Aneth Stanley (@AnethStanley) profile picture

After you die, you will meet God. It is appointed unto men once to die, but after this the judgement.-Hebrew Repent of sins before it's too late.

Johannesburg, South Africa
Joined June 2017
Photo by Aneth Stanley (@AnethStanley)Photo by Aneth Stanley (@AnethStanley)Photo by Aneth Stanley (@AnethStanley)Photo by Aneth Stanley (@AnethStanley)Photo by Aneth Stanley (@AnethStanley)Photo by Aneth Stanley (@AnethStanley)Photo by Aneth Stanley (@AnethStanley)Photo by Aneth Stanley (@AnethStanley)Photo by Aneth Stanley (@AnethStanley)Photo by Aneth Stanley (@AnethStanley)
Maumbile yako kamili ya kike,isiwe sababu ya kuwanyanyasa na kuwaumiza wanaume FREEMAN MBOWE SIYO GAIDI.
35
86
8
743
Young kids in Gaza are fully armed and ready to go to war. These are the "innocent children" the world cries about. How did they fool the world?
1,331
3,411
350
7,148
179,222
Aneth Stanley retweeted
Niitieni katambi
5
18
1
293
55,113
Huyu Stivu Mengele anaongea kuhusu wenyeviti wa CCM kama nani? Maana ye anajulikana ni chawa wa Mama na swahiba wa Abdul Washaanza kuchanganyana! ๐Ÿคฃ WanaCCM wa chini wamenuna na wamechukizwa na kufukuzwa kwa Nchimbi Haya Stivu tuambie Nchimbi mmemficha wapi? #FreeNchimbi #SamiaMustGo
11
63
1
308
33,943
Aneth Stanley retweeted
Katambi umeonywa vikali umeambiwa uache usenge Uwaziri umekulewesha!!
9
54
2
543
29,230
Aneth Stanley retweeted
Christians are being massacred, and their women kidnapped, raped, and forcibly converted to Islam daily in Nigeria. This past year, more Christians have been killed in Nigeria than Palestinians in Gaza. And still, not a single protest for them!
398
11,092
370
21,432
170,062
Aneth Stanley retweeted
Angalia hii ripoti ya UCHUNGUZI kuhusu UTEKAJI ambao umefanywa na WAANDISHI WA HABARI wa kituo cha "KTN" hapo Kenya. Yani waandishi wapo huru kulikosoa Jeshi la polisi kuhusu UTEKAJI na unaona muandishi anafanya kile anachokipenda kwa WEREDI. Hapa ndio wale waandishi wa story za "UCHUNGUZI" wanaona fahari kufanya kazi yao wanayoipenda na kuiwasilisha kwenye jamii. Lini uliwahi sikia UANDISHI WA HABARI kama huu kwenye media zetu Bongo? Taifa limetekwa hili..!๐Ÿ’”
28
201
2
1,037
33,292
Aneth Stanley retweeted
Hiyo dhamira itatoka wapi ACT Wazalendo mmekubali kuwa sehemu ya kuhalalisha matendo matukufu ya serikali haramu?๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค” You cannot eat your cake and have it.
VIDEO: Waziri Mkuu Kivuli wa Chama cha ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita, amevishambulia vyombo vya ulinzi na usalama nchini kwa kudai kuwa vimeshindwa kuonesha nia thabiti ya kukabiliana na matukio ya utekaji, mauaji, na watu kupotea. Akizungumza na wanahabari leo Jumapili mkoani Dar es Salaam, Mchinjita amesema kuwa nchi imekuwa ikikabiliwa na wimbi la matukio ya utekaji, mauaji, na kupotea kwa watu bila kujulikana waliko, lakini hakuna taswira yoyote kutoka kwa vyombo vya dola inayoonesha kuwa kuna tatizo kubwa linalopaswa kushughulikiwa kwa dharura. โ€œUkirejea ripoti nyingi zinazoonesha kwamba mamia ya Watanzania wamepotea, watu wameuawa lakini huoni ukisikiliza viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama haupati taswira kwamba wanataka kukabiliana na jambo kubwaโ€, ameeleza Mchinjita ambaye pia Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara.
