
Data Privacy Officer (DPO) | Passionate about digital transformation, innovation, and creating impactful projects |+44 20 8638 6823 | [email protected] |London ๐ฌ๐ง
London, England
Joined September 2013
- Tweets58.2K
- Following7.4K
- Followers4.3K
- Likes6.2K
Pinned Tweet
Finally I realised, I'm Not a permanent Person In Anyone's Chapter, But I can Assure To Be A Best Temporary Person You Ever Meet.
BlessingChess retweeted
๐จ๐๐๐๐๐๐
Safari ya Mwisho ya Mwili wa mtoto Angel Wariaeli (13) aliyefariki Dunia kufuatia jeraha la kupigwa risasi Oktoba 29, 2025 umepumzishwa katika nyumba yake ya milele katika Makaburi ya nyumbani kwao kijiji cha Nkoasenga, Kata ya Leguruki wilayani Arumeru mkoani Arusha.
#MeaMswahiliUPDATES
BlessingChess retweeted
Replying to @MrB_Official04
Nilijua tu huyu Malaya lazima aweke jambo. Huyu malaya kapita na maCCM alikuwa hachagui. Kwwli hii nchi ina waliolaaniwa. Utafutaji wa huyu malaya ni kupigwa miti tena wanapita barabara zote Lani na ya vumbi
BlessingChess retweeted
Replying to @MrB_Official04
Ukija kwa mazuri kwamba ukiona mabaya utaacha kuyasema kisa umekalibishwa uyu sisiteri anautindio
BlessingChess retweeted
Replying to @MrB_Official04
Huyu ni nani anaetafuta matusi? Kwani Bongozozo kafanya nini zaidi ya kushauri? Hawa wapumbavu wanaonufaikq na ujinga wa watanzania wameshaamua kila anaeshauri ni tishio kwa nchi ili wao waendelee kututawala kwa mkono wa chuma.
BlessingChess retweeted
๐คYaan kwa Ufupii kosa la Bongozozo ni kusema ukweli tu ๐๐๐๐๐คท๐พโโ๏ธ๐๐พ๐๐พ๐
BlessingChess retweeted
๐จ๐๐๐๐๐๐
Dereva wa lori, Job Mbawala, amesitishiwa safari baada ya kubainika kuendesha gari kwa takribani saa 15 mfululizo bila kupumzika, katika operesheni maalumu ya ukaguzi wa usalama barabarani iliyofanywa na Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma.
Akizungumza na RTO Mkoa wa Dodoma, Job amesema alianza safari saa tatu asubuhi na kuendelea kuendesha hadi saa sita usiku kuelekea saa saba. Hata hivyo, licha ya kudai kuwa hajisikii kuchoka, RTO alibaini dalili za uchovu na kumtaka apumzike kabla ya kuendelea na safari.
#MeaMswahiliUPDATES
BlessingChess retweeted
Replying to @Sativa255
Vijana wadogo wenye mali nyingi.
Aya endeleeeni kuwa na mali nyingi katika umri mdogo alafu hamtuambiia mali mnatoa wapi
โ๐๐๐๐ฉ๐ ๐๐๐ ๐๐๐ข๐ก๐โ: ๐ฃ๐๐ฆ๐ง๐ข๐ฅ ๐๐๐ฅ๐๐ฆโ๐ฆ ๐ช๐๐ฅ๐ก๐๐ก๐ ๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐ข๐ฅ๐ ๐ฃ๐ฅ๐ข๐ฃ๐๐๐ง ๐จ๐๐๐๐ฅ๐ง ๐๐ก๐๐๐โ๐ฆ ๐๐ฅ๐ฅ๐๐ฆ๐ง
A week before Zimbabwean police arrested Prophet Uebert Angel, a video of Pastor Chris Oyakhilome addressing him at a church service was already public. In it, Oyakhilome told Angel he had been praying for him when he received what he described as a warning from God.
โGod has spoken and said, donโt touch him. Leave him alone,โ Oyakhilome said. Speaking directly to Angel in front of the congregation in Nigeria, the Christ Embassy leader warned that anyone who went after the Zimbabwean prophet was putting their own life at risk.
Sasa kama marashi ya 100K ni fake, hii tunayopimiwa na sindano ya ng'ombe ni nini Mungu wangu?๐๐
80
BlessingChess retweeted
Vijana wenzangu msiwahi kutamani au kupata ushawishi kwa watu ambao hamkuona Hustling zao..โ๏ธ๐
BlessingChess retweeted
Ukitaka kujua uchungu wa hili, kwenye nafasi ya Angel jaribu kumweka mwanao.
Ukatili wote huu halafu mpaka leo hakuna kuwajibika wala kujali.
Ndio kwanza unaambiwa โAngel alikuwa mhaini aliyelipwa mabilioni na mabeberu ili aharibu amani ya nchi.โ
BlessingChess retweeted
๐จ๐๐๐๐๐๐
Siku chache baada ya Eric Omondi, kupitia shirika lake la Sisi Kwa Sisi, kusaidia kukusanya takriban KSh milioni 10 kwa matibabu na mustakabali bora wa kijana Bryson Makokha, mwanamke amejitokeza kumuuliza juu ya kazi yake ya uhisani.
Kulingana na taarifa zilizosambaa mitandaoni, mwanamke huyo alimkosoa Omondi kwa kuhusisha watoto katika shughuli zake za msaada na kuwaweka picha na video zao kwenye mitandao ya kijamii.
Ripoti za awali kutoka Pulse Kenya na Tuko.co.ke zinaonyesha kuwa mchango huo ulifika KSh milioni 10.2 na ulikusudiwa kugharamia matibabu ya Bryson (mwenye umri wa miaka 17 kutoka Bungoma, anayesumbuliwa na ugonjwa adimu wa ngozi), upasuaji wa mama yake, ujenzi wa nyumba, na mfuko wa elimu.
#MeaMswahiliUPDATES
BlessingChess retweeted
Kujizaa kupo wakuu huyu hapa ni mtoto wa dully sykes mpaka sauti mshua kabisa๐๐พ
Watu wanarithi vitu vingi sana
BlessingChess retweeted
Replying to @EsirEid
Ni vile tu anakula sahani moja na walinzi wa sheria bila hivyo kanisa lisinge exist
BlessingChess retweeted
#TajiriLaKihaya
Mule mule๐คฃ๐
๐๐พ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
Replying to @EsirEid
Mtangazaji:Mtume kuna muujiza
Mwamposa:Nini kimetokea
Mtangazaji:Dada hapa tangu amezaliwa alikua awezi kutembea miguu imejikunja mara baada ya kukanyaga mazabau yako mtume dada anatembea
Mwamposa:Mwambia aje mbele,chapia yesu makofi nani mtenda miujuza
Waumini : Yesuuu mtume๐
BlessingChess retweeted
Replying to @EsirEid
Mtangazaji:Mtume kuna muujiza
Mwamposa:Nini kimetokea
Mtangazaji:Dada hapa tangu amezaliwa alikua awezi kutembea miguu imejikunja mara baada ya kukanyaga mazabau yako mtume dada anatembea
Mwamposa:Mwambia aje mbele,chapia yesu makofi nani mtenda miujuza
Waumini : Yesuuu mtume๐

















