Felius Festo (@FeliusFesto) header
Felius Festo (@FeliusFesto) profile picture

Perfect melancholy. Analytical thinker, political analyst. former CHASO regional coordinator, BAVICHA chairperson in kagera region, Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa

MOSHI
Joined January 2022
Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)Photo by Felius Festo (@FeliusFesto)
Mboto Njile mwenye miaka 17 ameuawa kwa kupigwa risasi katika shamba la Mbarali Highland Estates linalomilikiwa na Haroon P Mulla wakati akipita katika shamba hilo. Wananchi wa Kijiji cha Imalilo Songwe-Mbarali wanasema hii si mara ya kwanza kwa watu kuuawa katika shamba ilo.
1
17
402
Kila mmoja anapaswa kutambua kuwa mapambano ya kupigania utawala wa Sheria, demokrasia, uhuru wa kweli na haki ndani ya Taifa siyo rahisi kama kutengeneza content. Tafakari kila taarifa unayoitoa hadharani inaongeza nini kuelekea ushindi isiyo kutafuta likes na engagement tu.
3
16
209
Niliwahi kuwaambia sifa kubwa ya kuwa yuvisisiemu ni kutokuwa na ubongo kabisa, hii ndiyo taswira ya yuvisisiemu wanachama hadi viongozi wao. Katika mijadala inayohitaji matumizi ya akili hawapaswi kusogelea hiyo meza kabisa.
6
23
417
Nimetoka gereza la mahabusu Segerea kuwaona wanachama wetu Mwalimu John Pambalu, Colletha ntyidicha na Pendo kileo. Mungu ni mwema wako imara sana na imani yao haijatikisika. Moyo wangu umelowa Machozi pale Pambalu aliponiuliza "Mwaipaya amepatikana?"
6
139
5
819
14,926
Felius Festo retweeted
1/6 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI, 12 Novemba 2026, Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa taarifa kuhusu mwenendo wa shauri la uhaini la ndugu Tundu Lissu. Moja ya majukumu yetu ni kufuatilia mwenendo wa mashauri yanayoendeshwa mahakamani yanayohusu haki za binadamu, Katiba na utawala bora. Katika kutekeleza jukumu hili, tumekuwa tukifuatilia mwenendo wa kesi ya ndugu Lissu tangu alipokamatwa tarehe 9 Aprili 2025, hadi tarehe 6 Novemba 2026, ambapo Mahakama ilitoa hukumu ya kumtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka minne jela. Ndugu Lissu alikamatwa na Jeshi la Polisi alipokuwa katika ziara ya kichama wilayani Mbinga, mkoani Ruvuma, na baadaye kusafirishwa kwenda Dar es Salaam, ambako tarehe 10 Aprili 2025 alifunguliwa mashtaka mawili, likiwemo la uhaini na jingine la kutoa taarifa za uongo. Hadi siku ya hukumu, alikuwa ametumia takribani siku 577 akiwa mahabusu. Hiki ni kipindi kirefu ambacho amekuwa akinyimwa uhuru wake na kutenganishwa na familia yake, wapendwa wake na maisha yake ya kawaida.
2
22
35
1,648
"Nenda kamwambie @TunduALissu mapambano ya kupigania utawala wa Sheria yanahitaji uwepo wake siyo kifo chake" ujumbe wa hayati Mzee Alute Mughwai Lissu kwa Tundu Lissu wakati ametangaza kufanya mgomo wa kutokula. Pumzika kwa amani Mzee wetu tunamshukuru Mungu kwa maisha yako
1
17
142
1,788
Hatupaswi kuruhusu safari ya mapambano yako iishie katika njia hii kaka, Mungu akupiganie na kukulinda kaka upatikane ukiwa salama. #FreeTwahaMwaipaya
1
23
68
958
Baada ya Mwenyekiti @TunduALissu kuhukumiwa kwa kesi isiyokuwepo watawala dhalimu wameendeleza mashambulizi dhidi ya chama chetu kwa kutumia polisi. Katibu BAWACHA Kigoma amekamatwa jana, Gwamaka mbughi na Issa kwisa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Songwe wamekamatwa leo ahsubuhi.
8
37
1
138
2,256
Twendeni Singida kwa wingi sana
“Mkamzike kaka yangu Alutte” Maneno ya mwisho ya Mhe. Lissu mahakamani baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 4 jela kwa kosa la uchochezi 💔😭
1
9
49
784
"Waheshimiwa Majaji mnatambua kwamba nina msiba mkubwa, msiba wa mtu ambaye amenifanya niwe Mwanasheria, mtu aliyenilea na kunifanya kuwa mimi. Kwa kuwa hakuna kesi ninatumaini mahakama hii itaniacha nikamzike kaka yangu nilishindwa kumuunguza nisishindwe kumzika."@TunduALissu
19
93
2,388
I have never ever, never ever been convicted of a criminal offense. Never ever. Mheshimiwa @TunduALissu akiwaambia Majaji.
6
40
533
"Na hivyo kw ushahidi huo tunasema Treason haijathibitishwa bila kuacha shaka yoyote" anasema Jaji Nduguru kutoka chumba namba 01 cha mahakama kuu. @TunduALissu
1
21
179
6,479
Ndani ya chumba cha mahakama kusubiria hukumu ya kesi ya uhaini dhidi ya Mwenyekiti wetu Mheshimiwa @TunduALissu . #LissuSiyoMhaini.
15
65
1,090
Kuna watu wamewahi kujigamba hadharani kumiliki magenge ya uhalifu na ya kiuni wakitaja majina yao mara chui mweusi na mbwa mwitu maajabu ya nchi yetu ni kwamba hawakuwahi kuchukuliwa hatua yeyote. Binti mdogo anapewa kesi ya Ugaidi kwa sababu tu ya msimamo wa kupigania haki.
26
1
66
930
Felius Festo retweeted
“Mange Kimambi ndo Project ya kuigawa Chadema, cha ajabu ni kuona makada wa CHADEMA wanamsikiliza na kumuamini” Godbless Lema “Hilda Newton anachukua maneno ya Mange kama yalivo Hilda huyu kiongozi wa Chama hatuwezi kuwa na viongozi wa namna iyo” Lema
10
12
1
82
4,893
Utekaji haiwezi kuwa suluhu ya mkwamo wa taifa, Muachieni Twaha Mwaipaya na kama ana makosa afikishwe mahakamani. Kila kijana anazo ndoto, malengo, matamanio, familia na wanaomtegemea utekaji unazima yote ayo. Free Mwaipaya.
4
10
35
1,341
Kufikiria kwamba CCM wanahitaji maridhiano ni kujidanganya, CCM wanahitaji picha katika meza ya maridhiano zitumike kuadaa jumuiya za kimataifa.
1
8
1
25
592
Mungu akupiganie na kukulinda kaka upatikane ukiwa mzima. #FreeTwahaMwaipaya
1
6
27
621
Tundu Lissu was charged with (politically motivated) Treason after calling for electoral reform. The sentence for Treason in Tanzania is nothing else other than DEATH. The world is waiting for November 06 Thanks Hon Pam Cox for raising this matter in the House Of Commons
9
321
13
775
22,817