1
9
2
31
1,606
Aneth Stanley retweeted
Hizi taarifa zinazoenea mitandaoni hasa kule FB kwamba Balozi Polepole yupo Ukonga ni za kweli?? Maana mpaka Askofu Mwamakula kaipost.๐Ÿค”
28
67
1
1,223
70,894
Aneth Stanley retweeted
Dear America, you have forgotten Islamic terrorism on September 11, 2001.
403
2,431
92
8,688
149,798
Aneth Stanley retweeted
Kumbe wasanii, ambao ni watuhumiwa wa makosa ya jinai, walipewa Shilingi 50,000 kwa ajili ya kununua chakula baada ya kusema kwamba walikuwa na njaa! Ama hakika njaa haina adabu!
26
22
5
201
37,940
Aneth Stanley retweeted
Uzuri wa Maaskofu wakatoliki ni kama wauguzi wanakuchoma sindano kulingana na tatizo lako๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Peleka moto, Peleka moto๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿซต
3
44
1
193
7,492
Aneth Stanley retweeted
Not true. Kuna waTZ wengi SA wanafanya kazi rasmi na wengine wako ktk hekaheka na wanapata kipato vizuri tu. Lugha sio constraint. โ€˜Waliochokaโ€™ ni waliozamia, hawana kazi na biashara yao ni madawa & matukio. Kundi hilo wengi ni wasomali, ethiopians, Zim, Nigerians, Mozambiq, etc!
Nahisi kwa mataifa yote waliorudishwa toka SA wabongo tu ndo wamechoka zaidi, wengine kama Wazimbabwe wamerudi wako fresh kwasababu ya aina ya kazi wanazofanya wakiwa kule, nadhani tuweke mkazo wa lugha ili watu wakitoboa wakapate kazi nzuri kama hotelini au airpots.
10
29
1
347
19,532
Aneth Stanley retweeted
๐Ÿšจ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ PALESTINE : This Palestinian man was lying on the ground, pretending Israeli forces had beaten him. Meanwhile, a UN cameraman was recording everything. And people still wonder why they stopped trusting these videos. Verify the source, full footage, date, location, and context before believing or sharing viral claims.
354
1,076
120
2,803
367,434
Aneth Stanley retweeted
Replying to @Khan_Fatimaa1
An actor working for Gazawood. He is very busy crying with "bodies".
36
4
53
3,054
Aneth Stanley retweeted
Gaza has amazingly creative film makers!
๐Ÿšจ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ PALESTINE : This Palestinian man was lying on the ground, pretending Israeli forces had beaten him. Meanwhile, a UN cameraman was recording everything. And people still wonder why they stopped trusting these videos. Verify the source, full footage, date, location, and context before believing or sharing viral claims.
