Pinned Tweet
Rest in peace my mom, nakupa salamu
Huku maisha kidogo matamu nakula vitamu
Miss you mom, miss you mom
House Rent + transport cost nalipwa na walipa KODI
HELSLB sijafika huko nilisomeshwa na walipa KODI free bila malipo diploma pale arusha technical college.
Kwanza nawashukuru wakurugenzi wanao miliki mabus kaa kutuletea bus zenye vyoo ndani badhi .
Ila OMBI langu mkileta BUS ZENYE CHOO NYENGINE MPUNGUZE IDADI YA SEAT leg room hata ikizidi mita moja na NAULI MKITUTOZA KUBWA ITS OK . SISI WENGINE WAREFU
BODA2BODA
#JohanviaExpress
Sirari || Tunduma
Nina habari njema kuhusu hi kampuni, milango inazidi kufunguka 🙏🏻
Akitoka kwenye Volvo anahamia BENZ anataka pale road ya nyerere road amiliki zile kampuni zote za MAGARI SCANIA+MAN+ VOLVO+BENZ .


















