AzamPesa (@AzamPesa) header
AzamPesa (@AzamPesa) profile picture

Tuma pesa BURE AzamPesa kwenda Azampesa Makato ni madogo mno kwa miamala mingine. Okoa hadi 70% Pakua App ufurahie unafuu wa AzamPesa

Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2019
Photo by AzamPesa (@AzamPesa)Photo by AzamPesa (@AzamPesa)Photo by AzamPesa (@AzamPesa)Photo by AzamPesa (@AzamPesa)Photo by AzamPesa (@AzamPesa)Photo by AzamPesa (@AzamPesa)Photo by AzamPesa (@AzamPesa)Photo by AzamPesa (@AzamPesa)Photo by AzamPesa (@AzamPesa)Photo by AzamPesa (@AzamPesa)
ZIRO KOTEKOTE! Huu ni Unafuu uliopitiliza, Ni rasmi sasa wateja wa Azampesa wanaweza kufanya miamala BURE kwa Azampesa. Miamala inayofanywa BURE ni pamoja na: Kutuma pesa Azampesa - Azampesa Kutuma pesa Azampesa kwenda mitandao mingine Kununua LUKU/TUKUZA Kufanya malipo ya serikali Kulipia Bili (Vingamuzi vyote) Kukata Tiketi Kufurahia huduma hii jisajili sasa na Azampesa kupitia Azampesa App. azampesa.sng.link/Cnr10/7ndd… #azampesa #jisajilisasa #zirokotekote #usikubalikupigwa
2
1
10
1,798
AzamPesa retweeted
Replying to @AzamPesa
Azam Pesa Bure kabisa🔥🔥
2
3
143
Usisubiri mpaka uhadisiwe. @AzamPesa to the rescue.
Ndio kama ulivyosikia iko hivyo. Kutuma pesa kutoka AzamPesa kwenda mitandao yote ni BUREE! 👇🏿
1
3
28
Ndio kama ulivyosikia iko hivyo. Kutuma pesa kutoka AzamPesa kwenda mitandao yote ni BUREE! 👇🏿
Mmh ni kweli kutuma kwenda mitandao yote ni bure?
1
3
1
17
669
Kadi yako ya mtandaoni kwa AzamPesa. Iwe Spotify, Netflix Malipo ni fasta na rahisi. Ni wewe tu! Few clicks, Imeisha hiyo.
2
8
366
Mheshimiwa kasema Dar ni sehemu ya Biashara. Sasa wewe endekeza MAKATO tu. Pesa yako unaiacha watu wanaichukua kiulaini, wanakata kwenye kila muamala. Kataa tozo, fanya miamala kwa urahisi na unafuu na AzamPesa.
1
1
4
336
Hii miezi miwili iliyobaki ni miezi ya kufanya comeback matata sana ili kutimiza malengo yako. Kila muamala bila makato na AzamPesa unaokoa pesa. Kama huyu kaokoa ela ya sikukuu kabisa, anapata Mbuzi mzima wa Christmas mitaa ya Chalinze.
1
2
288
Ziro, "Tunasema ...Ziro" 🎤 Halafu we unamalizia "Kote Kote" Ziro 🎤 ......
Kila nikitaka kutuma Hela kutoka @Azampesa kwenye Mtandao wowote najiuliza kabisa hivi hawa jamaaa wanapataje Faida? Yani natuma Buree bila Makato? Huu Uungwana gani mnafanya @Azampesa kwa Watanzania? Anyway nimtumie Mama mkwe hapa 20k ya kumshukuru kunizalia huyu Pinky😂
1
1
238
AzamPesa retweeted
Kila nikitaka kutuma Hela kutoka @Azampesa kwenye Mtandao wowote najiuliza kabisa hivi hawa jamaaa wanapataje Faida? Yani natuma Buree bila Makato? Huu Uungwana gani mnafanya @Azampesa kwa Watanzania? Anyway nimtumie Mama mkwe hapa 20k ya kumshukuru kunizalia huyu Pinky😂
8
1
7
428
AzamPesa retweeted
Sio kwa ubaya ila kwenye mfumo wa kulipa kidijitali wale majama wa AzamPesa wako active balaa hata iwe usiku wa manane unalipia fresh tu bila changamoto ya kimtandao ni hawalali kabisa🙌🏾
17
32
1
106
3,095
Dili limetiki....hauna haja ya kuangaika tena!
2
3
242
Kwetu hakuna makasiriko ya Makato @AvekiKigwa mwenyewe anajua.
Replying to @AzamPesa @mlabwa
Natumia Azam pesa tangu kitambo so my self nishachagua kitambo sana, mnanisevu sana kulipia king'amuzi cha Azam TV 🤣🤣
7
293
OFA! Cha juu zaidi. Ukilipia kifurushi cha Tsh 28,000 AzamTV kwa AzamPesa unapandishwa kifurushi cha Tsh 35,000. Ni mwendo wa Burudani tu!
Replying to @AzamPesa
Nazikia pia nikilipia AzamTV kupitia AzamPesa napandishwa kifurushi cha juu yake ni kweli.???
1
1
2
226
Leo Rasmi nimeamua kupakua App ya AzamPesa wacha nione wanajambo gani la utofauti sokoni.!!
6
11
1
61
2,356
AzamPesa retweeted
Ukianza kujipata, zingatia kwenda... Cashless. Achana na fiat. Sehemu nyingi zina LIPA siku hizi. Hii inakusaidia kuokoa vile vipengele vya "naomba buku." Hizo buku buku zote zinabaki kwenye akaunti Yako ya AzamPesa. #NafuuNiAzamPesa
1
6
226
Ukianza kujipata, zingatia kwenda... Cashless. Achana na fiat. Sehemu nyingi zina LIPA siku hizi. Hii inakusaidia kuokoa vile vipengele vya "naomba buku." Hizo buku buku zote zinabaki kwenye akaunti Yako ya AzamPesa. #NafuuNiAzamPesa
1
6
226
AzamPesa retweeted
Replying to @mlabwa
Well, why suffer when you have us? Lowest charges in the market. Download AzamPesa app and see for yourself. 🫵
2
1
3
109
Kama ulikuwa unajiuliza jinsi ya Kutuma Pesa kutoka Mitandao Mingine/Benki kuja kwenye Akaunti yako ya AzamPesa basi hakuna haja ya kujiuliza tena. Maelezo yote yapo ndani ya application yako ya AzamPesa. Fungua AzamPesa halafu chagua kipendele cha WEKA PESA (Add Money) Utapata maelekezo yote ya kutuma pesa zako kuja kwenye akaunti yako ya AzamPesa kutoka mitandao yote. Kwa Msaada au Maswali Zaidi tutumie DM au Piga 0800 785 555 BUREE! Nafuu ni AzamPesa. Endelea kufanya miamala kwa unafuu bila MAKATO.
2
215
AzamPesa retweeted
Makato ya Miamala toa hiyo 25K Peleka kwa matumizi mengine bakisha labda 2K ukiwa na AzamPesa
1
1
2
110