563
1,986
67
9,946
238,977
Aneth Stanley retweeted
Haya mambo ni ya ajabu kweli kweli Kuna upuuzi mwingi sana unaendelea nyuma ya pazia kumbe
2
16
120
24,212
Jibu fupi: HAPANA โŒ Huyu hana mamlaka hiyo - ye kazi yake kumfurahisha aliyemteua kwa hotuba na matamko ๐Ÿ™„
JE WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI ANA MAMLAKA KIKATIBA NA KISHERIA KUTOA WITO KWA MTU/ MTUHUMIWA KUJISALIMISHA MBELE YAKE KWA MAHOJIANO?? Na Wakili Maduhu William SEHEMU YA KWANZA. Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Ndugu Patrobasi Katambi akitoa wito kwa baadhi ya watu kujitokeza mbele yake kwenda kujibu tuhuma zinazowakabili. Baada ya watu hao kujitokeza mbele ya ndugu Katambi, amekuwa akijitokeza hadharani na kutangaza msamaha kwa watu hao kwa hoja kwamba walalamikaji wamekubali kusamehe. Kama wakili na Afisa wa Mahakama nimekuwa nikijiuliza maswali yafuatayo 1. Je Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ana mamlaka kikatiba na kisheria kutoa wito kwa mtuhumiwa kujitokeza mbele yake kwa mahojiano juu ya tuhuma zinazomkabili?? 2. Je Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi ana investigave machineriea za kufanya uchunguzi wa tuhuma za kijinai?? 3. Je Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ana mamlaka ya kutoa msamaha kwa tuhuma za kijinai?? 4. Je tuhuma za kijinai zikisharipotiwa kwenye vyombo vya dola kama Polisi,, aliyeripot tuhuma hizo ana mamlaka kisheria kuzifuta au kusamehe juu ya tuhuma hizo?? 5. Msahama wa waziri unaishia wapi?? Naomba nianze na swali la Kwanza. 1. Je Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ana mamlaka kikatiba na kisheria kutoa wito( Summons) kwa mtuhumiwa kujitokeza mbele yake kwa mahojiano juu ya tuhuma zinazomkabili?? Naomba tukubaliane kwamba nchi yetu ni nchi inayoongozwa kwa utawala wa sheria kama ilivyoanishwa katika ibara ya 3,4 na 8 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,, hivyo vipo vyombo vilivyopewa mamlaka kisheria ya kushughulika na jinai kulingana na aina ya jinai yenyewe. Kwa ujumla zipo taasisi ambazo ama zimeanzishwa kikatiba au kisheria kushughulika na masuala ya kijinai,, kwa mfano kwa mujibu wa ibara ya 147 ya Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977, ikisomwa kwa pamoja na Sheria ya Jeshi la Polisi na Huduma Saidizi Sura ya 322 rekebu ya mwaka 2023,, ikisomwa na PGO toleo la mwaka 2021 Jeshi la Polisi ndio taasisi Mama iliyopewa majukumu ya kusimamia ulinzi wa wananchi na mali zao ikiwemo kushughulika na masuala ya kijinai ikiwemo kukamata na kupeleleza. SEHEMU YA PILI. Kwahiyo tunakubaliana kwamba kwa mujbu wa Katiba,, Sheria ya Jeshi la Polisi na Huduma Saidizi Sura ya 322,,Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai Sura ya 20 rekebu ya mwaka 2023 na PGO mamlaka ya kutoa wito kwa wahalifu,,kukamata,,kufanya mahojiano na kufanya upelelezi yako mikononi mwa Jeshi la Polisi na kiuhalisia kwenye Sheria zote hizi hakuna mahala anatajwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi( na kama kuna kifungu cha aina hiyo nitaomba nionyeshwe au nisimamishwe uwakili) Taasisi zingine zenye mamlaka kisheria ya kutoa wito na kufanya upelelezi kwa makosa ya jinai ambazo nazo kimsingi huwa zinafanya hivyo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi ni pamoja na Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini( TAKUKURU) kama inavyoanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 5 Cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura ya 329 Rekebu ya mwaka 2023 ambapo taasisi hii imepewa mamlaka ya kushughulika na jinai kwa makosa maalum ya Rushwa na uhujumu uchumi ambapo kimsingi maafisa waofanya ukatamaji ndani ya taasisi hii ni Polisi. Sheria nyingine ni ile ya kupambana na Makosa ya Uhujumu Uchumi Sura ya 279 rekebu ya mwaka 2023 ambapo Jeshi la Polisi na TAKUKURU kwa upande mwingine zimepewa mamlaka ya kupambana na makosa yenye sura ya uhujumi uchumi, rushwa na Utakatishaji wa fedha haramu kama ilivyoanishwa katika vifungu vya 57 na 60 vya Sheria ya Kupambana na Uhujumi vikisomwa kwa pamoja na kifungu cha 12 cha Sheria ya kuzuia na kupambana na Utakatishaji wa Fedha haramu Sura ya 423 rekebu ya mwaka 2023. Soma full thread ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
1
36
1
204
18,269
9
34
3
189
6,376
Aneth Stanley retweeted
โ€œNgumu sana.โ€
8
1
64
1,583