Druggist💊+📈📉 retweeted
MARA: Makamu Mwenyekiti wa #CHADEMA, John Heche, amesema hayo alipokuwa akitoa salamu za rambirambi katika msiba wa aliyekuwa dereva wake, Suez Maradufu, leo, Julai 5, 2026.
Fuatilia mjadala jamii.app/HecheKaziSiasa
#JamiiForums #JFSiasa #JFMatukio
Druggist💊+📈📉 retweeted
Ukitaka kumjua Mtu Muerevu, Ni yule ambaye Serikali inampiga vita.
Serikali huwa haihangaiki na wajinga.
Druggist💊+📈📉 retweeted
What you see in this video is the reason political rallies have now been banned in Tanzania. The opposition’s rallies were growing larger with each passing day. Not only were they drawing massive crowds, but people attending the rallies were also voluntarily donating money to support the opposition.
It was a clear and powerful rebuke of Samia Suluhu’s regime by the people of Tanzania.
@POTUS @SenTedCruz @SenatorShaheen @SenateForeign @SFRCdems
Druggist💊+📈📉 retweeted
About 10 minutes ago, two people, a man and a woman, showed up at my house. They knocked for several minutes. At first, I didn’t answer, hoping they would eventually leave. Instead, they kept knocking louder and louder.
Because I know my life is in danger and I’m home alone right now, I decided not to even go near the door or look through the peephole. My husband has always told me not to do that. He said if someone came to kill me, they could shoot me through the door if they knew I was standing there.
So I stayed well away from the door and asked what they wanted. They said they were looking for someone named Louis. I told them no one by that name lives here. They then asked me to open the door because they couldn’t hear me properly. I refused and told them they could speak from where they were.
The moment I said that, they started walking away. I immediately ran upstairs and recorded them from my balcony.
The woman did all the talking. The man didn’t say a word.
As I have informed you all before, the Tanzanian government has commissioned Mexican cartels to kill me. Today, while I was home alone, two Mexicans showed up at my front door.
Everything is being forwarded to the FBI.
If anything happens to me, this is where the investigation should begin.
I think the time has come for me to put away my fear of guns and buy one. Hopefully this week I find the courage to own one.
KISWAHILI
Takribani dakika 10 zilizopita, watu wawili, mwanamume na mwanamke, walifika nyumbani kwangu. Waligonga mlango kwa dakika kadhaa. Mwanzoni sikuitika, nikitumaini kwamba wangeondoka. Badala yake, waliendelea kugonga kwa nguvu zaidi na zaidi.
Kwa sababu ninajua maisha yangu yako hatarini na kwa sasa niko peke yangu nyumbani, niliamua kutosogea hata karibu na mlango wala kutazama kupitia tundu la mlango. Mume wangu amekuwa akiniambia kila mara nisifanye hivyo. Aliniambia kwamba kama kuna mtu amekuja kuniua, anaweza kunipiga risasi kupitia mlangoni akijua nimesimama nyuma ya mlango.
Kwa hiyo nilibaki mbali na mlango na kuwauliza wanataka nini. Walisema wanamtafuta mtu anayeitwa Louis. Nikawaambia hakuna mtu wa jina hilo anayeishi hapa. Kisha wakaniomba nifungue mlango wakidai hawawezi kunisikia vizuri. Nilikataa na nikawaambia wazungumze wakiwa waliposimama.
Mara tu niliposema hivyo, walianza kuondoka. Nilikimbia haraka ghorofani na kuwarekodi kutoka kwenye roshani yangu.
Mwanamke ndiye aliyekuwa akizungumza muda wote. Mwanamume hakusema hata neno moja.
Kama nilivyowaeleza hapo awali, serikali ya Tanzania imewaajiri makundi ya wahalifu wa Mexico (Mexican cartels) ili kuniua. Leo, nikiwa peke yangu nyumbani, Wamexico wawili walifika kwenye mlango wa nyumba yangu.
Taarifa zote zinawasilishwa kwa FBI.
Ikiwa chochote kitanitokea, uchunguzi unapaswa kuanzia hapa.
Nadhani muda umefika wa mimi kuacha kuogopa silaha na sina budi kununua silaha wiki hii ili mtu akigonga tena mlangoni naenda mlangoni na bunduki.
Druggist💊+📈📉 retweeted
OPINION : How Tanzania elections revealed that AU is an irrelevant white elephant
standardmedia.co.ke/opinion/…
Druggist💊+📈📉 retweeted
We will never forget, and we will never forgive. Our resolve is iron, our anger relentless. Those responsible will be held to account, there will be no mercy, no surrender. This is our vow, etched in time and blood. #MO29
Druggist💊+📈📉 retweeted
Biashara Asubuhi, Mahesabu Jioni.
Leo, Jumamosi ya tarehe 28 Juni 2025, saa mbili kamili asubuhi, nimekuwa mtia nia wa kwanza kufika katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Siha, Mkoa wa Kilimanjaro, kuchukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Siha.
Hatua hii ni ya heshima, lakini pia ni ya dhamira. Nimefika mapema si kwa bahati, bali kama ishara ya namna ninavyochukulia jukumu hili kwa uzito, umakini, na heshima kwa wananchi wa Siha.
Ninakuja si kwa maneno tu, bali na rekodi ya kazi, uwezo wa kushirikisha watu, na maono ya kujenga Siha yenye maendeleo jumuishi, fursa kwa vijana, na huduma bora kwa wananchi wote.
Nimelelewa Siha. Nimepitia changamoto zake, nimeiona thamani yake, na naamini sasa ni wakati wa kizazi kipya kutoa mchango wake.
Leo ni mwanzo wa safari rasmi. Safari ya kusikiliza, kujifunza, na kutumikia kwa moyo wote.
Siha ni nyumbani. Na sasa, ni wakati wa kuijenga pamoja.
Druggist💊+📈📉 retweeted
Bashungwa uzuri wa teknolojia ni kwamba tutapata ushahidi wa watu wote mlioagiza watu kufanyiwa unyama ikiwemo vitendo viovu kabisa.
Nakukumbusha tu kwamba nafasi ya uwaziri haifanyi Nchi hii kuwa mali yako au ya familia yako binafsi.
Hamtaweza kumfunga Lissu kwa kesi yenu ya kutengeneza ya uongo, pia usalama wa Lissu mikononi kwenu tunafuatilia sana .
Kama mna kesi iwekeni kwenye mahakama ya wazi isikilizwe acheni vitisho.
Druggist💊+📈📉 retweeted
Kauli ya TEC leo 27/4. Kanisa Katoliki Wamenyooka kaka Ruler 📏
Ahsanteni sana Baraza la Maaskofu La Kanisa Katoliki
Druggist💊+📈📉 retweeted
Hata Ukiangalia Post zao Mchana w Leo zilikua na Kaukejeli Flani Hivi..
Kama Mnabisha Pitieni Post zenu Then Mrejee hii Post ya Mange..🗣
Truth will be allways Truth.... 🗣
SHANGAZI wa TAIFA kaisha Wang'ata SIKIO.... 🗣
























