MTANZANIA 🇹🇿 (@GilbertPaul095) header
MTANZANIA 🇹🇿 (@GilbertPaul095) profile picture

Graphic Designer || Upcoming MC🎤 || SDA Church || Simba Sc || Liverpool Fc || UDOM alumni 2019 || manager SILONET TRANSPORT 🇹🇿🇿🇲 || Villarreal Fc fan

Joined June 2022
🚨 JUST IN Jina la Prince Dube ni moja kati ya majina yanayotajwa kuongeza nguvu kwenye Safu ya ushambuliaji ya Simba sc, kwenye Dirisha dogo la usajili… kama mbadala wa Doumbia. Japo bado hakuna mazungumzo ya moja kwa moja yanayoendelea
5
7
3
30
11,250
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Usikute dollar siyo pesa ya kigeni, sisi ndo wageni😂.
16
24
1
94
1,695
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Kama haendi vile Watu watashtuka tayari yeye ndio mmiliki wa kiatu cha ufungaji wa magoli mengi kwenye ligi
1
12
89
744
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Hivi mnajua Ligi anayocheza kamongo LA kule marekani hakuna timu kushuka daraja wala kupanda daraja😅😅
1
8
352
Vyanzo vya maumivu haviishi, tunatafuta tu sababu mpya za kutabasamu.
6
18
37
368
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Wakali wa location....hapa ni wapi?...kuna 10000..kwa atakae patia😂
9
19
29
475
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Kwahiyo kina Kelvin hawazeekagi ee?? Maana sijawahi skia mtu anasema Mzee Kelvin😆😆😆😆
2
6
9
135
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Jumamosi ya leo ikawe ya kheri kwako na baraka tele Good morning FAM🙌🏻🙌🏻🙌🏻
16
23
28
352
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Bongo hakuna kijana aliezunguka nchi nyingi duniani kama mimi kana unabisha nitajia nchi yeyote Dunia nikuelekea chimbo la msosi bei nafuu.
19
41
3
116
3,358
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Kichwa kikubwa sio wingi wa akili. #ElimikaWikiendi
9
13
244
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Ijumaa ukitulia zako home, watu wanadhani huna pesa... kumbe ni kweli😂
3
8
30
524
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
1. Nimeambiwa. 2. Nimesikia. 3. Walisema. 4. Wanasema. Jiepushe na haya mambo ili uishi kwa amani, HUJASHUHUDIA jambo kwa MACHO usitoe ushahidi. HUJASKI kwa MASKIO yako usifungue mdomo kuzungumza! SOMA TENA 👊
15
54
113
2,456
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Good morning
4
4
7
253
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Mwanaume hapewi kabla ya Ndoa #ElimikaWikiendi
15
16
4
46
1,362
Jumamosi ya leo ikawe ya kheri kwako na baraka tele Good morning FAM🙌🏻🙌🏻🙌🏻
16
23
28
352
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Goodmorning rafikis.
26
39
51
443
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Hate sin by loving obedience 💙 Happy Sabbath 🙏
24
60
375
4,143
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Simu yake haipatikani
6
2
31
752
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Good morning friends, happy Sabbath you all.
6
12
17
393
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Kuna marafiki wakiku-text uko wapi?... unaanza kabisa na kuvaa viatu!
5
16
108
2,796
MTANZANIA 🇹🇿 retweeted
Mpaka kesho ntamshukuru Mungu kwa kunisaidia nikaacha kunywa mapombe.
13
20
200
5,028