
Official Page of Tanzanian Student Association In Uganda 🇹🇿🇺🇬 Together we Rise, United we Thrive #tsau
UGANDA
Joined May 2023
- Tweets398
- Following41
- Followers50
- Likes491
Tanzanian Students In Uganda retweeted
Leo, Mhe. Maj. Gen. @Simulikisesa ametembelea mradi wa umeme wa Kikagati uliopo katika Wilaya ya Isingiro, Uganda. Pia, Mhe. Balozi ametembelea "sub-station" ya mradi huo iliyopo Wilaya ya Kyerwa nchini Tanzania.
Tanzanian Students In Uganda retweeted
Mhe. Maj. Gen. @Simulikisesa amefanya ziara ya kutembelea mpaka wa Murongo/Kigagati ambao ni mpaka kati ya Tanzania na Uganda. Pia, Mhe. Balozi alifanya mazungumzo na watumishi wa Tanzania wanaofanya kazi katika mpaka huo.
Tanzanian Students In Uganda retweeted
📸 Picha ya pamoja; Kulia ni Rais mpya wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Tanzania nchini Uganda-TSAU 2024/2025 Mh. Stanley Josia na Kushoto ni Rais Mstaafu wa TSAU 2023/2024 Mh. George Madaraka aliemaliza muda wake wa uongozi.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki TSAU na viongozi wake. – at Kampala, Uganda
Tanzanian Students In Uganda retweeted
Jana, tarehe 09.05.2024 ilifanyika hafla ya uwapisho wa Rais mpya wa TSAU Mh. Stanley Josia na Makamu wa Rais Mh. Zulhat Mlima.
Uwapisho huo ulifanyika Ubalozini na kushuhudiwa na Mhe. Maj. Gen. P.K. Simuli, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda @TZembassyUG.
Tanzanian Students In Uganda retweeted
Leo, Mhe. Maj. Gen. P.K. Simuli, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda ameshuhudia uapisho wa Viongozi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma Uganda @tsau_uganda . Hafla hiyo ilifanyika Ubalozini Jijini Kampala.
Tanzanian Students In Uganda retweeted
Do you remember when you joined X? We do! #OurXAnniversary – at Kampala, Uganda
Tanzanian Students In Uganda retweeted
REPOSTED 📸: Inspiring moment as former President of United Republic of Tanzania graced our guild leaders' event, sharing invaluable wisdom on leadership and empowering young minds.
Captured here on April 15th, 2024, as he connected with Tanzanian students in Uganda 🌟🇺🇬🇹🇿 – at Kampala, Uganda
Tanzanian Students In Uganda retweeted
Leo, Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda kwa kushirikiana na Diaspora na Wajasiriamali wa Kitanzania wameadhimisha miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sherehe hizo zilifanyika katika Viwanja vya Ubalozi Jijini Kampala, Uganda.
Tanzanian Students In Uganda retweeted
April 28th, 2024: Run4Autism Half Marathon 21.1Kilometres done.
Tanzanian Students In Uganda retweeted
Zawadi mbali mbali zilitolewa Kwa washindi wa mdahalo!
Pongezi za dhati Kwa ndugu zetu kutoka Uganda, South Sudan, na Kenya Kwa kuibuka washindi ...
~ Kiswahili, "Lugha yetu"
Tanzanian Students In Uganda retweeted
Jumuiya ya wanafunzi wa Tanzania nchini Uganda KIU-WC, Leo hii tarehe 19.04.2024 umefanikisha zoezi la ufunguzi wa tawi la kiswahili klabu, zoezi hili liliendeshwa na wawakilishi kutoka ubalozini nchini Uganda @TZembassyUG
Ahsanteni sana! @TZembassyUG
~ Kiswahili, "Lugha yetu"
Tanzanian Students In Uganda retweeted
Leo Tar. 19/4/ 2024 Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda umeshiriki Ufunguzi wa Klabu ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala ( KIU Western Campus). Tukio hilo ni sehemu ya mikakati ya Ubalozi ya kueneza lugha ya Kiswahili nchini Uganda. – at Bushenyi, Uganda
Tanzanian Students In Uganda retweeted
Finally @KiutasaWc 👏👏👏 – at Kampala, Uganda
Tanzanian Students In Uganda retweeted
19.04.2024 @KiutasaWc – at Kampala, Uganda














































