Medrick mapembe retweeted
Is it possible that someday we could wake up and discover that the Sun simply doesn’t rise?
Medrick mapembe retweeted
Replying to @SuluhuSamia
Hawa hukuwahi kutoka pole lakini sawa hakuna shida ulisema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi
Medrick mapembe retweeted
Wazazi wangu ni baraka kubwa sana!! Kuna muda wanahakikisha ndoto zangu zinatimia kupitia wao!
Asanteni kwa kila jambo wazazi wangu, na sasa rasmi leo tunaondoka kwenye nyumba za kupanga.
NI MUNGU NA WAZAZI!❤️🔥🙏🏽✅
Medrick mapembe retweeted
Msema kweli mpenzi wa Mungu.
Recently nimekuwa muoga sana kutoa maoni yangu yanayohusu siasa kwa public, hususani Twitter (X).
Unatoa maoni yako kushauri kitu, mtu anakwambia tayari huyu yuko kwenye payroll ya Abdul.
Haya, kesho unapost unaandika
“Hatutaki maridhiano bila uwajibikaji”
Yule aliyekwambia jana kuwa uko kwenye payroll ya Abdul anakuja tena anacomment anasema
Naona leo Abdul hajakuingizia hela😁
Aaah kmmk walai!!
Medrick mapembe retweeted
Gar: BM Coach VVIP
No. T 422 EHB
Uelekeo: Dar (Jiji la Matapeli).
Hii chuma Nauli yake ni 87,000/=, wakati VIP nyingine ni 60,000, ikiwa na ongezeko la 27,000/=.
Kwanza nimekutana na Menu hiyo hapo.
Mwisho wa Safari nitafanya Review ya Safari.
Medrick mapembe retweeted
#TajiriLaKihaya
ISAYA simuoni hapa X… muambie anawakilisha Taifa 🇹🇿 asifanye mchezo kabisaa!
Nmempa hii Video Tutorial kama zawadi yangu- MUONESHE USIKU HUU!
Medrick mapembe retweeted
“Siku zote watu wenye HATIA ndio huwa WAOGA. Watu wasiokuwa na hatia sio waoga. MIMI sio muoga kwasababu SINA HATIA. Na kwasababu sina hatia NIKO TAYARI kukaa Gerezani AS LONG AS IT TAKES kupigania HAKI. Bob Marley aliimba hivi,(Truth may be an offense, it is never a sin)” - TAL









































