Pinned Tweet
Nipende kukushukuru kaka @EsirEid #TajiriLaKihaya kwa kuweza kuniamini, hakika na mimi nimeitendea haki kazi yako, Mungu akubariki sana aisee🤲
Hata wewe unaweza kunicheki ili nikufungie mifumo bora ya umeme na nyumba yako ikapate kuwa nzuri zaidi🙏
Call/Whatsapp 0714361234
Jay~Umeme⚡ retweeted
Upo Jiji la Vurugu mechi Dar, Dont miss out #TwendeFestival
Kuna shughuli za Kijamii, Kiuchumi na Kiburudani.
A perfect kufanya Networking as well.
Wapo Viwanja vya Posta Knyama.
Karibuni 🤛🏼
Jay~Umeme⚡ retweeted
Huyu mzee wa kuonja wadau wanadai eti uwa hawamuoni kwenye kuonja "Mkuu wa meza" 🤣🤣
Anyways its happening right now viwanja vya Posta Knyama.
#TwendeFestival2026
@twenderide
Jay~Umeme⚡ retweeted
Kwani huyi mbibi anayekunywa Grand Malt anajishughulisha na nini huko Daslam maana naona wanampost sana🤔
Kwani huyi mbibi anayekunywa Grand Malt anajishughulisha na nini huko Daslam maana naona wanampost sana🤔
Jay~Umeme⚡ retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Jay~Umeme⚡ retweeted
Hii kazi yetu huwa na changamoto nyingi sana, miongoni mwa changamoto inayotesa wengi huwa ni uelewa kuhusu umeme, na shida ya mafundi ni kushindwa kuwaelewesha kwa kuwapa elimu nzuri wateja wao, yapo makosa mengi huwa tunakutana nayo ambayo mengine huchekesha sana, kikubwa dua🙏

































