Mtaji mdogo sio mwisho wa ndoto yako ya biashara!
Kuna njia za kuanza kwa kutumia vizuri rasilimali ulizonazo.
Swipe kuona njia 5 za kuanzisha biashara kwa mtaji mdogo.
#TrybeFinance #Biashara
19
This is the first week of our saving challenge! 3 more to go. #AkibaNaHaba
42
Save daily, bi-weekly, or weekly! The
freedom of choice is yours. Just make it to
the end! Deposit with us, your collective savings, and earn interest!
It’s a marathon, not a sprint.
We’re in this together.
#AkibaNaHaba
26
Back yourself and make smart financial investments to create wealth in order to make your life and your dependants' lives better.
Progress takes time, but it's never too late to start! Start today!
25
𝗛𝘂𝘂 𝗻𝗱𝗶𝗼 𝗠𝗨𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗢 𝗸𝗮𝗺𝗶𝗹𝗶 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝘄𝗲𝗸𝗲𝗮 𝗮𝗸𝗶𝗯𝗮 𝗮𝗺𝗯𝗮𝗼 𝗵𝗮𝘂𝘁𝗮𝗽𝗮𝘁𝗮 𝗸𝗼𝗸𝗼𝘁𝗲
Kila mtu anazumgumza kuhusu Akiba ,lakini unaufahamu muongozo wa kujiwekea Akiba na kufikia mafanikio yako🤔?
Fuata mbinu hizi 5️⃣ufikie #UhuruWaKifedha
1
26
4️⃣Punguza matumizi
Chunguza matumizi yako na upunguze yale yasiyo ya lazima ili uongeze mapato na ubaki na #akiba ya kutosha.
1
26
5️⃣Wekeza kwa ajili ya kesho yako
Kesho yako ni muhimu zaidi kuwa na akiba ya kutosha kunakuhakikishia maisha mazuri ya baadae.
Usipitwe tena na tips hizi za kufikia #UhuruWakifedha follow @GetHaba sasa
#HelaYakoUhuruWako
#akiba
#Savings
26
Karibu mwezi mtukufu wa Ramadhan🕌🌙.
Kwa moyo uliojaa amani, upendo na furaha. Baraka za Mwenyezi Mungu zikulinde na kukuongoza katika mafanikio yako.
#HelaYakoUhuruWako #islamicshort #RamadanKareem
1
35
𝗨𝗻𝗮𝘁𝗮𝗸𝗮 𝗸𝘂𝗳𝗶𝗸𝗶𝗮 𝗨𝗵𝘂𝗿𝘂 𝘄𝗮 𝗞𝗶𝗳𝗲𝗱𝗵𝗮❓️ 𝗜𝘁𝗮𝗺𝗯𝘂𝗲 𝘀𝗵𝗲𝗿𝗶𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝗳𝗮𝗻𝗶𝗸𝗶𝗼 𝘆𝗮𝗸𝗼
Anza sasa kujiwekea sehemu ya mapato yako kwenye akiba ili ujihakikishie uwepo wa fedha kwa ajili ya malengo yako, dharura na ...
1
34
....matumizi yasiyotarajiwa.
Kisha wekeza kwa umakini ili uongeze kipato chako na ufikie #UhuruWaKifedha
Hii ndio sheria ya kufikia mafanikio yako.
Unaanza lini kujiwekea akiba? Dondosha comment yako nasi tukushauri njia bora zaidi.
#HelaYakoUhuruWako #quotesoftheday #Akiba
24
Hatuwezi kuwa na #UhuruwaKifedha bila 𝐊𝐮𝐰𝐞𝐤𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐖𝐚𝐧𝐚𝐰𝐚𝐤𝐞 𝐊𝐮𝐡𝐚𝐫𝐚𝐤𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐦𝐚𝐞𝐧𝐝𝐞𝐥𝐞𝐨 𝐲𝐚 𝐓𝐚𝐢𝐟𝐚 𝐧𝐚 𝐔𝐬𝐭𝐚𝐰𝐢 𝐰𝐚 𝐉𝐚𝐦𝐢𝐢.
Heri ya Siku ya Wanawake Duniani💐👰♀🎉 #IWD24 #WekezaKwaWanawake #HelaYakoUhuruWako
19
𝗝𝗲, 𝘂𝗻𝗮𝗳𝗮𝗵𝗮𝗺𝘂 𝗸𝘄𝗮𝗺𝗯𝗮 𝗶𝗻𝗮𝗯𝗶𝗱𝗶 𝘂𝗷𝗶𝘄𝗲𝗸𝗲𝗲 𝗮𝗸𝗶𝗯𝗮 𝗮𝗻𝗴𝗮𝗹𝗮𝘂 𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗺𝗶𝗮🔟 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝗽𝗮𝘁𝗼 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝘆𝗼𝘁𝗲❓️
Hizi hapa ni sababu 5 muhimu za kujiwekea akiba
1. Kufikia malengo ya kifedha
Iwe unapanga kuanza biashara, kununua nyumba...
1
32
..kujiwekea akiba hukusaidia kuishi bila kutegemea mshahara.
4. Fursa za Kuwekeza
Ni mara ngapi michongo mizuri ya kuwekeza imekupita kisa tu huna mtaji?
Usipitwe tena na gari la mshahara. Anza kujiwekea akiba sasa
1
8
5. Kujiandaa na kustaafu
Umeshawahi kuwaza utaishije pale ambapo hauna pesa wala nguvu za kufanya kazi?
Jipange mapema na kuwa na uhuru wa kifedha. Anza kujiwekea akiba leo
#HelaYakoUhuruWako #SavingTips #UhuruWaKifedha
7























