Jordan Balindo (@JordanBalindo) header
Jordan Balindo (@JordanBalindo) profile picture

God fearing! I believe in Africa

Dar Es Salaam, Tanzania
Joined July 2011
Photo by Jordan Balindo (@JordanBalindo)Photo by Jordan Balindo (@JordanBalindo)Photo by Jordan Balindo (@JordanBalindo)Photo by Jordan Balindo (@JordanBalindo)Photo by Jordan Balindo (@JordanBalindo)Photo by Jordan Balindo (@JordanBalindo)Photo by Jordan Balindo (@JordanBalindo)Photo by Jordan Balindo (@JordanBalindo)Photo by Jordan Balindo (@JordanBalindo)Photo by Jordan Balindo (@JordanBalindo)
HRF calls on Ugandan officials to disclose the whereabouts of human rights activist Praise Aloikin and immediately release her. #FreePraiseAloikin
6
🙏
Kesho kutafanyika X Space Maalum kuhusu Polepole na watu wengine wanaodaiwa kutekwa au kupotezwa na Serikali ya Tanzania. Space itaanza saa 2:00 usiku. Ikiwa una ndugu au jamaa aliyepotezwa, unakaribishwa kujiunga na Space hii ili kueleza jinsi tukio lilivyotokea. Kwa kuwa kutakuwa na visa vingi, tunakuomba ujiandae kuzungumza kwa ufupi. Katika Space hii, tutajadili kwa ujumla uhalifu unaofanywa na vyombo vya dola, pamoja na matukio ya utekaji na upotezaji wa watu nchini Tanzania na nje ya mipaka yake, ambapo vyombo vya dola vinahusishwa. Serikali ya Samia ndiyo inayotuhumiwa zaidi kuhusu masuala haya. Tanzania si salama tena. Nchi imekumbwa na matukio mengi ya utekaji na upotezaji wa watu, huku watu wanaotumiwa kutekeleza vitendo hivi, kama Wambura, Mombo, Makonda, Murilo, Mafwele , Mahita na Kingai, wakipewa vyeo kama zawadi. Hali hii inachochea kwa kasi ongezeko la ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini. English Tomorrow, a Special X Space will be held on Polepole and other people who are have been abducted or disappeared by the Government of Tanzania. The Space will start at 8:00 PM. If you have a relative or acquaintance who has been disappeared, you are welcome to join this Space to explain how the incident happened. Because there will be many cases, we kindly ask you to prepare to speak briefly. In this X Space, we will discuss in general terms the crimes committed by state organs, as well as incidents of abduction and enforced disappearance in Tanzania and beyond its borders, in which state organs are implicated. The government of Samia is the most suspected party in these matters. Tanzania is no longer safe. The country has been hit by many incidents of abduction and disappearance, while the people used to carry out these acts, such as Wambura, Mombo, Makonda, Murilo, Mafwele, Mahita and Kingai, are being rewarded with promotions. This situation is rapidly fuelling a rise in serious human rights violations in the country. #FreePolepole #ChangeTanzania #TanzaniaNotSafe
10
Jordan Balindo retweeted
Where is Twaha Mwaipaya? The High Court has summoned DCI Director Mohamed Amin to appear in person on 1 December 2026 and account for investigations into the disappearance of the Tanzanian activist. The State cannot investigate indefinitely without answers. Twaha's whereabouts must be established, the truth uncovered, and those responsible held accountable. #FreeTwahaMwaipaya #EndEnforcedDisappearancesKE
4
143
5
311
5,013
#Write4Rights Where is Humphrey Polepole? Humphrey Polepole disappeared after being abducted from his home.  Sign the petition and demand answers for his family from the Tanzanian authorities. amnesty.org/en/petition/wher…
3
34
2
51
2,157
💔
Mtoto wa miaka 13. Ndoto zake alikua anataka kuwa daktari. Angel alipigwa risasi na watu wenye uchu wa madaraka na kiu ya damu za watu. Watu hawa wanaoendelea kuteka kila anaekosoa mfumo wao, wanaua, wanafunga jela kwa kesi za uongo. Familia nyingi kama ilivyo familia ya Angel wanabaki na majonzi na maumivu yasiyokwisha. Chuki inaongezeka, uhasama unajengeka wannabe wanafikiri wataua kila Mtanzania anaekemea huu uovu Mpaka wabaki ambao wataogopa kabisa na kukaa kimya wote.. Nafikiri wanajidanganya sana, kila uovu unaofanyika unaongeza chuki, unawapa watu ujasiri wa kupinga mabaya na wengi zaidi watazaliwa kukataa huu mfumo wa kidkteta wa sisi kuishi kama mateka. Tunakulilia Angela kama wengine wote ambao maisha yao yamekatishwa na yanaendelea kukatishwa bila sababu. Tunajua uovu wao huu wanataka kutubambikizia sisi, tunajua kesi wanaoandaa dhidi yetu ili kuficha wauaji halisi na kukamata watu wema. Vyovyote watakavyofanya, tutaendelea kupigania haki ya kila mtu na lazima itapatikana na waliohusika watawajibika. Pole sana familia ya Angel. Pumzika kwa Amani Malaika.
