Lets-View-Stories (@view_lets) header
Lets-View-Stories (@view_lets) profile picture

|Youth-led Stories Platform📚|Untold Stories📝|

LetsView Headquarters
Joined August 2020
Photo by Lets-View-Stories (@view_lets)Photo by Lets-View-Stories (@view_lets)Photo by Lets-View-Stories (@view_lets)Photo by Lets-View-Stories (@view_lets)Photo by Lets-View-Stories (@view_lets)Photo by Lets-View-Stories (@view_lets)Photo by Lets-View-Stories (@view_lets)Photo by Lets-View-Stories (@view_lets)Photo by Lets-View-Stories (@view_lets)Photo by Lets-View-Stories (@view_lets)
Alarms zililia, ila Mungu ndio katuamsha tena leo..!!🙏
1
2
272
SIKU KAMA YA LEO. 🦅Mwaka 1994, Afisa wa zamani wa CIA, Aldrich Ames, alikiri kwamba alisambaza siri za Serikali ya Marekani kwa Umoja wa Kisovieti. Ames alihukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya mkasa huo. #SikuKamaYaLeo
2
90
Alarms zililia, ila Mungu ndio katuamsha tena leo..!!🙏
2
171
SIKU KAMA YA LEO. 🦅Mwaka 2005, Joseph Ratzinger alisimikwa rasmi kama Papa Benedikto wa XVI. Mjerumani huyo alitazamwa kama Papa mwenye mtazamo mkali wa kihafidhina—tofauti kabisa na mrithi wake, Papa Francis. #SikuKamaYaLeo
1
4
302
Alarms zililia, ila Mungu ndio katuamsha tena leo..!!
2
292
SIKU KAMA YA LEO. 🦅Mwaka 1945, Adolf Hitler alikiri kushindwa katika WWII, mara baada ya kujua kwamba vikosi vya Urusi vilikuwa tayari vimekwisha ingia katika mji wa Berlin. #SikuKamaYaLeo
2
116
SIKU KAMA Ya LEO. 🦅Mwaka 1792, Sheria ya Mint ya mwaka huo iliianzisha Dola kama sarafu ya Marekani. Kwa sasa, takriban theluthi mbili ya biashara za kimataifa zinategemea fedha hiyo. #SikuKamaYaLeo
1
2
116
🦅Meli ya mwisho ya watumwa iliyokuwa ikienda nchini Marekani kutokea Africa ya magharibi, iliwasili Mobile, Alabama, Mwaka 1860, ikiwa na jumla ya wafungwa 160. Mmoja ya wafungwa hao alikuwa ni Cudjo Lewis, ambaye alijua fika kuwa, maisha ya utumwani yaliyokuwa mbele yake….
1
1
7
761
….yalikuwa yakienda kuzizika tamaduni zao katika nchi hiyo ya ugeni. Hivyo basi, pindi Cudjo alipoachiwa huru, baada ya kukomeshwa kwa biashara ya utumwa, alijichanga na kisha kununua hekari mbili za ardhi kwa ajili yake na wafungwa wenzake waliokuwa wamekuja na meli ile.
1
2
75
SIKU KAMA YA LEO. 🦅Mwaka 2006, Mwanzishi wa mtandao wa X (zamani, Twitter) ali-tweet kwa mara ya kwanza kwenye mtandao huo. #SikuKamaYaLeo
1
62
Alarms zililia, ila Mungu ndio katuamsha tena leo..!!🙏
1
4
181
Alarms zililia, ila Mungu ndio katuamsha tena leo..!!🙏
7
184
Alarms zililia, ila Mungu ndio katuamsha tena leo..!!🙏
1
9
246
Alarms zililia, ila Mungu ndio katuamsha tena leo..!!🙏
5
257
SIKU KAMA YA LEO. 🦅Mwaka 1876, Simu ya kwanza katika historia ilipigwa. Alexander Graham Bell alizungumza na msaidizi wake Thomas A Watson aliyekuwa chumba cha pembeni yake kwa simu akisema; “Mr. Watson, come here -- I want to see you”. #SikuKamaYaLeo
1
5
152
Alarms zililia, ila Mungu ndio katuamsha tena leo..!!🙏
5
178
Alarms zililia, ila Mungu ndio katuamsha tena leo..!!🙏
1
3
231
🦅Ignatius Sancho alizaliwa mwaka 1729 kwenye meli ya watumwa iliyokuwa ikielekea Karibiani. Alipoteza wazazi wake alipokuwa na umri wa miaka miwili tu na alipelekwa Uingereza, ambapo kuna akina dada watatu kutoka huko Greenwich walimchukua.
1
2
3
510
🦅Siku moja, alikutana na Duke wa Montagu (1690–1749), ambaye aliona jinsi Sancho alivyokuwa na akili sana, hivyo Duke huyo alimsaidia Sancho kupata elimu. Baada ya Duke huyo kufariki mwaka 1749, Sancho alimshawishi mjane wa Duke amchukue kutoka kwa wale akina dada,….
1
53
Alarms zililia, ila Mungu ndio katuamsha tena leo.!!🙏
3
138
Alarms zililia, ila Mungu ndio katuamsha tena leo..!!🙏
163