Steven Vitalis (@veenblessing) header
Steven Vitalis (@veenblessing) profile picture

Son Of God || Copywriter || 😊 Trained over 500 people on how to sell anything anywhere by words. I share wealth tips and business Hacks

Dar Es Salaam
Joined February 2023
Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)Photo by Steven Vitalis (@veenblessing)
Watu wakijua una uhitaji sana wa hio pesa, Watakutumia wewe pamoja na muda wako, Maana hio automatically inakufanya unakua insecure mbele yao, Never make money as your master but only a slave
1
3
155
Steven Vitalis retweeted
Watu potential wana kitu kimoja ambacho ni LIMITED, kitu hicho ni TIME, Unatakiwa kuonyesha au ku-provide value ili wakupe muda wa kukusikiliza, kukusupport au kushirikiana na wewe, Focus kwenye kutengeneza value so that you can have something to provide
2
12
70
3,111
Steven Vitalis retweeted
Kuna Mambo haya Makubwa ambayo yanaweza kumpa Matokeo mtu yoyote kama atayafanyia kazi, 1. Persistence [Hali ya Kufanya kwa kuendelea hadi uone matokeo unayoyataka] 2. Longevity [muda unaotumia kufanya jambo hilo unalotamani kuona matokeo] Napoleon Hill
5
11
439
Hakuna mtu atasoma hivi vitabu na kubaki hivyo alivyo sasa. Kama yupo nyosha mkono 1. Richest man in Babylon 2. Think and Grow Rich 3. Psychology of money 4. RichDad PoorDad 5. Atomic habits 6. The Almanac of Naval 7. Never split the difference 8. The Millionaire mind
13
34
4
140
14,161
Yes Mkuu Nakamu, Mara zote Hio ndiyo Mindset ya Matajiri wengi, Lakini watu wengi wenye poor mindset huwa wanawaza nini cha kununua mara tu wanapopata fedha, Lakini hawawazi wapi wakawekeze ili waizidishe pesa yao, Mind you ukinunua kitu money is going out, and vice versa
1
2
8
178
Uzi nilioandika Leo kuhusu utengenezaji na uuzaji wa ebook kupitia Chatgp Baada ya kuandaa Ebook yako Swali kubwa ni nauza wapi? Kila MTU ameuliza Jibu NI popote pale unaweza uza (WhatsApp, Facebook, tiktok, telegram, YouTube) na social media zingine Lakini pia kwenye site mbalimbali Google/uliza Ai. Website where I can sell my Ebooks itakupa nyingi Fanya utafiti uone ipi inakufaa Lakini pia unaweza kumcheki @nickyrabit Founder na CEO WA @CreatorStoreApp Utaweza kuuza kupitia software yake kirahisi zaidi kama bwana @gabyconscious Na @veenblessing Waliyotumia kuuza E-book zao That's all for now! If you enjoyed this post: → Follow me @officialhimsel1 for more. → Like/Repost the first post so more people can learn. → Comment to add value or spark a conversation. Thanks! 🖤
7
24
2
102
10,437
Chochote unachokijua/Ulichojifunza kama hukitumii na pili hakikusaidii ni takataka🚮 Kuna mtu analipia mentorship $300 alafu analala tu baada ya course na anategemea awe na matokeo ya mentor wake, Kanuni hazina upendeleo, unaruhusiwa kuvuna ulichopanda tu✅️
3
9
366
Replying to @chibelube
Exactly, Mungu anatumia kitu kinaitwa [The System Of Men] Akitaka kumuinua mtu anatumia mtu n.k So ni muhimu mno mtu binafsi kujifunza kutengeneza mahusiano ya kimkakati na watu, Finally, Mahusiano sio karama ila ni Uwekezaji [an Investment] Umetisha man!
