๐๐ซ๐๐ข๐ง_๐๐ซ๐จ๐ฅท๐ฃ retweeted
Sema kuna biashara zina hela kinoma ni vile watu mnajikita kwenye usomi sana!.
Nikirudi mkoani morogoro nataka nifungue duka la miti-shamba.
Urithi pekee usiokuwa na majungu,wala fitna.
Babu kanipigia simu jana, akasema hivi;
๐๐ซ๐๐ข๐ง_๐๐ซ๐จ๐ฅท๐ฃ retweeted
Sure Nakumbuka jana, nilikuwa kazini.
Wife akanipigia simu kuwa kuna mgeni(shoga ake),kafika home toka asubuhi.
akanambia baba G,chakula hakitoshi na nimepata huyu mwenzangu tunafanyaje sasa.
Me nimemwambia mfukuze kama unaweza,But budget hapo ilikuwa ya wewe na mwanangu.๐
๐๐ซ๐๐ข๐ง_๐๐ซ๐จ๐ฅท๐ฃ retweeted
Mzee wangu hakuwahi kuniambia masuala ya ukiwa mkubwa utaona ila kuna jinsi nilikuwa naact ananikata jicho hilo lenyewe linasema โipo siku utajuaโ Aiseee ndo najua saa hii This Life weuh ๐๐ฅ๐ฅ
๐๐ซ๐๐ข๐ง_๐๐ซ๐จ๐ฅท๐ฃ retweeted
Bro to Bro
Simply kama demu wako anaweza kukaa masaa 24 bila kukutafuta.
Trust Me;
kuna msela anapigiwa simu kila baada ya saa moja,muda ambao wewe unatamani akutafute.
Usikubali kuwa second hand, hakupendi huyo Bro.
Never Be a Nice Guy,Ninja ๐ฅท.
๐๐ซ๐๐ข๐ง_๐๐ซ๐จ๐ฅท๐ฃ retweeted
Yani kisa umenitongoza nmekataa ndo unagoma hata kunirepostia post za matangazo kweli?!๐ญ
Kuweni na huruma jamaniiiii๐ญ๐คฒ
๐๐ซ๐๐ข๐ง_๐๐ซ๐จ๐ฅท๐ฃ retweeted
UNAPANGA KUWEKEZA KWENYE APARTMENTS? USIANZE UJENZI KABLA YA KUZINGATIA MAMBO HAYA 8! ๐ข @GeoConstructors @Geo_Traverse
1 : UCHAGUZI WA ENEO โ Chagua eneo lenye fursa nzuri za upangishaji na miundombinu inayofaa.
2 : UCHAMBUZI WA SOKO โ Fahamu mahitaji ya wapangaji, aina ya apartments zinazohitajika na viwango vya kodi katika eneo husika.
3 : BAJETI YA MRADI โ Panga gharama za ujenzi na matumizi mengine kwa kutumia B.O.Q. ili kuwa na makadirio sahihi ya fedha.
4 : RAMANI YA KITAALAMU โ Hakikisha usanifu wa jengo unaendana na ukubwa wa kiwanja, bajeti na malengo ya mradi.
5 : IDADI NA UKUBWA WA UNITS โ Panga idadi na ukubwa wa apartments kulingana na kundi la wapangaji unaolenga.
6 : MIUNDOMBINU MUHIMU โ Zingatia upatikanaji wa maji, umeme, maegesho, mifumo ya maji taka na usalama.
7 : VIBALI VYA UJENZI โ Hakikisha michoro na vibali vinavyohitajika vinakamilika kabla ya kuanza kazi.
8 : USIMAMIZI WA MRADI โ Simamia ubora wa vifaa, kazi, muda na matumizi ya fedha kwa kushirikiana na wataalamu.
HAPA NDIPO GEOTRAVERSE TUNAPOKUJA!
GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES tunakupa suluhisho la kitaalamu katika hatua mbalimbali za uwekezaji wako, kuanzia maandalizi hadi utekelezaji wa mradi.
Huduma zetu ni pamoja na:
โช๏ธ Land Surveying & Consultancy
โช๏ธ Architectural & Structural Designs
โช๏ธ Building Plans & Approvals
โช๏ธ Bills of Quantities (B.O.Q.)
โช๏ธ Construction & Project Management
โช๏ธ Uuzaji wa vifaa vya ujenzi.
