Datius Faustine (@Faustine_Esq) header
Datius Faustine (@Faustine_Esq) profile picture

Deeper Understanding | Accurate Solution

Joined May 2013
Photo by Datius Faustine (@Faustine_Esq)Photo by Datius Faustine (@Faustine_Esq)Photo by Datius Faustine (@Faustine_Esq)Photo by Datius Faustine (@Faustine_Esq)Photo by Datius Faustine (@Faustine_Esq)Photo by Datius Faustine (@Faustine_Esq)Photo by Datius Faustine (@Faustine_Esq)Photo by Datius Faustine (@Faustine_Esq)Photo by Datius Faustine (@Faustine_Esq)Photo by Datius Faustine (@Faustine_Esq)
Unajua unaweza kupoteza thamani ya TSh MILIONI 1.8 kwa mwaka bila hata kutumia pesa zako? 😳🇹🇿 Mfano: Mshahara wako ni TSh 2,000,000 kwa mwezi = TSh MILIONI 24 kwa mwaka. Januari 2026: 💵 $1 = TSh 2,470 💰 Milioni 24 = $9,717 Novemba 2026: 💵 $1 = TSh 2,654 💰 Milioni 24 = $9,043 Yaani mshahara wako wa mwaka, ukipimwa kwa dola, umepungua thamani kwa $674 (takriban TSh milioni 1.8)! Hujapunguziwa mshahara, lakini uwezo wa pesa zako kununua vitu vinavyouzwa kwa USD umepungua. Sasa badala ya kulalamika, tufanye nini? 👇 - 🇹🇿 Wekeza kwenye hisa za DSE - 🏦 Angalia Treasury Bills na Bonds za Serikali - 💵 Hifadhi sehemu ya akiba kwa USD - 📈 Wekeza kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS - 💼 Jenga chanzo kingine cha kipato Usifanye kazi kwa ajili ya pesa tu. Hakikisha pesa zako pia zinafanya kazi kwa ajili yako.
45
252
15
1,215
36,604
Datius Faustine retweeted
1. Dunia haina huruma na mtu Mnyonge 2. Watu ni muhmu sana 3. Loko Miyeyusho sana 4. Cheza chini sana
Kitu gani umejifunza katika maisha na unapenda na sisi tujifunze?
1
3
13
442
Datius Faustine retweeted
Ukikutana na mtu ambaye humfahamu ila anafahamiana na mtu mnayemfahamu wote wawili USIJIMALIZE sana.
5
20
4
102
6,371
Datius Faustine retweeted
“Critical minerals are no longer just an economic issue; they are increasingly a matter of national security, given their importance in technology, defence and essential services.” ~ Prof. Abel Kinyondo, Energy Expert, UDSM. #JukwaaLaUziduaji2026 #HakiRasilimali
5
4
129
GTA inatoka tar 19 rasmi wamama naomba mzingatie sheria hizi 1. Nikiuliwa usiseme it is just a game 2. Hakuna kuniomba nikuletee maji nikiwa mid mission 3. Usiniambie “si umecheza siku nzima” 4. Muda wa kula msituite.
3
26
880
Datius Faustine retweeted
2
15
6
149
9,870
Datius Faustine retweeted
TUWEKE REKODI SAWA: Siku ya tarehe 6/11/2026, Wakili Msomi Tundu Antiphas Mughwai Lissu, Jeshi la mtu mmoja, AMEISHINDA CCM, Serikali & Mahakama huku akiwa AMEFUNGWA MIKONO kwa nyuma.
