Trybefinanceltd retweeted
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi-TOST, iliyofanyika katika ukumbi wa Kambarage, Wizara ya Fedha, Dodoma.
Taasisi hiyo imeanzishwa baada ya Bunge la Tanzania, tarehe 13 Juni 2019, kupitisha Sheria ya Fedha ya mwaka 2019, iliyoanza kutumika tarehe 1 Julai 2019, ambapo Sheria hiyo ilifanyiwa marekebisho Sheria ya Usimamizi wa Kodi, Sura ya. 438 ili kuanzisha taasisi hiyo inayojulikana kama “Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi - Tax Ombudsman Service Tanzania”.
Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi ni chombo huru chenye jukumu la kupitia na kushughulikia malalamiko yote ya walipakodi kuhusu huduma, masuala ya kiutaratibu na kiutawala yanayoweza kujitokeza katika usimamizi wa sheria za kodi zinazotekelezwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA.
Trybefinanceltd retweeted
📌Hatimaye Leo ndio Leo, Uzinduzi Rasmi wa Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi.
Trybefinanceltd retweeted
I'm just looking through @GetHaba transactions and I noticed that informal businesses are saving more than corporate guys! Our target has always been to help underserved SMEs attain positive financial behavior and Haba is already doing that. Next is to get all of them online.
Trybefinanceltd retweeted
✨ Happy New Year ✨
We wish you a gratifying year, full of rewarding experiences and moments worth remembering!
#HappyNewYear #HappyNewYear2023
Trybefinanceltd retweeted
We had three days of #teamplanning to reflect on what we accomplished last year and plan for the coming year. ✍🏾
#Ennovatetribe left feeling stronger as a team, more connected to our purpose, and more excited about the journey ahead. 💪🏾
We are so excited for #2023! 🚀
Trybefinanceltd retweeted
When we started visioning @GetHaba, the goal is simple! To help underserved people achieve financial freedom through blended financing solution for people without any form of collateral or financial record. I'm glad to see 100+% weekly growth of users subscribing to Haba product.
Trybefinanceltd retweeted
Happy New Week! ✨
Stay WINNING.
#EnnovateVentures
#MondayInspiration #Business
#Goals #Opportunities
Trybefinanceltd retweeted
Replying to @GetHaba
@GetHaba ni sehemu pekee ya kidijitali unayoweza kutimiza mahitaji yako yote ya kiuchumi kuanzia uwekezaji mpaka mikopo. Sisi @SwahiliesPay tunafuraha kushirikiana nao kwenye upande wa malipo.
Tembelea kurasa zao @GetHaba uweze kuwafahamu vizuri. #MalipoNiSwahili
Trybefinanceltd retweeted
Don’t miss the launching of Beer Garage Accelerator Africa Edition 2022.
The event would be graced by eminent speakers, thought leaders, investors & tech founders.
Date: 20th April, 2022
Time: 2:00 PM - 3:30 PM SAST
RSVP at lnkd.in/dkKJS_7v
Trybefinanceltd retweeted
We are thrilled to see a Tanzanian #Startup @mipangoapptz listed on Get Equity. 🔥
Download @getequity App on playstore/Appstore and start #investing. – at Dar es Salaam, Tanzania
This quoted post is unavailable.



















