Let it be known. Hakuna mtu ako juu ya program
Haya basy, hapo Bonchari natumai unanipata msuri. Sababu umetuandikia vitu mingi, ukitizama jedwali limeguza kwenye nambari 6 pande zote, inaashiria HE is the 6th na mimi nina mambo 6 kwako leo ndugu Cypriano Nyamkunditho.
Numero uno, kama kuna kitu tulisema na naona kabisa haukua darasani. Tulisema whenever you talk of Sifuna always use plural sababu Sifuna apana mtu mmoja. Na sasa ukishafanya hivyo utajua hakuna haja ya wewe mtu mmoja kukua worried about 18 million of us. Sema wewe ni Sifuna.
Numero mbwekse, hii mambo ya neutral observation ndio tulikataa kabisa. Either you're with us ama uko nje, sababu hii 'neutral' observation ndio ilifanya hatukuingia state house. Sasa kama haupandi basi ya Sifuna, kuna zile school bus za kuimba tutam unaeza ingia jomba. Hii week wako Western.
Numero utat, hizo accounts unasema they identify as Sifuna ni sisi sasa SODF, na kazi yetu hata ukiangalia hiyo jina ni Defence. Our presidential candidate is always explaining his agendas, kazi yetu ni kumdefend. Follow account ya HE, LMM, na akina Abby wanaexplain hiyo agenda. Na hapo ndio utapata formal communication channel and those protocols. Sisi kazi yetu ni kupiga surveillance na kutafuta watu kama wewe tukiwafunza muheshimu boundaries. Na vile tunabehave ni directly proportio to how you comfront us. Kama Pauline alikulima ucomplain, lakini grenades zote umepokea zimetoka SODF mamae, sasa tulia ipenye bois.
Numero cuatro, hakuna online excitement tuko nayo. In fact ukiangalia fisuri sisi ndio tuko na hasira saidi. Design hii nchi tunapelekwa no one is excited na ndio maana tuko ready every time to counter narratives that are trying to lecture us. Sisi goal yetu ni Sifuna kuingia state house, whether you ndikni or kendni.
Numero cinco, acha sasa nikueleze msuri about hiyo 'infiltration' unasema. Sisi hii squad no one is above the program. Ukijiunga na sisi alafu uanze kupush narratives za kisenge kama hizi zako tunashuka na wewe namna hatari sana. Hata mimi siku ntajaribu ujinga watashuka na mimi and no one gives instructions. Ukiblunder hata watu tano waone washuke na wewe kazi imefanyika.
Numero kwato, na hapa ndio nataka unishike msuri. Sababu ukikataa kushika itabidi ukule ngoto next time. HE EDWIN WAKENYA SIXTHFUNA SHALL BE THE 6TH PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF KENYA. Vile tutafika huko wewe usitake jua kama hauko kwa hii gari jomba.
Geukia jirani yako hapo umwambie WANTAM na jina usiulize anajiita Sifuna.
44
How many got conned here🤠🤠 Cuzo 300 big ones zilienda
How fraud linked QVSE owner returned with a new scheme youtube.com/shorts/ZurOQoUy-… via @YouTube
20
Joe Jones retweeted
Africa can produce 1,000 times its projected energy needs by 2040, and you won’t believe who stands to benefit by making sure this never becomes a reality 🥹
Winning on and off the pitch
🇮🇹 Riccardo Calafiori was honoured by Rome Mayor Roberto Gualtieri yesterday in recognition of his achievements with Arsenal, including winning the 2025/26 Premier League title! 🏆
Our defender received a special plaque in his hometown and was praised as an ambassador for Rome across the world. 𝐀 𝐩𝐫𝐨𝐮𝐝 𝐦𝐨𝐦𝐞𝐧𝐭 𝐟𝐨𝐫 𝐂𝐚𝐥𝐚𝐟𝐢𝐨𝐫𝐢! ❤️👏
10
Mtu wetu wa uno mbwekse utat strikes again🤠😎 take em to school
Ademba naona kidogo kuna mahali hujatupata kabisa, acha nikuweke class yetu kidogo.
Numero uno, tukisema tunafight for constitutionalism, hatumaanishi kupigania kukua na katiba kwa mfuko. Ni vitu kama hizi. For example on your case ni clout unatafuta na SODF, but according to the Constitution it's illegal juu campaign season haijaanza. Na hapo ndo tunakwambia hii bus we are not boarding.
Numero mbwekse, we are a defence unit, sisi apana an offensive unit. Kazi yetu kuu ni kulinda HE and co hapa kwa mtandao, sasa ukitaka hii kazi msuri unatafuta kikosi inaitwa SGDF, yaani, Sifuna Ground Dispatch Forces.
Numero utat, na hapa ndio sitaki upotee, kuwa makini tafasali. Tulisema advice mingi kama hizi unajiwekea jomba, na sababu wewe ni mtu anajielewa, geukia huyo girlfriend wako wa 'samaki' umwambie WANTAM na uconfirm jina kwa voters card kama ni Sifuna mamae.
3
180
They can’t believe that they no longer shape the narrative. #LindaMwananchiMovement
Cyprian Nyakundi ameamkia asubuhi kusema eti he suspect this movement has been infiltrated,,eti people are just shouting "sisi ndio sifuna" without explaining what sifuna stands for. Bwana izo story jiekee,,this time we know what we want and we will deliver!!!
SISI NDIO SIFUNA
1
4
70
Word!
Replying to @FPL__Raptor
People releasing they don’t need to follow FPL creators because they all use AI models to play the game
1
35
Replying to @FPL__Raptor
One international break every 10-15GWs is still fine but 2-3 international breaks in 10GWs is ridiculous and needless really
Kills the whole momentum





























