Replying to @salmakorosho
Embu njoo pembeni tuzungumze, maana huku kwenye watu wengi watakuamulia
1
37
Replying to @salmakorosho
Mdada mzuri hayo ni manyunyu tu ya mvua kuna sehemu nimepita imeninyeshea
1
53
Pale mti wa shetani dude linakula upepo tu taratiibu.
@Dingiiiiiii kaka kwanini paliitwa mti wa shetani 🤣🤣🤣
















