The Gammar (@MP_Soldier9) profile picture
Joined September 2024
Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)Photo by The Gammar (@MP_Soldier9)
Kumbe Biashara Ya Spare Za Pikipiki Inafaida Kubwa Namna Hii, Mtaji Wa 1Milion Unatoboa Vizuri Tuuuh TAMISEMI Nawapa Miaka 2 Hamtoniona Tena Bakini Na Maposho Yene Ya Semina.
31
44
4
465
28,929
Usijutie kumpoteza mtu wakati mwingine Mungu anakuondoa sehemu ambayo haikustahili uwepo wako โœ๏ธโœ๏ธโœ๏ธ
4
14
30
582
Wakuu Naomba Repost yako ๐Ÿ™โ™ฅ ๐Ÿ•Casio F-91W Og ๐Ÿ’ฐ40000 โ˜Ž0752777167 ๐Ÿ“Mwananyamala popote ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7
52
2
60
991
The Gammar retweeted
Ndani Ya Mwaka Mmoja Tu..! Jamaa Maendeleo Yake Yamekua Kwa Kasi Sana Kajenga Bonge La Mjengo Anamiliki Chuma Kali, Kumbe Jamaa Ana Vimicro Finance Haramu Uswahilini Uko Wanaviita "KAUSHA DAMU" Anasema Vina Faida Kubwa Sana Anamiliki Zaidi 50 Vikampuni.
3
17
17
151
Ndani Ya Mwaka Mmoja Tu..! Jamaa Maendeleo Yake Yamekua Kwa Kasi Sana Kajenga Bonge La Mjengo Anamiliki Chuma Kali, Kumbe Jamaa Ana Vimicro Finance Haramu Uswahilini Uko Wanaviita "KAUSHA DAMU" Anasema Vina Faida Kubwa Sana Anamiliki Zaidi 50 Vikampuni.
3
17
17
151
The Gammar retweeted
Hakikisha unakula unashiba ili upate nguvu za kuendelea kuteseka.๐Ÿ˜
10
23
53
620
Tuendelee wiki nyingine tena na kampuni safi ya kubetia #AFROPARI Jiunge na #AFROPARI Uendelee kuokota bonus na mikeka kibao tunaishi kwa bahati usizarau bila kujaribu jiunge sasa.. REG LINK: afropari.life/MZUNGU APP LINK: afropari.life/MZUNGUapp Promo code MZUNGU ๐Ÿ’ตโœ…
2
18
16
240
The Gammar retweeted
Hello Dearsโ™ฅ๏ธ Usimfungie Mungu kwenye mipaka ya akili zako na hali yako ya sasa kwasababu yeye ana uwezo wa kukupeleka umbali ambao akili zako nguvu zako hata miguu yako isingeweza kufika kama unamwamini Mungu bidii tu ndio jukumu lako kukufanikisha mwachie yeye๐Ÿ™๐Ÿฅฐ
42
41
63
718
The Gammar retweeted
Bado mwezi mmoja na nusu ili huyu bwana atrendi kuliko mchezaji wowote ndani ya ligi yetu
16
24
271
7,028
The Gammar retweeted
Good morning! Ukweli ni kwamba maisha hayajawahi kuwa mepesi kwa mtu yeyote, kila mtu ana vita anavyopigana kimya kimya. Muhimu ni kutoacha kujaribu. Mungu atupe nguvu ya kuendelea mbele leo. ๐Ÿ™โœจ
14
25
50
687
Ni siku nyingine tena alotujalia Mungu kuiona, Ikawe ya Amani kwetu sote ๐Ÿ™๐Ÿป. Good morning to everyone.
18
19
25
177
The Gammar retweeted
Epuka watu wanaojifanya ni wema,kukusaidia katika matatizo ambayo wameyatengeneza wao. Good morning X familia
21
31
42
399
"Siri haitunzwi na mtu mwenye njaa kuwa makini "๐Ÿ™Œ. Good Morning ChampionsโœŒ๏ธ.
20
31
59
810
Good morning Katika safari ya maisha kuna watu ambao walikushika mkono wakati hukuwa na kitu. Kuna waliokutia moyo ulipokata tamaa waliokusikiliza ulipokuwa na huzuni na waliokusaidia bila kutarajia malipo
29
38
57
862
The Gammar retweeted
Kuna wale wana wakisafiri kwa muda mrefu, baada ya kurudi wanataka uwe kampani yao Hapo wanataka usifanye kazi muda wote kila wanapotaka kwenda uwe nao. Sijui huwa wanajikuta akina nani?.
12
39
92
2,169
The Gammar retweeted
Kama Wewe Ni Graphic Designer Mzuri Nishawishi Kitu Nikupe Kazi Badala Ya Artificial Intelligence AI. Naona AI Inafanya Kila Kitu.
13
1
20
270
Kama Wewe Ni Graphic Designer Mzuri Nishawishi Kitu Nikupe Kazi Badala Ya Artificial Intelligence AI. Naona AI Inafanya Kila Kitu.
13
1
20
270
Nimebeba nyumba yangu yote safari hii hakuna kurudi kwa ex๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
11
18
48
1,105
๐ŸคŒ
1
19
31
728