E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_) header
E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_) profile picture

Lawyer & Liberal, Personal & Private Banking, Universal Banker #ArsenalFan

Tanzania
Joined September 2015
Photo by E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_)Photo by E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_)Photo by E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_)Photo by E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_)Photo by E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_)Photo by E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_)Photo by E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_)Photo by E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_)
Mhh mbona hata bongo niliona mtazamo ni sawa na huo wa Ruto. Check hata kwetu tumeanza kwenda huko
Anachokiongea Ruto hapa ndio kile kile tunachokishangilia na kukilipia mabilioni Tanzania bila kujali madhara yake kwa mamilioni ya watanzania. Mpaka VETA wanatumia kiingereza kama lugha ya kufundishia. Yani anayeongea na anayeongeleshwa wote hawaelewi kinachoendelea lakini wanalazimika kwenda tu kwa sababu “kiingereza ndio sera ya Elimu.” Miaka 65 ya uhuru lakini bado hatuna uhuru wa kujifunza na kufundisha kwa lugha yetu.
15
Sema makamu amesema maridhiano wanayataka watu wametulia kimyaaa. Angesema Nabii. 🤔
11
Enzi Hizo…. Hawavumi lkn wapo
Replying to @_zack255
Kwenye bajaj ? 😁
1
1
160
Niliona the same semtiments na mbaya zaidi kujiuliza kama sera za chama chake anazijua pamoja na itikadi yake maana hakika huu sio Ujamaa
Ukaburu (apartheid) unakuja kwa kasi ya ajabu miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru. Mkuu wa mkoa badala ya kuleta ubaguzi wa dhahiri unatakiwa kuwainua hao unaowadharau wawe na uwezo wa kuingia hoteli hizo hii inaitwa affirmative action Ubaguzi ni kinyume cha ibara ya 13 ya katiba
34
Gospel in Tanzania imekua nzuri lately in terms of vipaji vipya, music, new audience & social impact. Inapenya sana kwenye mawimbi na ina compete kama secular ukilinganisha back in years.
22
Hate watching with passion
Kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu, Arsenal wakishinda naumia sana😒 leo hata appetite sina kabisa💔
22
Khalifa! Wawekezaji na wao ni sehemu ya hizi chokochoko zetu. Muwekezaji msafi hawekezi kwenye economy hii yenye rushwa nyingi kaka. Dunia ina wapiga dili kila kona bro, dunia imeshakua yakinyang’au ni how are we surviving and still remain one nation ndio mtihani mgumu we have now.
mimi ndo maana nasema serikali haimaanishi chochote inapozungumza kuhusu sijuwi maendeleo, dira, au kuvutia uwekezaji. yaani upate uwekezaji wa maana katika mazingira ambapo kama serikali ina maslahi kwenye kesi mahakama iko tayari hata kupindisha sheria kuiridhisha? tusahau!
2
76
I am Very Emotional. Imeniuma sana
Mimi sio mtu wa emotions sana ila leo niko very emotional, I hope tutapewa dhamana au tutapewa fine, binafsi niko tayari kulipa hata yote peke yangu, I hope TAL atarudi nyumbani leo inshAllah.
2
98
Inawezekana ni Comrade aliyeamua kujitenga na siasa zake. Sio kila mtu anapenda kuwa affiliated na Comrade wa sasa wengi wenu hamjielewi.
Mwanenu wa Mwanza angekuwa comrade jambo lake lingekuwa kubwa na la heshima sana.
2
91
8,386
Mimi hakika nimemwachia Mungu.
PIGA KURA SASA! Majibu yetu kwa hukumu hii ya Tundu Lissu iwe nini? Tufanye nini kupinga huu udhalimu (Tutajadili baadaye Space:)
71%Maandamano
18%Tumwachie Mungu
11%Kitu kingine (eleza)
4,665 votes • Final results
1
3
395
Reading comments section.
Nimesikitishwa sana na kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwilini wa Chuo cha Usafirishaji (NIT).Natoa pole kwa familia,ndugu,wanafunzi wa NIT na wote walioguswa na msiba huu.Nimeviagiza vyombo vya dola kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua za kisheria waliosababisha tukio hili.
25
🫡🤝 Uongozi.
...... WATANZANIA SHALOM!
1
37
E.N.I.G.M.A retweeted
...... WATANZANIA SHALOM!
138
16
24
175
64,259
E.N.I.G.M.A retweeted
Unju 🙌🏼
5
28
1
116
3,950
Creativity
Mnyama ndani ya Kundi C la Ligi ya Mabingwa Afrika. #TotalEnergiesCAFCL #NguvuMoja
54
E.N.I.G.M.A retweeted
'Mimi ni CCM ya Nyerere, hii sasa hivi inanipa shida kidogo' - Alute Lissu Mahojiano kamili>youtu.be/2aYT3TkLV1M?si=SDvA…
12
90
3
720
51,050
E.N.I.G.M.A retweeted
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka viongozi kuweka nguvu kubwa katika kulinda usalama wa wananchi, hasa pale kunapokuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani katika maeneo yao, ili kuhakikisha wananchi wanakuwa salama.
13
12
1
284
37,671
My brother Pambalu na siasa safi. You will come back stronger kaka 🙏🏾
1
45
JOHN PAMBALU ; KESI YA UHAINI. A good man; and charismatic 🥹
17
44
1,117
Nimefanya harakati za Siasa na Pambalu SAUT. John Pambalu pia ni mwinjilisti, ni kijana mwema na safi. @tanpol
John Pambalu kashitakiwa kwa UHAINI.
1
38