9
154
578
8,276
Datius Faustine retweeted
ADHABU YA LISSU NI YA KIMKAKATI: Jaji ametoa miaka 4 kwa TAL pasipo kuzingatia KANUNI & MIONGOZO ya utoaji ADHABU! Kisheria, adhabu inapaswa kutolewa kwa kuzingatia sheria & miongozo. Huu ni UTARATIBU wa LAZIMA sio hiyari ya Jaji. Kanuni ambazo mahakama imekiuka KIMKAKATI: 1. KUKIUKWA KWA KIFUNGU CHA 172(2)(c) cha CPA (Siku 577 za Mahabusu). Mahakama inapotoa adhabu ya kifungo, inapaswa KUZINGATIA (kupunguza) muda WOTE ambao mtuhumiwa alikaa gerezani au chini ya ulinzi kabla ya kukutwa na hatia. Msimamo huu ni wa kisheria na wa lazima chini ya Kifungu cha 172(2)(c) kikisomwa sambamba na Miongozo ya Utoaji Adhabu ya Mahakama (Tanzania Sentencing Guidelines 2023). TAL alikaa mahabusu kwa jumla ya siku 577 kabla ya hukumu yake. Kisheria, siku hizi zilitakiwa kukatwa moja kwa moja kwenye miaka 4 (siku 1,461) na kumbakizia adhabu ya siku 884 anapoingia gerezani kutumikia kifungo siku ya kwanza. 2. KUFUMBIA MACHO MISIMAMO YA MAAMUZI (PRECEDENTS) ZA MAHAKAMA YA RUFANI. Kwa kuacha kukata siku hizo 577, jopo la majaji 3 limekiuka kwa makusudi(kimkakati) misimamo thabiti ya kisheria iliyowekwa na Mahakama ya Rufani ya Tanzania (Court of Appeal), ambayo INALAZIMISHA mahakama za chini kukata muda wa mahabusu. Baadhi ya kesi hizo ni: Godbless Simon vs Republic (Criminal Appeal No. 647 of 2022) [TZCA 355]: Ambapo Mahakama ya Rufani ilisisitiza kuwa kuacha kukata muda wa mahabusu ni ukiukwaji wa matakwa ya lazima ya Kifungu cha 172(2)(c) cha CPA, na ikalazimika kuingilia kati kupunguza adhabu ili kufidia muda huo uliosahaulika. Pia, kesi ya Waziri Amani vs Republic: Ambapo Mahakama ya Rufani ilibainisha wazi kuwa kutohesabu muda tangu mshtakiwa alipokamatwa hadi siku ya hukumu kunafanya adhabu nzima kuwa na kasoro ya kisheria (illegal sentence). 3. HILA YA KUFUMBIA MACHO ADHABU YA FAINI (OPTION OF FINE). Hapa kuna upotoshaji mkubwa zaidi wa kisheria na hila iliyofanywa na mahakama. Ikiwa sheria inayomtia hatiani TAL inatoa adhabu ya Faini AU Kifungo (Option of a Fine or Imprisonment), kanuni za kisheria na miongozo ya utoaji adhabu INALAZIMU Jaji kuipa kipaumbele faini kwanza, hususan kwa mkosaji aliyetiwa hatiani kwa MARA YA KWANZA (first offender). 👆🏽 Hili ni TAKWA LA LAZIMA la Miongozo ya Mahakama: Chini ya Miongozo ya Utoaji Adhabu ya Tanzania ya Mwaka 2023 (The Tanzania Sentencing Guidelines, 2023) [Kanuni ya 137 / Sehemu ya (i)], sheria inaelekeza wazi kuwa: "Pale ambapo kosa lina adhabu ya faini au kifungo, mkosaji wa mara ya kwanza anapaswa kupewa adhabu ya faini, isipokuwa tu kama kosa hilo ni la kikatili sana..." Msimamo wa Kimahakama kuhusu suala hili (Precedents): Katika kesi maarufu ya Salum Shabani v. Republic [1985] TLR 71, Mahakama ilitamka wazi kuwa: "Ambapo Bunge limetoa hiyari ya faini au kifungo, mahakama inapolazimika kutoa adhabu LAZIMA ihakikishe kuwa adhabu ya faini inatolewa kwanza, na kifungo kinakuja tu pale mshitakiwa anaposhindwa kulipa faini hiyo (in default of payment)." HILA ILIYOTUMIKA: Jaji amefanya HILA kwa kufumbia macho kwa makusudi maelekezo ya kesi tajwa 👆🏽 & miongozo ya utoaji adhabu. Alijua fika kuwa TAL ana uwezo wa kulipa faini na wananchi wangemchangia ndani ya dakika chache. Ili kukwepa TAL asilipe faini na kubaki nje, Jaji aliruka kabisa hiyari ya faini na kumtwanga kifungo cha moja kwa moja cha miaka 4 gerezani bila sababu za msingi za kisheria zilizothibitishwa. 