Android? Tumia hizi apps:
Music - BitChord na Nuvia
Video - Revanced
Social - Morphe
Streaming - Stremio (Addons: sports stream)
Movies/Series - Cinejoy
*Whatsapp - LiteXRed (Ukihitaji kusave view once).
Left: Dar-Lindi (regional/international road),,, Right: Nanganga-Ruangwa (district road)…
ni ngumu kuelewa madhara ya bad governance (poor planning & execution) mpaka ukutane na situation kama hii!
Uhuru road ni mwisho wa maneno, hakuna ustaarabu kila dereva kavurugwa kuanzia boda, gari binafsi hadi watembea kwa miguu.
Singida-Katesh kiukweli hii barabara inatia aibu. Hapa bus limekwepa 'lami' yaani bora vumbi kuliko lami. 😅
(Video mali ya worldwithnaser)
Kulazimisha mabus yapakie na kushusha abiria Stand ya Mbezi pekee haijakaa poa.
Pakia popote unapotaka ila lazima uingie Mbezi kabla ya kuanza safari ingekaa fresh.




