Pinned Tweet
mother’s love knows no bounds, and neither does her grief. For a year now, the family of Humphrey Polepole has endured "untold sorrow," looking for the truth behind his violent disappearance from Dar es Salaam. No family should have to carry this heavy burden of silence.
As a widow who sacrificed everything to raise her children alone, Annamary Polepole never imagined facing a reality where her children would be taken. A year after Humphrey’s abduction, his family continues to search for peace, closure, and basic human dignity. 🕊️🌿#freehpolepole@ipu @hrw @UNGeneva @UPRinfo @SenTedCruz @SenatorShaheen @commonwealthsec @EUparliament @EPPGroup @ecrgroup @WHO @ilo
Tanzanite retweeted
‼️🚨CATHOLIC PRIEST ABDUCTED IN #Tanzania ‼️
#EnforcedDisappearances
Father Josephat Misigaro the Parish priest of Nguruka parish in Kigoma has been abducted! He criticized the government for #TanzaniaMassacre last Sunday in his sermons! His whereabouts are unknown
Cc @WGEID @OHCHR_EARO @achpr_cadhp @hrw @HRF @SenateForeign @AmnestyEARO
Huyu ni Padre Josephat Misigaro paroio wa Nguruka wilaya ya Uvinza Kigoma ametekwa kwa kile kilichoelezwa kuwa ameponzwa na mahubiri yake jumapili iliyopita
Ndo nchi imefika hapa utekaji njenje!
Huku ni kuchanganyikiwa big time
#SamiaMustGo
#FreeAllPoliticalPrisonersInTanzania #StopAbductionsTz
Tanzanite retweeted
‼️🚨MORE EVIDENCE OF POLICE SHOOTING AND KILLINGS‼️
#TanzaniaMassacre
This is Mwanza and we continue to collect evidence
This is just a fraction that we make public
Jamani narudia Acheni! Acheni! Acheni!
Kwa sasa bora muanze kujipanga na kesi na utetezi ila msiendeleze huu ujinga ili Samia na familia yake waneemeke!
Hawa askari ni wa Kirumba na Central wameua watu Nyasaka Soko Jipya, Pasiasi
Narudia ACHENI! Hii siyo vijikesi vyenu mlivyozoea ni crimes against humanity!
Mwambieni aliyetoa amri ya shoot-to kill aka Mass murderer in chief aondoke na msikubali amri HARAMU!
#D9 isiwakute hapo na damu mkononi!
Tanzanite retweeted
Kuna kundi la baadhi ya VIJANA ambao wanataka CDM iwe na uelekeo kama MASISIEMU.
Leo hii hawataki VIONGOZI wakosolewe kama ilivyo kwa MASISIEMU.
Leo hii Wanaharakati wanataka tutengwe na CDM kama ilivyo kwa MASISIEMU.
Vijana wa namna hii ni kansa kwa CHAMA na lazima tuwashugulike nao kiulalo ulalo.
Leo hii tunakemea MADALALI ndani ya CDM tunaonekana tunawakosea heshima Viongozi. Wanasahau hata vyama kama TLP, NCCR, CUF viliuliwa na MADALALI.
Hawa hawana nia njema na hiki chama chetu lazima TUWASHUGULIKIE kwa wivu mkubwa kwa manufaa ya CHAMA CHETU.
Tanzanite retweeted
.@SuluhuSamia: One year after state security forces gunned down thousands of innocent people protesting a stolen election, there has still been no justice or accountability.
Meanwhile, repression and intimidation continue, including arrests of Maasai in @visitngorongoro.
Donors like @WorldBankGroup continue pouring billions into this regime while failing to use their leverage to demand accountability and an end to these abuses.
This regime and its enablers must be held to account!
@Mittaloak @Oleshangay @DenisMoses14 @MariaSTsehai @landislife @Survival @TheChanzo @lifeofmshaba @IAMartin_ @WBGTanzania @UN_SPExperts @UNHumanRights
Tanzanite retweeted
Samia anadai aliwa Watanzania 500 tu, Ila angalia video ya kwanza, hii scene pekee maiti ni 5. 😭😭
Video ya pili, walikuwa wanawapiga watu risasi za vichwa, yani walitaka kuhakikisha wanaua sio kujeruhi tu.
Tanzanite retweeted
Video ya kwanza, unaona wananchi wawili walipigwa risasi wakiwa wanajiona wanakufa.
Video ya pili huyo wa pili akiwa amekata roho….
Huu ndio unyama uliofanyika Tanzania October 29-Nov 2 na chama cha Mapinduzi….
Tanzanite retweeted
Zingatia maneno, ‘wameamua kuingia mtaani kutufata tulipo’.