4. MPANGO WA KUZUIA DHAMANA WAKATI WA RUFAA (Bail Pending Appeal). Hapa ndipo penye SIRI kubwa ya kimkakati ya ADHABU hii. Chini ya sheria za utaratibu wa makosa ya jinai, mahakama ina mamlaka ya kutoa dhamana kwa mfungwa anayesubiri rufaa yake isikilizwe (Bail Pending Appeal) pale tu kunapokuwa na sababu maalum (exceptional circumstances): ikiwemo hali ya afya, muda aliotumikia na uliobaki wa kifungo, sababu ambazo hulazimisha mahakama kutoa dhamana hii ni pamoja na ADHABU KUWA FUPI au MUDA MCHACHE WA KIFUNGO (Short Custodial Sentence), kwani kuna hatari adhabu ikaisha kabla ya rufaa kusikilizwa. INAENDELEA 👇🏽
24
142
5
474
33,266
Datius Faustine retweeted
BAIL PENDING APPEAL: Kwa kuwa TAL ameshinda kesi ya UHAINI ambayo haina dhamana, na kukutwa na hatia kwa kosa la UCHOCHEZI, Lissu anaweza kuwa nje kwa DHAMANA kupitia utaratibu unaojulikana kisheria "BAIL PENDING APPEAL" kwa sababu uchochezi una dhaminika, hata kama mtu amefungwa. Ila tu utaratibu ni kwamba, ni LAZIMA mfungwa aanze kutumikia kifungo chake gerezani japo kwa siku moja tu. Hii inawezekana kama mawakili watajenga hoja za AFYA ya Lissu na kwamba atashindwa kupata matibabu stahiki akiwa gerezani. Pia, siku 577 alizokaa gerezani ni fimbo ya kuomba dhamana. Imefanyika mahakama Kuu & pia kuna msimamo wa mahakama ya Rufani juu ya utaratibu huu. HAKI HAIOMBWI bali HUPIGANIWA.
17
195
6
798
27,563
Datius Faustine retweeted
Prof Tibaijuka aliniambia tuna kazi ngumu kuliko ya Mwl Nyerere. Nyerere alipambana na wakoloni kwanza walikua wanafuata sheria. Lakini hawa wakoloni weusi hawafuati sheria. Wakaloni walikua hawatoi rushwa. Wakoloni weusi wanahonga kila mtu. Ukweli ni kwamba tutawashinda hata wakitumia nguvu gani.
66
615
13
2,799
70,415
Datius Faustine retweeted
TUNDU LISSU!!!
8
170
617
10,477
Datius Faustine retweeted
Some family members of Chadema national chairman Tundu Lissu followed proceedings in his treason trial through social media as they mourned the death of his elder brother, Alute Mugwai Lissu.
3
9
1
52
7,466
Datius Faustine retweeted
Sijawahi ona watu wanasifu na kuabudu on the internet kama leo humu Twitter...things i love to see,nawasihi tuwe tunamtegemea Mungu kwenye kila kitu...sio hili la leo tu.
2
7
1
41
745
Datius Faustine retweeted
TUNDU LISSU ; Wakili Wa serikali amesema adhabu ya juu ni Kifungo cha miaka mitano au faini au Vyote viwili.
5
42
2
319
9,182
Datius Faustine retweeted
"Tafsiri ya maneno ya Lissu: tumeongozwa na kanuni kuwa nia ni internal state of mind. Lazima iambatane na ushahidi wa kimazingira na vitendo vya kufanya uhaini. Nia ovu siku zote inakuwa inferred kutoka kwa maneno na matendo ya mshtakiwa." - Mahakama Kuu 6.11.'26.
13
99
462
11,620
Datius Faustine retweeted
Leo wimbo ni mmoja tuu kichwani kwangu, Liko lango moja Wazi
6
32
704
Datius Faustine retweeted
TAL! Mungu awe nawe dingi 👊🏿
4
42
244
4,402
Datius Faustine retweeted
Ukiwa BABA wa familia pride yako ni kuhakikisha unaitunza na kuhudumia familia yako. Kusomesha na kutoa kodi ya meza peke yake HAITOSHI. Jitahidi sana kutenga muda kuzungumza na wanafamilia wakueleze yaliyo moyoni mwao na kutengeneza “moments” pamoja. Ubaba ni MAJUKUMU sio kende.
1
24
1
97
2,751
Datius Faustine retweeted
Exceptionally long night for us since independence. Good lucky, Idol. #FreeTunduLissu
6
169
3
707
8,006
Datius Faustine retweeted
Tuachane na mambo ya Mangungu. Hii chuma ipo Sokoni. #Ubaoni 25M. Imatembea. Ipo Masaki,Dar
5
18
1
46
4,989