Babangida (@DaimuManafi) header
Babangida (@DaimuManafi) profile picture

Content Writer & Digital Marketer.

Africa is one
Joined April 2019
Photo by Babangida (@DaimuManafi)Photo by Babangida (@DaimuManafi)Photo by Babangida (@DaimuManafi)Photo by Babangida (@DaimuManafi)Photo by Babangida (@DaimuManafi)Photo by Babangida (@DaimuManafi)Photo by Babangida (@DaimuManafi)Photo by Babangida (@DaimuManafi)Photo by Babangida (@DaimuManafi)Photo by Babangida (@DaimuManafi)
Ukiwa mkweli na unajua vitu vingi sana kichwani wewe ni ADUI namba moja wa tawala za AFRIKA.
1
16
64
1,524
Babangida retweeted
‼️UJUMBE KUTOKA GEREZA LA UKONGA‼️ Anaandika @Advocate_Kisabo Nimetoka Ukonga kuzungumza na Mhe. Lissu, he is fine na anawasalimia wote, amesema "I remain optimistic about tomorrow but am also prepared for the worst, so if the best comes, I will go straight to Arusha to take my brother home. If the worst happens, then the struggle will continue. It will not be the end of the world; it will just be a new chapter in the struggle for justice and democracy in this country" akaongezea kuwa I am sustained by the line of a famous Kenyan freedom fighter Koigi wa Wamwere who authored the autobiography I Refuse to Die: My Journey for Freedom na Mhe. Lissu amemalizia kuwa TL insoumiese "
22
153
3
499
9,024
Huku Afrika rushwa huwa ni mbaya pale tu anayeikemea hajahusika. Waafrika wengi wanapenda rushwa, hiyo ni fact !!
3
15
342
Marekani haina mwenyewe babu, wenyeji ni Native Americans ambao hata 20% hawafiki. Ukiwa na potential tu Marekani unaishi na unapewa haki zote. China, Urusi, Korea, Japan hizo zimejengwa na wenyewe so hawawezi kuruhusu muingiliano kama huo !!
Huu ujinga huwezi kuta Russia au China na hii ni advantage kwa hizi inchi mbili. Serikali zao haziwezi kuruhusu this degree of cultural and demographic transformation to unfold without significant state intervention. Democratic are America’s greatest weakness.
4
10
755
Kauli ya Waitara Bungeni kusema "Ingekuwa Bunge hili serious, leo hii Msigwa alipaswa kuwa GEREZANI pamoja na Waziri wake” .......... imeleta tafakuri kubwa sana kwa wenye ubongo unaochanganua mambo. Ina maana yeye ameshaona kuna tatizo kwenye Bunge hili ?
6
12
1
129
2,704
Babangida retweeted
😁mimi naumia zaidi wale wanaoiba alafu wanaenda kununua magari😤 atleast jenga ata kiwanda kidogo tu ata watu 10 wapate ajira.
Watu wengi wenye pesa Tanzania, badala ya kuchangamkia fursa ya kujenga viwanda vya uzalishaji kuanzia vidogo hadi vikubwa wao wanashindana kushusha maghorofa Kariakoo, Masaki, na Mbweni. Kila siku tunaona fahari kuagiza bidhaa China badala ya kuagiza mitambo ya kuzalisha 🚮
1
1
2
43
Babangida retweeted
Imagine ata hiki kidude kinakua imported, unahitaji gundi,boya na kitambaa basi,china vinauzwa 300 vikija bongo apa ni 6k adi 10k kwa wengine🚮. Kuliko kuchukua 20m nikafata cover za simu china mara mia nifungue machine ya kusaga na kupack unga apa nyumbani.
Watu wengi wenye pesa Tanzania, badala ya kuchangamkia fursa ya kujenga viwanda vya uzalishaji kuanzia vidogo hadi vikubwa wao wanashindana kushusha maghorofa Kariakoo, Masaki, na Mbweni. Kila siku tunaona fahari kuagiza bidhaa China badala ya kuagiza mitambo ya kuzalisha 🚮
1
1
54
Kwani huko Bungeni hoja inayojadiliwa ni nini mbona nasikia mapovu kuhusu Uwanja na Bilioni 380 zile
2
11
417
Mindset kama hizi karne ya 21 tuziache, hivi hawa wazee hawajui kwenda na wakati? Badala ya kupigania mfumo bora wa uchaguzi, ambao mtu anaenda kupiga kura ana confidence ya kura yake kuhesabiwa....... yeye anataka watu wabane mkojo na kinyesi ili walinde kura?
