IJ Kimathi retweeted
Daaah Jamaa ame yaishi Maneno Yake🥹🙏🏽🙇🏽♂️
MUNGU AMLINDE
Repost 100 tu🤌🏾
#FreeTwahaMwaipaya 🙌🏾
IJ Kimathi retweeted
kwenye dunia iliyojaa john magufuli, kuwa dk mwele ntuli malecela. ni kwa ujasiri wa watu kama wao, hususan kwenye kusimamia miiko na maadili ya taaluma zao, ndiyo jamii zetu zinaweza kusonga mbele:
IJ Kimathi retweeted
Kaka @frediejustine sikufundishi siasa lakini msikilize heche na umwelewe usifikirie kujibu.
IJ Kimathi retweeted
ushauri wangu kwa viongozi wa umma waandamizi wastaafu: kama hamtaki kuwa wakweli, msiandike vitabu ambavyo hakuna mtu atasoma. kama mmeamua kukaa kimya, mkiwa hamguswi kabisa na mambo yanayoendelea nchini, bakini hivyo hivyo!
IJ Kimathi retweeted
Angalau sasa kila mmoja ana machungu, nadhani wakati wa ukombozi umefika.
Sikiliza hii...!
IJ Kimathi retweeted
Replying to @mangekimambi
Hii post ya Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Iringa niliiona jana nikajiuliza maswali mengi. Ahsante @mangekimambi kwa kuniwezesha kuunganisha dots.
IJ Kimathi retweeted
Nakumbuka ile siku vibaraka wa Mafwele waliponiteka pale Mahakama ya Kisutu April 24, 2025.
Baada ya vipigo na mateso + kujaza fomu ya kujidhamini kisha wakanigeuka na kunisweka kule shimoni.
Nikiwa kule shimoni nilikuwa nawaza kuhusu mtoto angu ambae alikuwa anahitaji maziwa ya mama yake, niliwaza kuhusu hatma ya uhai wangu maana kwa ule muda nilikuwa nishajua kwamba nimeingia kwenye 18 za Muuaji.🥹
Kuna time nilipiga magoti, nilisali kama sitawahi kusali tena kwenye maisha yangu yani ile siku ndo nilijua sala ya mwisho huwa watu wanasali vipi maana kwa mazingira yalivokuwa nilikuwa sioni chance ya kutoka nikiwa hai, moja ya maombi ambayo niliomba nakumbuka nilimwambia Mungu naomba nafasi ya kuwa hai kwa mara nyingine ili niweze kumlea mtoto angu.😭
Hii ndo nyimbo ambayo nilikuwa naimba wakati wote nikiwa kule shimoni, I was at the lowest point in my life.
Yote kwa yote naendelea kummshukuru Mungu kwa ukuu wake katika maisha yangu.
IJ Kimathi retweeted
‼️🚨TUNDU LISSU HAS ALREADY APPEALED THE RULING SINCE NOV 09‼️
So Tundu Lissu has appealed the ruling of his treason sentence since Nov 09 and the state now has also appealed it!
Probably it is to try and ensure Lissu doesn’t get bail but in short they are not happy that Lissu has not been given the death penalty
Lissu alishakata rufaa Nov 9 na imepokelewa - ila ni kama walikuwa wanajivuta ili serikali pia ikate rufaa! Wanachotaka ni kuhakikisha Lissu anaendelea kukaa ndani naamini! Hawa si binadamu wa kawaida wenye utu - wana roho ya kishetani
#FreeTunduLissu
IJ Kimathi retweeted
Sehemu ya tatu ya simuliza ya kijana mwenye umri wa miaka 22 aliyepitia mateso makali kwa amri ya samia na kunusurika kuuwaa oktoba 29 hadi sasa anafuatiliwa na wauwaji
Party three, the story of a 22-year-old young man who endured severe torture on Samia's orders, survived an attempt on his life on October 29, and has continued to be hunted by Samia's assassins ever since to make sure that they are cleaning up all the evidence.
@elinavaltonen
@humanrightstz
@UN_HRC
@HildaNewton21
@MariaSTsehai
@lifeofmshaba
@aliciakearns
@NoPartialRights
@SusannaN2
@EspenBarthEide
@Tanzaiite
@USAmbTanzania
@BBCAfrica
@cnni
@EliasariaII
@CPA_UK
@Europarl_EN
@IntlCrimCourt
@Nuruvazi01
@2twelve4
@CuteMaria26
@AdvocateMaria92
@mangekimambi
IJ Kimathi retweeted
Jamaa anatema madini matupu aisee, nchi bado ina watu hii,
Chukua dakika zako 10 utatoka na kitu!
IJ Kimathi retweeted
Kosa la kwanza tulifanya ni kutosimama na Mtikila kuipigania Tanganyika
Sasa tusikubali huu upuuzi wamefanya kwa Lissu
