Tuna timu ya wataalamu wakiwemo Surveyors, Architects, Valuers na Engineers, wote katika kituo kimoja.
UNA WAZO LA KUJENGA APARTMENTS? TULETEE WAZO LAKO, TUKUSAIDIE KULIBADILISHA KUWA MRADI HALISI.
๐ 0719 336 667 | 0763 782 274 (WhatsApp)
๐ Dodoma, Barabara ya Tisa.
@Geo_Traverse | @GeoConstructors
GEOTRAVERSE โ Your One-Stop Solution for All Your Land and Construction Issues.
#GeoTraverse #GeoConstructors #ApartmentsDesign #RealEstateInvestment #ConstructionTanzania
๐๐ซ๐๐ข๐ง_๐๐ซ๐จ๐ฅท๐ฃ retweeted
Wakuu msiwashangae wala kuwacheka watu wanao piga Block .......kuna mafala wapo humu wanapiga SPANA yaaani unakosa kabisa comeback njia ya kutuliza machungu inakubidi ublock tu๐๐๐คฃila sijawahi block mtu
๐๐ซ๐๐ข๐ง_๐๐ซ๐จ๐ฅท๐ฃ retweeted
Mtu anasahau password yake kwa usiku mzima ila asubuhi yake anakumbuka. Kugongwe is real wazee ๐
๐๐ซ๐๐ข๐ง_๐๐ซ๐จ๐ฅท๐ฃ retweeted
You are not everyone's cup of tea ๐you might be somebody's glass of wine though ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Somebody's favourite vintage wine๐ฅ๐ฅ
๐๐ซ๐๐ข๐ง_๐๐ซ๐จ๐ฅท๐ฃ retweeted
Kama huna uwezo wa kutoa huduma nzuri, malezi, Ada, mavazi n.k
Usizae.
Ukizaa mtoto akaja kuteseka utakuwa umechuma dhambi.
Huna uwezo wa kulea kwanini uzae mbwa wewe?
Ndio maana watoto wanakuja kuwa majambazi, vibaka, machoko, wauaji n.k
Sababu hukujiandaa kulea.
๐๐ซ๐๐ข๐ง_๐๐ซ๐จ๐ฅท๐ฃ retweeted
Nani Mganga ? Nani Mganga?
Kalumanzila!
La! Lala Salama
Ma! Mama mzazi
Zi! Zizi la Ngโombe
Mbe! Mbele ya Nyumba
Mba! Mbali na wewe
We! Wembe na kucha
Cha! Chakula kitamu
Mu! Mungu mkubwa
Bwa! Bwawa Samaki
Ki! Kingi Majuto
To! Tone la maji
Ji! (โฆ.nimesahau baada ya hapa..)
๐๐ซ๐๐ข๐ง_๐๐ซ๐จ๐ฅท๐ฃ retweeted
Mara ya 30 napanda daladala bure na kila nikimpa kondakta nauli anasema kijana ulishanipa
Hii si bure itakuwa mizimu ya Inyalikungu๐๐พ
๐๐ซ๐๐ข๐ง_๐๐ซ๐จ๐ฅท๐ฃ retweeted
Nani nimpe 10k anibetie...juakali mpaka mifukoni..ah๐ซ
๐๐ซ๐๐ข๐ง_๐๐ซ๐จ๐ฅท๐ฃ retweeted
Unaweza kutafuta mafanikio yako bila kumdhulumu mtu mwingine. Tatizo huanza pale unapoweka manufaa yako juu ya haki za wengine.๐ซต
๐๐ซ๐๐ข๐ง_๐๐ซ๐จ๐ฅท๐ฃ retweeted
Hili swala la ATM kuishiwa hela nalo limekaa kishamba sana๐ฅน.
๐๐ซ๐๐ข๐ง_๐๐ซ๐จ๐ฅท๐ฃ retweeted
Afrika ni jambo la kawaida kwenu kuishi na ndugu ambaye hauwezi ku trace vizuri mna undugu nae kivipi? Sisi ni wa jamaa by nature.
๐๐๐๐
๐๐ซ๐๐ข๐ง_๐๐ซ๐จ๐ฅท๐ฃ retweeted
"naharisha na kutapika mara 62 kwa siku"






