🙏
🚨 FREE TUNDU LISSU NOW! WLC Leadership Council Member @BitiTendai demands the immediate release of fellow member Tundu Lissu, who, after 19 months in detention, was acquitted of treason but sentenced to four years in prison for incitement. He should never have been imprisoned in the first place. Demanding democracy is not a crime! End political persecution. #FreeTunduLissu
10
🙏
My statement on the conviction of Tanzanian opposition leader, Mr Tundu Lissu.
26
Jordan Balindo retweeted
6.11.2026: Hukumu ya TUNDU LISSU NA KUMBUKUMBU YA KESI YA MWALIMU NYERERE YA MWAKA 1958. HISTORIA INATUFUNDISHA NINI? Leo, tarehe 6 Novemba 2026, Tundu Lissu ameshinda kesi ya uhaini lakini mahakama ikasema amepatikana na hatia ya uchochezi (incitement) na kuhukumiwa kifungo cha miaka 4. Tunamshukuru Mungu kwa kesi ya uhaini kutupiliwa mbali na kumpongeza Lissu kwa umahiri na ujasiri wake hadi kujitetea. Lakini hukumu ya uchochezi inasikitisha, inafikirisha na inatukumbusha historia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, ambaye naye mwaka 1958 alikutwa na hatia ya jinai ya kashfa (criminal libel) wakati wa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika. Makosa haya mawili ni tofauti kisheria, lakini kesi hizi zinafanana katika jambo muhimu: zote zilihusu kiongozi mkuu wa upinzani aliyeshtakiwa na Serikali kutokana na kauli zake za kisiasa. Turejee historia. Tarehe 27 Mei 1958, Mwalimu Nyerere alichapisha makala katika gazeti la Sauti ya TANU, Toleo Na. 29, akiwakosoa Wakuu wawili wa Wilaya wa Serikali ya kikoloni kwa madai ya kutumia madaraka yao vibaya na kuihujumu TANU. Akafunguliwa kesi ya jinai Na. 2207/1958 chini ya kifungu cha 187 cha Kanuni ya Adhabu (Penal Code). Serikali ya Uingereza ilitoa maelezo kuhusu mashtaka hayo katika Bunge lake (House of Commons) tarehe 26 Juni 1958. Nyaraka za UN zinathibitisha kwamba Mwalimu alikutwa na hatia katika mashtaka mawili na kuhukumiwa kulipa faini ya shilingi 3,000 za Afrika Mashariki, sawa na pauni 150 za wakati huo, au kifungo cha miezi sita. Alilipa faini tarehe 12 Agosti 1958 na hakukata rufaa. Kesi hiyo ilizua mjadala mkubwa. Wanaharakati wa kupigania uhuru huko London walihoji iwapo Mwalimu angepata haki katika mahakama za kikoloni na kudai kuwepo kwa waangalizi huru. Serikali ilikataa, ikisisitiza kuwa uamuzi wa kufungua mashtaka ulikuwa chini ya mamlaka ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Miaka 68 baadaye, tunajikuta tena tukitafakari maswali kuhusu uhuru wa kisiasa, matumizi ya sheria za jinai na nafasi ya mahakama katika mfumo wa kidemokrasia. Pamoja na hukumu ya mwaka 1958, Mwalimu Nyerere aliendelea na harakati zake hadi Tanganyika ilipopata uhuru mwaka 1961. Funzo muhimu ni kwamba hukumu ya jinai dhidi ya kiongozi wa kisiasa si lazima iwe mwisho wa safari yake ya kisiasa. Historia inaonesha umuhimu wa kuendeleza majadiliano (dialogue) badala ya mapambano na vurugu (confrontation). Kwa wanaothamini demokrasia, mfumo wa vyama vingi, haki za binadamu, uhuru wa kujieleza na utawala wa sheria, hukumu ya uchochezi dhidi ya kiongozi mkuu wa upinzani inaibua maswali mazito yanayohitaji mjadala mpana wa kitaifa. Je, mipaka kati ya ukosoaji halali wa Serikali na uchochezi wa jinai ikoje? Je, mwanasiasa awe mpinzani au wa chama tawala atakosoa je Serikali au kudai maboresho au mageuzi bila kuhofia kutafsiriwa kuwa mchochezi? Je, wananchi watawezaje kudai haki zao kwa nguvu ya hoja bila kuonekana wanachochea uvunjifu wa amani? Walimu na wanataaluma tutawezaje kufundisha, kuchambua sera, kutoa mapendekezo na kukosoa mifumo ya utawala bila kuhofu kuitwa wachochezi? Viongozi wetu wa dini watawezaje kutekeleza wajibu wao wa kinabii wa kukemea maovu na kusimamia haki bila kuonekana wanachochea waumini wao? Uhuru wa kujieleza una mipaka yake na hauhalalishi haki ya kukashfu, kuchochea