Mlio Maliza FORM FOUR 2012 hii paper ya Mathematics ilikua na ugumu gani sasa aisee? Mlikuwa very dramatic nyie watu π¨π
πππππ₯π₯π ππππ’π retweeted
Kama wao hawakucheki kwann ww uwacheki π€¨π€¨
Mrithi wa Harmonize tumeshamjua, I'm sure hapo hata kakirudia darasa hakatokasirika! Janja akikuwa sio rahisi kujenga π
π
πππππ₯π₯π ππππ’π retweeted
Hawa wajinga wakipewa Club wanaweza toa billions za usajili? Ningekuwa Mo ningeondoka, na hakuna cha nikihitajika nitarudi, aje sasa? Yani nina pesa alafu uniite mkinihitaji? Watu hawana shukurani, hawa matajiri GSM, Mo & Azam wameuweka mpira wa Tanzania kwenye level nzuri.
KipengaXtra: Shabikiwa Simba Sc @mcmloloma_events anasema bodi ya Simba haitambuliki kisheria , kwaiyo kinachotakiwa ni kufuata haki kama kuna kiongozi yupo na hatambuliki kisheria basi anaweza kuwekwa pembeni kwanza ili mfumo ukimuhitaji atarejea.
#KipengaXtra #HainaKuchoka #EastAfricaRadio
πππππ₯π₯π ππππ’π retweeted
Wanaume wenye pesa huwa hawasumbuliwi sana na mambo ya mapenzi. Unajua kwa nini? Wana resources za kutosha kumpata wanayemtaka, na mapenzi si chanzo chao pekee cha furaha. Wana vyanzo vingine vingi vya starehe na maisha. So, focus on building your resources bank.

Utafanya nini ukirudi nyumbani alafu ukamkuta mke wako akimpiga au kumfokea mama yako?
πππππ₯π₯π ππππ’π retweeted
Nakukumbusha tena, usikarabati nyumba ya kupanga hata kama wewe unapenda vitu vizuri kiasi gani.
πππππ₯π₯π ππππ’π retweeted
Uko sure tukiona chats zako na huyo bae wako, tutaendelea kukupa heshima tuliyonayo kwako, au heshima yetu kwako itaanguka drastically kama Mnara wa Babeli? ππ
πππππ₯π₯π ππππ’π retweeted
Hapa kuna muhuni atajaribu kushuti kwa nyuma! ππ Wahuni ni wahuni tu, hawafuati hata law of gravity!
πππππ₯π₯π ππππ’π retweeted
Kwa nini kuwa mwanamke anayejitegemea kifedha na anayejituma kujenga kazi yake huambatana na changamoto ya kukosa bahati kwenye mapenzi?