VIDEO: Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma ((CHAUMMA), Benson Kigaila amewataka mawakala wa chama hicho kuhakikisha hawatoki katika vituo vya kupigia kura ili kusimamia na kulinda kura zao hadi matokeo yatakapotangazwa. Kigaila ameyasema hayo leo Novemba 3, 2026, katika Kata ya Dabalo, Jimbo la Chamwino jijini Dodoma, wakati wa kufunga kampeni za chama hicho, ambapo amewataka mawakala kujiandaa kwa siku ya uchaguzi kwa kula vyakula visivyowalazimu kwenda chooni mara kwa mara. Amesema, "Kesho tule vyakula vikavu ili tusiende chooni mara kwa mara, tuhakikishe kura zetu zinapigwa, zinalindwa na zinatangazwa." Kwa upande wake, mgombea ubunge wa Jimbo la Chamwino kupitia CHAUMMA, Mathias Nyakapala, amesema endapo atachaguliwa atapigania uboreshaji wa miundombinu ya barabara pamoja na huduma za kijamii. Uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Chamwino unatarajiwa kufanyika kesho, Novemba 4, 2026.
1
2
259
Trump alishindwa vipi kuwa na Mzee Jecha kwenye tume hadi anashindwa vibaya namna hii?
5
12
748
Elon Musk ametumia $200milion kwenye kampeni za Texas kuhakikisha Republicans wanashinda. Democrats wameshinda Senate kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1993
3
2
1
46
2,722
Kama Democrats wataweza kuiongoza Congress na Senate si wataweza hata kumu impeach Donald Trump akiwazingua?
14
4
2
73
7,467
Waziri wa Usafirishaji wa Hispania, Óscar Puente amejiuzulu nafasi yake kufuatia ajali ya treni iliyoua watu 69. NB: Waziri huyu hakuwa dereva, hakupanga hiyo ajali wala hakuisababisha, lakini ameamua kujiuzulu. Kiongozi wa Afrika yuko tayari mumuue ila hawezi kujiuzulu 😀
4
13
270
Trump ameipoteza hadi Texas ....... kijana mdogo wa miaka 37 James Talarico ameshinda
6
2
39
1,599
Trump huko aliko anasonya tu
BREAKING: Democrats retake House and Senate majorities, seizing Republican strongholds as tens of millions of voters delivered a scathing rebuke to President Donald Trump reut.rs/4BXqIQa
1
1
4
276
Huyu hana tofauti na Nabii Tito, tofauti maneno tu
Afya ya akili ni mbaya sana
4
105
Polisi inasema wamejipanga kuwashughulikia wanaopanga vurugu siku ya hukumu ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, November 6. RPC wa Dar es Salaam, amesema wana taarifa za wanaojipanga kusafiri kwa wingi kuja kwenye hukumu huku baadhi wakidaiwa kuwa na nia ya kufanya fujo.
8
1
31
2,398
28
40
4
299
17,776
IGP wa Kenya anapigwa maswali na anajibu saaafi !!! Hakuna longolongo wala nini. Hii ndiyo demokrasia jamani
Are you aware of Abductions in Kenya? Inspector General of Police Douglas Kanja was summoned to the Milimani Law Courts to address the critical issue of ongoing abductions in Kenya, following the disappearance of Tanzanian human rights defender Twaha Mwaipaya.
92
Huyu jamaa alifanya kosa gani?
21
6
2
116
35,211
Watu wengi wenye pesa Tanzania, badala ya kuchangamkia fursa ya kujenga viwanda vya uzalishaji kuanzia vidogo hadi vikubwa wao wanashindana kushusha maghorofa Kariakoo, Masaki, na Mbweni. Kila siku tunaona fahari kuagiza bidhaa China badala ya kuagiza mitambo ya kuzalisha 🚮
12
14
6
70
23,163