Waliua sio kuzuia maandano ila ilimradi waue ili wananchi wawaogope na wasirudie tena kupigania haki ili wao na wafimilia zao waweze kuinyonya nchi bila mtu yoyote kupinga.
Tanzanite retweeted
On the first anniversary of Tanzania’s sham elections, the brutal repression of political opposition and continued arbitrary detention of our client @TunduALissu expose the authorities’ contempt for their own people. The Commonwealth can no longer stand by. It must take decisive action against Tanzania’s government.
Tanzanite retweeted
Kesi imefunguliwa wiki hii
Imepangiwa Jaji Wiki hii
Imesikilizwa pande zote mbili wiki hii
Uamuzi umetoka wiki hii
Utekelezaji unapaswa kuanza wiki hii
Mkiambiwa wenzenu wamewazidi mnaanza kulalamika!
Mahakama zenu zinaweza kutoa haki kwa wakati?
#FreeTwahaMwaipaya
Tanzanite retweeted
“Samahani sauti iligoma”
Vile watu wengine walikodoa macho hapo wanasema kimoyomoyo “please God! Iwe leo!”
Yaani damu za watu zinanena!!
Hapa hata wamtoe nani kafara hawatoboi!!!@USAmbTanzania @hrw @ICC @usembassytz @UN @tedcruz @SenTedCruz @SenWarren
Tanzanite retweeted
Naingia kulala naomba niwaache na hii clip…..
1. Zingatia “Huyo mtu wa kati aliekuwa anafanya huo uratibu ”. Yani dalali.
Kelele zote alizopiga kwa Zitto, na yeye kaishia kufanya kile kile.
2. Zingatia alipewa nauli na gharama za huko Dar, Sasa connect dots na issue ya sea cliff.
I think mpaka sasa nchi nzima inajua huyo “Mtu wa kati” ni Godbless Lema.
Kuna siku hii familia itamtaja kwa jina…..
Nna swali, Chadema kama chama walitoa ahadi na msimamo kwa wananchi kuwa hawatopiga magoti kwa wauwaji, sasa imebainika kuwa mmoja wao anafanya kazi na wauwaji na alijaribu kuishawishi familia ya Lissu ikapige magoti kwa wauwaji, hatua gani zitachukuliwa???
Pia wananchi inabidi wampige marufuku Lema kutaja jina la Lissu kuanzia Leo. Anatumia mateso ya Lissu kuhalalisha usaliti wake.
Lissu kasema hadharani, hataki huruma anataka haki, Lema why anafosi kufanya kitu Lissu amekikataa? Yeye ndio anampenda sana Lissu kuliko sisi?? Wasaliti waache kumtumia Lissu kwenye ushetani wao.
Moja ya somo tulilopata kwenye hili sakata, dada yenu siwezi kuongea vitu sensitive au kuongea jambo la kumchafua mtu bila kuwa na uhakika wa 100%. Imagine inteview zote zilizofanywa ili nionekane muongo kwa wananchi na Lema aonekane sio msaliti ila leo Mungu kawaonyesha Watanzania dada yao waliemwamini miaka yote hajabadilika.
Tanzanite retweeted
Wataalamu wa UN Walaani Kutokuwepo kwa Haki kwa Waathiriwa wa Ghasia Tanzania
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa (UN) wameeleza wasiwasi mkubwa kuhusu kutotolewa kwa ripoti kamili ya Tume ya Uchunguzi wa ghasia zilizotokea Tanzania wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, mwaka mmoja baada ya matukio hayo.
Wamesema mamia ya waathiriwa wa mauaji, kupotezwa kwa lazima, kukamatwa kiholela na mateso bado hawajapata haki, huku hakuna maafisa wa serikali walioshtakiwa kuhusiana na ghasia hizo.
Wataalamu hao wameitaka serikali ya Tanzania kuchapisha ripoti hiyo bila kuchelewa, pamoja na kufanya uchunguzi huru na wa haki ili kuhakikisha waathiriwa wanapata ukweli, haki na fidia.
Aidha, wameeleza wasiwasi kuhusu madai ya kuendelea kwa ukandamizaji dhidi ya waandishi wa habari, wanaharakati na wapinzani wa kisiasa.
Kauli hiyo pia imegusia hali ya kiongozi wa upinzani, Tundu Antipas Lissu, ambaye amekuwa rumande tangu Aprili 2025 akikabiliwa na mashtaka ya uhaini, huku akitarajia hukumu ya mahakama Novemba 6, 2026.
Tanzanite retweeted
Msiwe na Hofu Mungu anajibu,
amewaonyesha ishara ila wamekuwa na shingo ngumu, lakini ishara zote zipo ameshawaonyesha
wamefanywa kuwa na shindo ngumu ili wafutwe wote #Mo29














