mgogoro na kundi jingine. Kila mgogoro unahitaji kushughulikiwa na wahusika wake. Kuna tofauti kati ya kupatana na mtu na kutatua mgogoro.
7
19
1
101
4,684
Nimejikuta nikiukumbuka usemi mmoja unaosema "Malawi is not for beginners"!
4
3
27
382
Baba Askofu Dkt Bagonza ameongea jambo lenye kutafakarisha sana. Huu ni ukweli mchungu.
1
49
1
238
4,010
No Comments!
34
3
3
76
8,934
Hiyo lini hiyo?
12
39
6
262
8,325
Kama nawaona wale machawa wapenda pombe na nyama za bure!
4
2
47
3,133
Ila Msigwa!
6
5
2
49
3,029
Tumerudi!!!!! Kama umeelewa Gonga Likes nyingi na kusambaza upendo!
3
11
48
705
Matokeo ya chaguzi zisizo huru na za haki zinazopelekea akili ndogo zilizojificha katika kivuli cha uongozi kutawala akili kubwa! Hii ndio sababu ya hitaji la Katiba Mpya itakayopelekea upatikani wa Tume Huru ya Uchaguzi na "yenye meno" itakayosimamia "Uchaguzi huru na wa Haki"
11
32
3
202
15,746
Povu lote la UVCCM ni kwa sababu hawataki kuambiwa ukweli kuhusu matendo yao, au wanataka hata wale waliojifunza mbinu chafu za rushwa kutoka kwao wawajibishwe? Mende hawezi kuangusha kabati, Badala ya kumshambulia anayeibua kero, ni vyema UVCCM wajibu tuhuma kwa hoja!
21
18
7
171
23,076
Dah 🙌 🙌 Au basi!
11
6
2
55
6,355
Tanzania!
148
15
37
176
53,138