Pinned Tweet
Hivi pale mteja na muuzaji wamemaliza mauziano ya bidhaa anayetakiwa kutoa shukrani ya ahsante ni mteja au muuzaji ?
PàChâ#1738 💫 retweeted
BRO TO BRO
Kuwa na tamaa ya kuwa mwanaume unayeweza kuyaishi haya.
•kujenga mwili thabiti
•Fanya mazoezi ya akili yako
•Tawala hisia zako
•Timiza ahadi zake
•Linda amani yake
•Tunza familia Yake
Never stop,Level up!
PàChâ#1738 💫 retweeted
Hii ngoma nayo kwa hawa watatu wa juu imebalance
Rs Berkane 🇲🇦
Simba Sc 🇹🇿
Orlando Pirates 🇿🇦
Colombe Sportive 🇨🇲
Colombe hana bahati
Wahuni wa juu wanampigia yeye hesabu
PàChâ#1738 💫 retweeted
Nimeipenda hii 👇
Mtoto wa kichina hana haki ya kuhusishwa au kijihuisha na imani yoyote mpaka pale atakapofika miaka 18.
PàChâ#1738 💫 retweeted
Twende mbele afu turudi nyuma
Demu ukimfukuzia kwa mda mrefu afu akijakukupa ramaniii dakika za majeruhi
Ningumu sana kudumu nae.
Kwani hii husababishwa na nini?
PàChâ#1738 💫 retweeted
Honi ya gari ukiisikia ni ishara kua kuna hatari mbele inakuja ,,vivyo hivyo ukiwa unaletewa mwanamke uoe honi nyingi sana zinapigwa kukuambia kuna hatari kubwa inakuja.
Mambo mengine hayahitaji vidato .
PàChâ#1738 💫 retweeted
Mtasema ni malezi mabovu kizazi hiki kumbe mungu baba kaishiwa material na umri umeenda huko mbinguni hawezi tena kuumba anafanya kusampo tu.
PàChâ#1738 💫 retweeted
Fuuuuuuuuuuck Mapenzi kitu najutia kwa nini wanaume tumepewa moyo wa kupenda. 🖕🏼🖕🏼🖕🏼
PàChâ#1738 💫 retweeted
Bro to bro
Kama umeshaoa na umejipata halafu mke wako anapenda sana kuwasiliana/kuongea na mama yake mzazi,yani cm haziishi basi ujue Kuna matukio unapigwa/utapigwa🫵😃 – at Dar es Salaam, Tanzania
PàChâ#1738 💫 retweeted
ACHA KUWASHA LOCATION KWENYE SIMU YAKO MUDA WOTE, FANYA HIVYO INAPOBIDI TU EITHER UMEBOLT N.K.
Sema mambo ni magumu sana kuna clip niliona yule jamaa alikuwa anaelezea jinsi ambavyo unaweza kuhisi unataka kutekwa na ukajikinga na kutekwa ila akaishia kutekwa yeye, aisee haya mambo hayana wenyewe.
PàChâ#1738 💫 retweeted
Kila jambo baya linapotokea CHADEMA, ma’influencer mnakimbilia kuwashambulia Lema na baadhi ya viongozi wa Kamati Kuu mkiwatuhumu kusaliti na kuuza harakati. Mkiambiwa mthibitishe mnaingia mitini!
Cha kushangaza mambo yakitulia tuhuma nazo zinayeyuka! Ikitokea tu sintofahamu watu wanaibuka, nabaki najiuliza hapa tunajenga chama kweli?
Acheni siasa za lawama na tuhuma za uongo zakuchafua watu ndani ya chama na kama kweli anafanya hivyo wekeni evidence hadharani na fuateni taratibu za chama ili mtu awajibishwe
Huwezi kudai unakitetea Chama huku daily unabomoa imani ya wanachama kwa viongozi wao. Mambo kama haya ya wapinzani kutuhumiana wao kwa wao yanawapa watawala power yakuchekea chooni



























