𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63) profile picture

𝐄𝐯𝐞𝐫𝐲𝐭𝐡𝐢𝐧𝐠 𝐢𝐬 𝐚𝐛𝐨𝐮𝐭 𝐌𝐚𝐧'𝐬 𝐥𝐢𝐟𝐞 ✌️

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2023
Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 (@Brain_Pro63)
Sema single mother's wanazingua sana kmmke 97% wakubali wakatae!. Leo nimeshika simu ya huyu demu ambae na-date nae. Baada ya kuingia Kwenye messenger yake,nakutana na jumbe za yeye kuchati na baba watoto. Badae tulipopata muda wa kupiga story namuuliza huyu nani....
31
34
3
382
50,477
Sema kuna biashara zina hela kinoma ni vile watu mnajikita kwenye usomi sana!. Nikirudi mkoani morogoro nataka nifungue duka la miti-shamba. Urithi pekee usiokuwa na majungu,wala fitna. Babu kanipigia simu jana, akasema hivi;
1
4
24
856
Wajina najua upo mjini na unapambana sana,But now me umri umeenda nataka urudi kijijini ufanye hii biashara ya dawa ya kienjeji. Nikamuuliza ina hela,Babu? He said hela ipo nakuhakikisha,hautojuta,hata siku moja. Basi nikamuomba muongozo kidogo.
1
1
68
Akaanza kusema kwamba. Kila unapoenda porini,kila dawa utakayochimba kila ni 10k kwa kila aina ya mti. He said unaweza kuchimba dawa tano,kwa siku ukapokea 40k-45k. Nikamjibu ngoja nije X nione wenye uhitaji wa miti shamba wapo ili kukuza soko au wanangu ni ujinga hii?.
1
52
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Sure Nakumbuka jana, nilikuwa kazini. Wife akanipigia simu kuwa kuna mgeni(shoga ake),kafika home toka asubuhi. akanambia baba G,chakula hakitoshi na nimepata huyu mwenzangu tunafanyaje sasa. Me nimemwambia mfukuze kama unaweza,But budget hapo ilikuwa ya wewe na mwanangu.😅
Wazazi wetu zamani tulipokuwa wadogo walikuwa wanatukataza kula kwatu, hawakuwa na nia mbaya tusile kwa majirani bali logic ya chakula ni pana sana, Ukiwa mtu mzima unagundua sio kila chakula mpishi anandaa kwaajili ya kila mtu.
1
2
8
1,231
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Mzee wangu hakuwahi kuniambia masuala ya ukiwa mkubwa utaona ila kuna jinsi nilikuwa naact ananikata jicho hilo lenyewe linasema “ipo siku utajua” Aiseee ndo najua saa hii This Life weuh 😂🔥🔥
1
2
13
473
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Bro to Bro Simply kama demu wako anaweza kukaa masaa 24 bila kukutafuta. Trust Me; kuna msela anapigiwa simu kila baada ya saa moja,muda ambao wewe unatamani akutafute. Usikubali kuwa second hand, hakupendi huyo Bro. Never Be a Nice Guy,Ninja 🥷.
1
4
15
560
Bro to Bro Simply kama demu wako anaweza kukaa masaa 24 bila kukutafuta. Trust Me; kuna msela anapigiwa simu kila baada ya saa moja,muda ambao wewe unatamani akutafute. Usikubali kuwa second hand, hakupendi huyo Bro. Never Be a Nice Guy,Ninja 🥷.
