TzConnect retweeted
He kept warning them about the flood coming but nobody believed him except his family๐ฑ๐ฉ๐ฅ
TzConnect retweeted
โHivi unajua robo tatu ya Biblia ni Uchumi, kuliko dhambi na kuzimu. Hata yesu mwenyewe amemtaja shetani kwa nadra sana, haizidi mara nne. Ila sisi huku kidunia dunia tunamtaja sana shetani kuliko tunavyotaja mambo mengine. Mimi nikisoma Biblia nikamuona Mungu, kinachofuata naona Helaโ Pastor Tonny
TzConnect retweeted
Muda huu ungana na @roseylyne kwenye 10 za Je, wajua.
Hapa hapa #ElimikaWikiendi
TzConnect retweeted
Real Madrid and France legend Eduardo Camavinga opened a school and a football academy in Angola ๐ฆ๐ด๐ค.
โI chose to launch a football academy and a school for young people here to give back to my country. Iโm filled with joy, grateful, and my parents are proud.โ
TzConnect retweeted
CDF Gen Muhoozi Kainerugaba when he was commander Special Forces. ASIYE KIFANI โ๏ธ๐บ๐ฌ
TzConnect retweeted
"Kuna watu nawaona sana wakinilinganisha na Matajiri wadogo wadogo hawa wanao bet, na wengine wana nilinganisha na hawa washamba wa Katoro Wana Shinda Mashimoni Kama Panya
Niwaambie tu Matajiri hatukai maporini na kushinda Mashimoni huko, tuna Shinda mjini kufanya vikao na Matajiri Wenzetu kutoka nchi mbalimbali"
๐ฃ๏ธ Amesema Chief Godlove ambaye Kwa Sasa yupo nchini Uganda kufanya kikao na Matajiri kutoka Marekani.
Kwa Sasa Chief Godlove anaishi nchini Kenya
TzConnect retweeted
Tanzania, WHO step up preparedness against epidemic diseases
thecitizen.co.tz/tanzania/neโฆ
TzConnect retweeted
๐จNevadaโs parents reveal that they have NEVER made $100k in their life but their 3 years old kid made over $100k in 5 days .
They maintained that children are blessings and one kid can truly change your life completely.
They also urged parents to support their kidโs dreams . Do not try to stop them from doing what they are GOOD in โค๏ธ๐ฅน
Moral lesson : Over $100k has been donated for the 3 year old kid
TzConnect retweeted
๐๐ถ๐ธ๐ฎ๐ผ ๐๐ต๐ฎ ๐๐ฎ๐น๐บ๐ฎ๐๐ต๐ฎ๐๐ฟ๐ถ ๐๐๐ ๐๐ฎ ๐๐๐ ๐ ๐ธ๐ผ๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐ด๐ผ๐บ๐ฎ
Mgeni rasmi: Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kigoma.
๐
02 Novemba, 2026.
TzConnect retweeted
the 3 year old has more football intelligence, confidence and ball mastery than the entire manchester united squad combined.
this little boy is out here playing football like a superstar while our senior professionals are struggling to put two passes together. somebody should enroll united players in his academy. the future is already teaching the present how to play football!!!!
VIDEO:
Video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Rais wa Urusi, Vladimir Putin, akiwapatia aisikrimu viongozi wa ujumbe kutoka mataifa ya Afrika, imezua gumzo kuhusu heshima na hadhi ya viongozi wa Afrika katika majukwaa ya kimataifa na namna wanavyolinda maslahi ya bara hilo.
Tukio hilo lilitokea Oktoba 28, 2026, wakati Putin alipotembelea maonesho yaliyoandaliwa sambamba na Mkutano wa Tatu wa Urusi na Afrika jijini Moscow. Mkutano huo wa siku mbili uliwakutanisha wajumbe kutoka nchi 48 za Afrika, zikiwemo 22 zilizowakilishwa na viongozi wa nchi, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Moscow kuimarisha uhusiano wake wa kisiasa na kiuchumi na bara hilo.
Baada ya video hiyo kusambaa, baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wamehoji uwiano kati ya thamani ya rasilimali za Afrika na manufaa ambayo bara hilo hupata kupitia ushirikiano wake na mataifa ya nje.
Hoja hizo zimeibua maswali kuhusu nafasi ya viongozi wa Afrika katika diplomasia ya kimataifa na namna hukirimiwa na wenyeji wao pindi wanapokuwa ugenini, wengi wakidai kuwa mara nyingi viongozi hao hawapewi hadhi inayowastahili
Mkutano huo ulilenga kuimarisha uhusiano wa kisiasa, kiuchumi na kiusalama kati ya Urusi na mataifa ya Afrika. Putin aliitaja Urusi kuwa mshirika anayefaa kwa Afrika, huku akizikosoa nchi za Magharibi kwa kile alichodai kuwa ni kunyonya rasilimali za bara hilo na kutumia mikopo kuathiri maendeleo yake.
Aidha, alieleza utayari wa Urusi kupanua ushirikiano na nchi za Afrika katika sekta za biashara, kilimo, teknolojia na miundombinu
TzConnect retweeted
๐ฌ๐ง Uingereza ipo tayari kuomba radhi kwa biashara ya utumwa lakini imekataa kulipa fidia
Nchi hiyo ipo tayari kutoa msamaha rasmi kwa kuhusika kwake katika biashara ya utumwa ya ng'ambo ya Atlantiki, lakini haitotoa fidia ya kifedha, Waziri Mkuu Andy Burnham ameeleza,
๐Badala yake, serikali inapendekeza mpango wa kurekebisha madeni kwa nchi masikini zaidi za Jumuiya ya Madola. Msimamo huu unakuja huku kukiwa na shinikizo jipya kutoka kwa viongozi wa kimataifa.






