vurugu au uhalifu. Lakini ni muhimu sana kuweka mipaka iliyo wazi kati ya uchochezi wa jinai na ukosoaji halali wa kisiasa. Iwapo sheria za jinai zitatumika kudhibiti ukosoaji halali wa kisiasa au kitaalamu, tunaweza kujikuta tunadhoofisha demokrasia, haki za binadamu, kuongeza hofu na kuzidisha mkwamo wa kisiasa na kiuchumi badala ya kuutatua. Hukumu ya leo inatupa sababu nyingine ya kujadili kwa kina uhuru wa kujieleza, uhuru wa mahakama, haki za raia na za vyama vya upinzani na mipaka ya matumizi ya sheria za jinai katika siasa. Ninarejea msisitizo wangu wa muda mrefu kuhusu falsafa ya Rais Samia ya 4Rs. Tujenge utamaduni wa kusikilizana na kukosoana kwa hoja TUJISAHIHISHE
61
364
14
1,086
30,755
✔️
The violence and loss of life around Tanzania’s 2025 elections remain deeply concerning. Accountability, inclusive reconciliation, and respect for the rule of law are essential. #UPR53 #Tanzania
11
💪
AAMA stands in absolute solidarity with Tundu Lissu and all other political prisoners in Tanzania. We stand in defence of democracy, political freedoms, human rights and the fundamental right of every people to dissent without fear of persecution or imprisonment. An attack on one people’s freedom is an attack on the freedom of us all. #AAMA2026 #FreeTunduLissu #FreePoliticalPrisoners #AfricansRising
13
Haya ndo majibu utakutana nayo katika nchi ambayo si huru. Uwoga wa kusema ukweli unafanyika kuwa usalama. Aibu kubwa!
kama mlaji wa maudhui ya vyombo vya habari, unadhani vyombo vya habari vinaweza kuwa huru kukuhabarisha kama serikali ina uwezo wa kukifungia, bila hata kupata idhini ya mahakama? evody kyando, wa idara ya habari maelezo, taasisi ya serikali, anasema ndiyo. 🎥: @hijahiseja:
6
Asante Balozi. Tunafuatilia. #Free_Tundu_Lissu
As an American constitutional lawyer, I have personally litigated cases defending the rights to free expression and due process. These are fundamental principles of human liberty. For that reason, I am closely following the outcome of Tundu Lissu’s trial proceedings, and the broader implications for the rule of law.
17
Replying to @_James041
A judgment that will speak beyond one courtroom. 🇹🇿 We call on the judges to uphold their oath and protect the right to dissent. PASNet demands Tundu Lissu’s acquittal and immediate release. No one should lose their freedom for demanding democratic change. #JusticeForLissu #FreeTunduLissu
6
Huyo ni mwongo. Kwanini asingesimama ili Lissu akishinda aendelee na ajiuzulu kama Mbowe angeshinda? Hesabu rahisi kabisa.
“John Heche hakuwa chaguo la Tundu Lissu kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, bali mimi ndiye niliyependekezwa na Lissu kwa nafasi hiyo,” amesema Lema✍️ #KitengeUpdates
10
From safe haven to abduction hub: Who is kidnapping East African dissidents in Kenya? l.theafricareport.com/zky
4
66
5
135
9,843
Jordan Balindo retweeted
.@SuluhuSamia: One year after state security forces gunned down thousands of innocent people protesting a stolen election, there has still been no justice or accountability. Meanwhile, repression and intimidation continue, including arrests of Maasai in @visitngorongoro. Donors like @WorldBankGroup continue pouring billions into this regime while failing to use their leverage to demand accountability and an end to these abuses. This regime and its enablers must be held to account! @Mittaloak @Oleshangay @DenisMoses14 @MariaSTsehai @landislife @Survival @TheChanzo @lifeofmshaba @IAMartin_ @WBGTanzania @UN_SPExperts @UNHumanRights
2
50
1
121
2,310
🙏
Impunity, continued detention of Tundu Lissu & other opposition voices, clampdown on media & civil society: One year on, there is no end to #Tanzania's crackdown. @EUinTZ @EU_EEAS: press TZ authorities to stop targeting critics, ensure accountability. hrw.org/news/2026/10/28/no-a…
13