Debrizy_Alex retweeted
hii mida yangu ya kurusha hey DM tano halafu nazima data nalala watakaojibu nitachat nao kesho usiku๐๐ซต๐ฝ
Debrizy_Alex retweeted
Kabla ujalala kumbuka kuwaombea na wale waliokufa Iringa kwenye ajali utakuta wengine ni wapwa humu ndani
Rest in peace ๐ baba zetu mama zetu kaka zetu dada zetu
Debrizy_Alex retweeted
*SPORTYBET DAILY SLIP ODDS 2.0 WON*๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅโ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
โ
๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ธ๐ฐ๐ฐ๐ฐ๐ฐ๐ฐ๐ฐ๐ฐ
Meseji WhatsApp๐ : 0788097114๐
@Injinia777
Debrizy_Alex retweeted
Mungu awasaidie mabinti zetu wanaokua wallah ๐ญ๐ญ๐ญ
Angalia hii video hapa kwenye comment ๐๐
Debrizy_Alex retweeted
Leo ndio nagundua kwanini babu zangu wa kichaga waliamua kuomba uhuru wa wachaga peke yetu hakika tungekua mbali sana.
Debrizy_Alex retweeted
Hivi ikitokea Umemuita Demu wako ghetto Ghafla akapata Changamoto ya Kiafya akafariki hii kesi yake inakuaje.? Wanasheria mtusaidie.
Debrizy_Alex retweeted
Ambao hamjaoa wala kuolewa usiku huwa mnawezaje wezaje kukesha wenyewe mpaka kunapopambazuka.
Debrizy_Alex retweeted
Chabi Alonso ana mechi 10 points 16
Bajeti โฌ350m+ ,
Tukiacha ushabiki na mihemko ,Liam Rosenior alikuwa Bora kimbinu kuliko Chabi Alonso
Mazingira toxic ndio yalimfanya Rosenior afeli ,ila kimbinu kamuacha mbali Chabi Alonso.,
#mchambuzihuru
Debrizy_Alex retweeted
USA ndo inchi kubwa duniani na inaogopwa na Mataifa mengi ila Kuna mjinga mmoja haiogopi marekani akaamua kutengeneza USB.
Debrizy_Alex retweeted
TCL inch 55 Smart 4k ๐ฅ๐ฅ
Bei 1,080,000/=
0717274856
Delivery popote ulipo






