1
4
15
560
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Nikadhani malaika ila izi camera
3
3
8
187
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Yani kisa umenitongoza nmekataa ndo unagoma hata kunirepostia post za matangazo kweli?!😭 Kuweni na huruma jamaniiiii😭🤲
29
32
2
103
2,296
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
UNAPANGA KUWEKEZA KWENYE APARTMENTS? USIANZE UJENZI KABLA YA KUZINGATIA MAMBO HAYA 8! 🏢 @GeoConstructors @Geo_Traverse 1 : UCHAGUZI WA ENEO – Chagua eneo lenye fursa nzuri za upangishaji na miundombinu inayofaa. 2 : UCHAMBUZI WA SOKO – Fahamu mahitaji ya wapangaji, aina ya apartments zinazohitajika na viwango vya kodi katika eneo husika. 3 : BAJETI YA MRADI – Panga gharama za ujenzi na matumizi mengine kwa kutumia B.O.Q. ili kuwa na makadirio sahihi ya fedha. 4 : RAMANI YA KITAALAMU – Hakikisha usanifu wa jengo unaendana na ukubwa wa kiwanja, bajeti na malengo ya mradi. 5 : IDADI NA UKUBWA WA UNITS – Panga idadi na ukubwa wa apartments kulingana na kundi la wapangaji unaolenga. 6 : MIUNDOMBINU MUHIMU – Zingatia upatikanaji wa maji, umeme, maegesho, mifumo ya maji taka na usalama. 7 : VIBALI VYA UJENZI – Hakikisha michoro na vibali vinavyohitajika vinakamilika kabla ya kuanza kazi. 8 : USIMAMIZI WA MRADI – Simamia ubora wa vifaa, kazi, muda na matumizi ya fedha kwa kushirikiana na wataalamu. HAPA NDIPO GEOTRAVERSE TUNAPOKUJA! GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES tunakupa suluhisho la kitaalamu katika hatua mbalimbali za uwekezaji wako, kuanzia maandalizi hadi utekelezaji wa mradi. Huduma zetu ni pamoja na: ▪️ Land Surveying & Consultancy ▪️ Architectural & Structural Designs ▪️ Building Plans & Approvals ▪️ Bills of Quantities (B.O.Q.) ▪️ Construction & Project Management ▪️ Uuzaji wa vifaa vya ujenzi. Tuna timu ya wataalamu wakiwemo Surveyors, Architects, Valuers na Engineers, wote katika kituo kimoja. UNA WAZO LA KUJENGA APARTMENTS? TULETEE WAZO LAKO, TUKUSAIDIE KULIBADILISHA KUWA MRADI HALISI. 📞 0719 336 667 | 0763 782 274 (WhatsApp) 📍 Dodoma, Barabara ya Tisa. @Geo_Traverse | @GeoConstructors GEOTRAVERSE — Your One-Stop Solution for All Your Land and Construction Issues. #GeoTraverse #GeoConstructors #ApartmentsDesign #RealEstateInvestment #ConstructionTanzania
2
43
2
45
1,208
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Wakuu msiwashangae wala kuwacheka watu wanao piga Block .......kuna mafala wapo humu wanapiga SPANA yaaani unakosa kabisa comeback njia ya kutuliza machungu inakubidi ublock tu😁😁🤣ila sijawahi block mtu
20
23
2
65
1,234
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Mtu anasahau password yake kwa usiku mzima ila asubuhi yake anakumbuka. Kugongwe is real wazee 💔
7
9
22
511
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Umeshika Nini Mkononi Mda Huu?
10
8
3
25
679
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
You are not everyone's cup of tea 🌚you might be somebody's glass of wine though 🤣🤣🤣 Somebody's favourite vintage wine🥂🥂
4
10
4
38
1,770
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
17
12
2
54
1,267
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Kama huna uwezo wa kutoa huduma nzuri, malezi, Ada, mavazi n.k Usizae. Ukizaa mtoto akaja kuteseka utakuwa umechuma dhambi. Huna uwezo wa kulea kwanini uzae mbwa wewe? Ndio maana watoto wanakuja kuwa majambazi, vibaka, machoko, wauaji n.k Sababu hukujiandaa kulea.
6
3
17
746
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Nani Mganga ? Nani Mganga? Kalumanzila! La! Lala Salama Ma! Mama mzazi Zi! Zizi la Ng’ombe Mbe! Mbele ya Nyumba Mba! Mbali na wewe We! Wembe na kucha Cha! Chakula kitamu Mu! Mungu mkubwa Bwa! Bwawa Samaki Ki! Kingi Majuto To! Tone la maji Ji! (….nimesahau baada ya hapa..)
3
11
2
23
813
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Mara ya 30 napanda daladala bure na kila nikimpa kondakta nauli anasema kijana ulishanipa Hii si bure itakuwa mizimu ya Inyalikungu🙏🏾
7
6
1
57
1,114
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Nani nimpe 10k anibetie...juakali mpaka mifukoni..ah😫
25
19
3
48
2,117
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨🥷💣 retweeted
Unaweza kutafuta mafanikio yako bila kumdhulumu mtu mwingine. Tatizo huanza pale unapoweka manufaa yako juu ya haki za wengine.🫵
2
20
1
97
1,849