1
2
258
Nimekuja kujua kuwa Knowledge haikimbiliki, Hata kwenye eneo la productivity, Utazalisha kutokana na kile unakijua, So kama hujui chochote huwezi kuzalisha chochote, My brother @NyandaAmosi huwa anasema hakikisha unajifunza high income skill yoyote, haitakuangusha👏
1
2
11
894
Steven Vitalis retweeted
The Quality of your life depends on what you know, Kitu unakijua ndicho kinaamua ubora wa maisha yako✅️ In other words, huwezi kuwa na Maisha bora zaidi ya kiwango chako cha Maarifa⏳️
4
11
369
Haijalishi una hatima kubwa kiasi gani, Unazuilika kutokana na kiwango chako cha KUJUA [Level of Knowledge] So kwenye niche yoyote ile hakikisha watu hawajuti kukupa kazi au mishe fulani kwa sababu ukiwa na Knowledge sahihi utakua na uhakika wa Ku-deliver best results.
3
7
327
Tuwekane sawa kidogo.. Watu huwa wana tabia ya kuchukua maneno mara nyingi bila kutafuta undani wake na wao wanaandika tu.. Kuna hii ya kiyosaki kusema.. “paper money is fake money, so people should buy golds” Wakuu kununua gold sio investment (elewa), kununua gold ni..
3
4
9
518
Kwenye marketplace ya Destinies kuna assets mbili kubwa ambazo zinakua traded na watu wazima tu [si kimwili bali kiukomavu] 1. Time 2. Knowledge Ukielewa namna hivi vitu viwili vinafanza kazi kwenye kukufanikisha basi utastawi tu Nitaendelea..
4
1
7
400
Steven Vitalis retweeted
Ili ufanye kitu ni lazima ujue kitu, Uwezo wako wa kufanya mambo umefungwa kwenye kile unakijua Knowledge mtu wangu😊
1
2
127
Kwenye Maisha haya na Kwa Umri wangu huu, Nimejifunza kuwa hakuna kitu KISICHOWEZEKANA, Ukiona kitu kinakushinda wewe usikimbilie kusema hakiwezekani, Ni vile kuna dimensions za possibilities hujafikia Hakuna lisilowezekana kwake AAMINIYE✅️ Amini then fuata Kanuni =Boom🔥
1
4
12
409
Steven Vitalis retweeted
Replying to @veenblessing
My Brother 🔥
1
1
257
Steven Vitalis retweeted
Mtu Kuwa Broke ni hali temporary ambayo inaweza kuwa corrected endapo mtu huyo atapata taarifa sahihi kuhusu wealth na ustawi, Ila poverty ni eternal, kwa maana nyingine ni roho, Taarifa pekee haitoshi kuitoa roho hiyo, Unahitaji ui cast out🔥 kama demons wengine.
1
4
12
493
Steven Vitalis retweeted
Kati ya haya matatu[3] ni lazima unafanya moja daily:- Unanunua- unapoteza fedha Unauza-Unaingiza fedha Unawekeza-unaikuza fedha yako Pesa ipo kwenye cash flow, Ndio maana hata ukiwa na pesa nyingi na haitumiki for years inapoteza thamani Wakuu issue ni CASHFLOW
1
5
14
489
Nimekuja Kujua Kwa umri wangu huu mdogo, Kuwa hakuna jambo lisilowezekana chini ya jua kwa kila mtu ANAYEAMINI, Imani haina dini, rangi wala kabila, Imani ni lugha pekee inayozungumzwa kwenye kuwezekana [possibilities] Mind you, Imani haileti URAHISI ila inaleta KUWEZEKANA
2
7
17
915
Moja ya KEY kubwa mno kwenye maisha ambayo inafanya kazi kwenye kila eneo ni CONSISTENCY [muendelezo] Na moja ya kitu kigumu kabisa kwa wanadamu kuki-master ni NIDHAMU, Ukiweza kuwa na nidhamu utaweza kufanya hata kama hujisikii, Then utapata muendelezo ambao utakupa RESULTS
6
11
29
1,110