EW Sifuna the 6th (@80thsection) profile picture
Joined January 2023
“Polepole, usiogope safari, hatua ndogo zina maana kubwa, usijilinganishe na wengine, njia yako ni ya pekee”
2
3
1,795
Leo nimesikiliza nyimbo ya FID Q Marafiki kwa mara nyengine baada ya muda mrefu kwa saa moja!
24
Mtu na heshima zake anaenda kula sehemu, anakula samaki wote anabakisha kichwa anasema nalipa hivyo vyengine ila Samaki alikuwa na chumvi sana.
28
Last week in a Job interview niliuliza HR "This job has been posted for 4 months,you’ve had qualified candidates,what are you looking for that you’re not seeing in them?” And she paused and said “I need a minute to formulate an answer” leo ndio nimepatana na rejection email😂😂
6
57
2
478
15,104
The sale on Adidas and all global shops today is crazy 🙌🏽
29
Sasa hapo kuna shida gani Mayombi?
Watu wa Dar walivyo na Malezi mabovu unakuta mwanamke na Mwanaume ambao hawajuani wamepanda boda moja
1
43
Replying to @Makaveli_255
Watu wanaopakiana mshikaki njia kama Kilwa Rd hawamalizi mwezi lazima kuwe na shida. Hawataki tu kufanya namna!
1
1
1
1,077
Homelessness in America. A person could have siblings, kids or even parents living in mansions and still be homeless themselves. Like they will legit live in nursing homes, their families will call them to check on them and even visit them, but will never allow them live in their homes. I’m not talking about sick people. It’s a crazy all man for himself culture.
What was the biggest culture shock you faced abroad?
91
664
30
6,310
293,518
Replying to @siimasoud
😂😂 na si kwa ubaya, watu waishi na amani tu kwa machaguzi yao. Usije kulalamikia watu humu kila unaempenda ana mtoto na ambao hawana wapo chungunzima!
2
45
EW Sifuna the 6th retweeted
Tena nowadays fine babes well into their 30s are childless and single. Ukidaka mwenye ana mtoto that's on you 😂😂
Replying to @_rockatansky__
Watu wana wazimu, you can’t tell me huku nje unakosa a woman of your preference!
1
1
114
Replying to @_rockatansky__
Yeyote ambae yuko kwa relationship na 1-0 or more babe that’s not his baby mama or wife ameamua mwenyewe!
1
1
1
120
Replying to @_rockatansky__
Ada za Day Care na Kindergarten zinatisha kama za Gym, acha Kiswahili wakikute mtaa 😂
1
65
Replying to @jwise017
Hahaha matajiri ndo wasubiri week ya punguzo kweli?
1
1
1
54
Replying to @_rockatansky__
Watu wana wazimu, you can’t tell me huku nje unakosa a woman of your preference!
1
165
Replying to @theImpalar
😂😂😂😂😂
26
EW Sifuna the 6th retweeted
Mkeo anabeba mimba for 9 months lakini inapofika muda wa kujifungua unapigia marafiki kuomba msaada wa fedha as if ni jambo limetokea ghafla, tubadilike wanaume wenzangu, kila kitu ni cha muhimu lakini chagua ambalo ni muhimu zaidi, emergency zipo lakini sio kama hizi!
8
39
6
162
Discount iliyopo Woolworths sasaivi kwa nguo za watoto unaweza fikiri na wewe umeingia middle class kumbe ni season ya vitu bei rahisi 😅
1
1
194
EW Sifuna the 6th retweeted
This is the best way to end a fight
46
55
1
1,551
306,941
Unapenda hiyo kitu baada ya 300K 😁
This quoted post is unavailable.
1
72