π„π‹πŠππŽπ–π’ (@Its_elknows) header
π„π‹πŠππŽπ–π’ (@Its_elknows) profile picture

Media Buyer Expert| Top CPA Affiliate marketer on B2B & B2C Industry | Internet marketer | Lead generation Specialist| Godfather of CPA MARKETING

Jack of all trades
Joined April 2021
Nafasi 9 tu zimebaki kwenye MASTERCLASS yetu ya CPA Affiliate Marketing itakayoanza tarehe 1December 2026. Huu ndio muda sahihi wa kujisajili mapema kabla nafasi zote 9 hazijaisha Maelezo yote kuhusu masterclass hii pamoja na link ya kujiunga ni hii πŸ‘‡ cpamastery.site/course
1
1
6
829
Siku ya leo tu nimepata watu 35 waliojiunga kupitia affiliate link yangu, na hawa wote watatu deposit $10 Kila kupata bonus niliyo waahidi kwenye tangazo Kama ndani ya miezi 6 nikiwa na wastani wa kupata referrals wengi hivi halafu wakiwa active, hapa nikula maelfu ya dollar 😁 Na uzuri wa hybrid CPA marketing ni kwamba hapa nikula commission lifetime The more wana trade, the more natengeneza pesa Na hapa napata mpaka $25/lot based na aina ya akaunti, na hii ndio raha ya kufanya internet marketing Sio Lazima wewe kutrade ili kupata pesa, ila unaweza kua mtu wa kati na ukapata pesa nyingi zaidi hata ya wanao trade
1
70
Hivi una hufahamu kuwa Kuna bidhaa nyingi ambazo unaweza kupata matokeo mazuri kama utatumia google ads madala ya Instagram na Facebook? Wafanyabiashara wengi wa Tanzania wanaamini mitandao ya kijamii peke ndipo wanaweza kupata wateja wakifanya matangazo
1
195
Kuna hii platform hata kama huna laptop unaweza kufanya small task zake na ukalipwa kwa Paypal yako ya bongo kabisa β†’Washa VPN yako ya UK au USA β†’ Jiunge kwenye swagbucks.com β†’Chukua survey nyingi unazoweza kuzifanya β†’ Weka Paypal account yako β†’Ukifikisha $25 tu hapo utatoa hela yako Hapo unaweza kutumia weekend yako kwenye hii website kutafuta $25 yako ya bando online Repost & comment site gani nyingine nipost πŸ”₯ Ps: Link ya kujiunga kwenye community na course ipo kwenye bio
7
6
35
4,726
π„π‹πŠππŽπ–π’ retweeted
Nafasi 9 tu zimebaki kwenye MASTERCLASS yetu ya CPA Affiliate Marketing itakayoanza tarehe 1December 2026. Huu ndio muda sahihi wa kujisajili mapema kabla nafasi zote 9 hazijaisha Maelezo yote kuhusu masterclass hii pamoja na link ya kujiunga ni hii πŸ‘‡ cpamastery.site/course
1
1
6
829
Ilitokea mtu akatengeneza app ya wadada wa kazi itakua imesaidia watu wengi sana Itakua hakuna haja ya kwenda vijijini kutafuta mfanyakazi, ni kulogin kwenye app unachagua mfanyakazi wako Kisha unalipia
5
1
41
2,105
Mpaka sasa hakuna kabisa app inayoonesha unit za umeme?
1
5
433
Mpaka sasa nafasi nne tayari, wamebaki watu 6 tu Kama bado hujajiunga huu ndio mda wako sahihi
Nafasi 9 tu zimebaki kwenye MASTERCLASS yetu ya CPA Affiliate Marketing itakayoanza tarehe 1December 2026. Huu ndio muda sahihi wa kujisajili mapema kabla nafasi zote 9 hazijaisha Maelezo yote kuhusu masterclass hii pamoja na link ya kujiunga ni hii πŸ‘‡ cpamastery.site/course
5
394
Kwanzia mwisho wa mwezi nimepanga kufanya masterclass ya mwisho kwa mwaka na itakua na watu 10 tu Hakikisha unajiunga mapema kabisa kabla nafasi zote hazijaisha Link ya kujiunga na maelezo ya course yapo hapa πŸ‘‡ cpamastery.site/course
1
6
536
Ukienda kwenye platform unayotumia kwenye CPA mlMarketing au Affiliate marketing, unaweza kupata record ya watu wanapenda kwenye cpa ofa zako unazo zi promote Uzuri wa CPA marketing ni kwamba huhitaji kufanya mauzo ya kitu chochote ili utengeneze pesa kama ilivyo kwenye affiliate marketing
6
490
Baada ya kumaliza graduation ya chuo ndugu zangu mliosoma linguistic kabla hamjaanza kuomba 500 ya karibu pamoja na freelancer wanaofanya kazi za translation Kuna hii platform ambayo unaweza ipitia Leo Hii ni tofauti na platform nyingine unazozijua na kazi ni nyingi Hii ni platform ya translation tu (Ina kazi za translation tu), kazi zipo nyingi sana kwenye hii platform na uzuri ni kwamba huhitaji kusubili kazi Kwenye hii platform Kuna zaidi ya makampuni 9000 ambayo yanatoa kazi Kila siku Hio website inaitwa translatorscafe.com hii website inataka kufanana kama na platform ya guru.com tu sema yenyewe inatoa kazi za translation tu
9
971
Ana hack akaunti ana post, aliwahi hack akaunti hii ya twitter kawatumia DM Kila mtu, akaenda kwenye discord akatuma kwenye magroup yote na telegram mpaka Instagram na ka DM watu kibao Kawatumia hizo hizo picha πŸ˜‚πŸ˜‚ Asee mpaka leo sijui alipataje access ya PC yangu πŸ™ŒπŸ™Œ
Huyu Jamaa Anapata Wateja Kweli ? Naona Kila Platform Yupo Na Kuendelea Kuwadanganya WatuπŸ˜‚πŸ˜‚
2
1
12
5,343
Fikilia unapata unapata 40K+ Whatsapp status viewers ndani ya masaa 24 na bado Kuna mtu anasema huwezi kutengeneza pesa online? Hii ni opportunity kubwa sana kwa mtu ambae ana bidhaa nzuri lakini Hana wateja. Kama una biashara na unatamani kupata client kupitia Whatsapp, ni DM nikutangazie kwenye status yangu Ps: Hii sio bure
2
3
17
2,468
Kuna hii kazi ya $125 ambayo unaweza kuifanya remote ukiwa umetulia ghetto kwako au hata dukani kama una internet yako nzuri Unahitaji kuwa na PC yako au simu ya android kufanya hii kazi Kama na wewe unafanya kazi au unatamani kulipwa online au hujawahi kupata kazi yoyote nimeweka link ya kuapply kwenye comment Ps: Usisahau kurepost 🀝
6
8
25
2,141
Nitafanya December masterclass kwanza tarehe 1
4
496
How to make your first $1 on the internet by using phone?
11
823
Unapokuja online unaweza kuuza kitu chochote na ukatengeneza pesa, huu ni mfano wa Canva nilizokuwa naziuza, tena nilikua nazipata bure kabisa Telegram Unaweza kutengeneza $100 yako ya kwanza kwa kuuza bidhaa au huduma yoyote mtandaoni, na watu wakakulipa Sio lazima bidhaa au huduma unayoiuza iwe ya kwako, unaweza kutafuta bidhaa za watu wengine kama software,ebooks nk Kisha ukaziuza kama bidhaa zako na ukatengeneza pesa Vitu vipo vingi mno unavyoweza kuvifanya na ukatengeneza pesa
2
10
773