The G- ⚜️ (@Realgody7) header
The G- ⚜️ (@Realgody7) profile picture

Mwanasheria wa Mambo Mepesi | Born to a Tutsi woman🏝

kahama
Joined August 2024
Photo by The G- ⚜️ (@Realgody7)Photo by The G- ⚜️ (@Realgody7)Photo by The G- ⚜️ (@Realgody7)Photo by The G- ⚜️ (@Realgody7)Photo by The G- ⚜️ (@Realgody7)Photo by The G- ⚜️ (@Realgody7)Photo by The G- ⚜️ (@Realgody7)Photo by The G- ⚜️ (@Realgody7)Photo by The G- ⚜️ (@Realgody7)Photo by The G- ⚜️ (@Realgody7)
Ipo siku Mungu atakupa watu wameambiwa kila kitu kuhusu wewe lakini hawatakuacha na watakukubali na kukupenda na kukupokea jinsi ulivyo. Usiogope, Usiwe mnyonge..JIAMINI🙏
9
36
55
2,235
The G- ⚜️ retweeted
❍ 🇹🇿 NBCPL- Djigui Diarra ❍ 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 EPL- Alex Scott ❍ 🇪🇸 La Liga- Mbappe ❍ 🇮🇹 Serie A- Calhanoglu ❍ 🇩🇪 Bundesliga- Olise ❍ 🇫🇷 Ligue 1- Duoe
Dondosha jina la mchezaji unaye mkubali katika kila ligi: ❍ 🇹🇿 NBCPL ❍ 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 EPL ❍ 🇪🇸 La Liga ❍ 🇮🇹 Serie A ❍ 🇩🇪 Bundesliga ❍ 🇫🇷 Ligue 1
1
4
85
Sema hiz taarfa siogo za kuamini ndio yale ya Chief kafilisiwa magari yote
Ikiwa ni mwezi mmoja umepita toka Dominic aseme alianza Biashara yake ya kuuza jeans Kwa Mtaji Wa Milioni 250, Sasa habari ni kwamba maduka yote ambayo ilijulikana yeye ndo mmiliki yame fungwa kote Nchini. Habari iliyopo ni kwamba yeye hakuwa Mmiliki Bali alikuwa kama msimamizi mkuu wa maduka hayo. Sasa kilicho tokea ni kwamba Mmiliki halisi alijikuta anaingia kwenye madeni kutokana na Biashara hiyo kutozalisha kile alicho kiweka, huku Wafanyakazi wengi wa maduka hayo wakidai malipo yao. Unaambiwa Mmiliki wa maduka hayo ame waweka mahabusu mameneja wote wa maduka hayo huku Dominic yeye akikimbilia china. Leo ni siku ya pili maduka yote ya Room Of Jeans hayafunguliwi Kwa sababu ya mzozo huo.
1
1
11
The G- ⚜️ retweeted
Moja Ya Kitu Cha Kushukuru ni Kumuona Tundu Lissu Live nahisi watoto wa watoto wetu watasimuliana sana Habari Zake
2
28
203
1,616
The G- ⚜️ retweeted
Maumivu ya leo yanaweza kuwa hekima ya kesho >>>
2
10
19
362
The G- ⚜️ retweeted
💔💔💔 binadamu wanapanga Mungu nae anapanga, Hakika mipango ya Mungu ni mizuri mno ngoja tutaona.
7
20
51
546
The G- ⚜️ retweeted
Kwahiyo wameona likija suala la pesa haichukui dakika mbili wakaamua kutumia nguvu ee fresh wanetu
2
10
44
564
Maisha Waliopitia Watumiaji Wa Facebook, YouTube Na WhatsApp Leo, Ndio Maisha Ambayo Sisi Watumiaji Wa X Tunaishi Kila Siku. 😂🤔😎
7
14
56
1,045
The G- ⚜️ retweeted
"Hatujakukuta na kosa la mauwaji kama ulivyoshitakiwa. Lakini kwanini ulikuwa unacheka eneo la tukio? Wewe ulitenda kosa la kufurahia kifo."
47
140
10
747
22,762
The G- ⚜️ retweeted
Kweli Sheria ni pana sana nilikua sijui… Kwamba unaenda Mahakamani kujitetea kwa kesi uliyoshtakiwa halafu ukahukumiwa kwa Kesi nyingine ambayo hukusomewa hapo awali…
13
21
1
199
25,063
The G- ⚜️ retweeted
Ujue bila ya wanaharakati kutoboa siri ya hukumu ya Lisu. Ujue Lisu alikuwa anakula miaka tano wazee. Ukute wanaharakati ndo wamesababisha wale jamaa wakapunguza mwaka mmoja alafu anakuja yule dalali wa machame anasema tuwapuuzie wanaharakati. Fuck🚮
25
82
4
650
14,204
The G- ⚜️ retweeted
Sometimes, telling the truth becomes a crime when those in power fear it.
3
24
185
1,409
The G- ⚜️ retweeted
Kila Shari na heri yake tunasikitika haki hajatendeka kwa Lissu.Lakini hatujui kinachokuja Moi aliwafunga wapinzani wengi Raila na Matiba na Koigi Wamwere alitawala kwa mkono wa chuma lakini Kanu imekufa kwenye mikono yake.Leo Wakenya wanafurahia Katiba mpya Mahakama huru.
2
19
1
159
3,204
The G- ⚜️ retweeted
Tufanye nini saaa? kama tukiandamana kwa amani tunauawa, tukiongea tunapewa kesi za uhaini/uchochezi wasipotupata na hatia wanatuteka na kutupoteza kabisa💔
1
13
54
765
The G- ⚜️ retweeted
Na siku ya leo yani naiona ndefu kisenge, kuna mambo najaribu kuyatafakari lakini sipati jibu. Haya maumivu tunapitishwa sijui na kwanini hawajifunzi hawa watu. Ni kiburi cha namna gani hiki aise 💔💔💔
2
12
24
341
The G- ⚜️ retweeted
Pesa ya kodi ya mwezi mmoja pesa lazima apewe dalali, hii Inakataga Sana Maini Hivi kwanini hii pesa isiwe inatoka kwa mwenye pango..? Wawe wanamalizana na mwenye mjengo wao kwa wao, badala Ya Kutoka kwa Mpangaji.
2
15
55
870
The G- ⚜️ retweeted
Nchi ya kipuuzi, mahakama za watu wasiojua sheria .. mtu anajitetea kesi ya uhaini ila ila hukumu inatoka kwenye kesi mpya ambayo haiko mahakamani Kesi ya uchochezi imetoka wapi!?
1
37
216
1,592
The G- ⚜️ retweeted
Watanzania Twendeni Singida Kwa Wingi Tukamuwakilishe Tundu Lissu Kwenye Mazishi Ya Kaka Yake Mzee Alute.. !
9
104
559
4,788
2030 ndio mwaka tutakaopata ukombozi. Ataachiwa huru na utabiri utakuwa umetimia🙏 Let’s keep pushing 💪
45
201
1
1,475
28,333
The G- ⚜️ retweeted
Uyu tweep ana kuwaga na hoja Zilizo nyooka kama wewe sio mvivu wa kusoma una muelewa kwa haraka . Nb:jifunze kujenga hoja vizuri na kwa utulivu maana wewe una kujaga na fact sana
1
4
72
The G- ⚜️ retweeted
Mwenyekiti wako ana msimamo unwavering kama huo. Tusijekusikia kabisa watu wanaotaka kuenda sijui maridhiano na njia za panya. It ends today and mtu yoyote mwenye such ideas hapo CDM should be ashamed and publicly shamed .
14
91
6
375
16,747