MtataProMax (@MtataProMax) profile picture

i may look normal but deep down i need a gun licence.

Mpimbwe
Joined February 2025
Photo by MtataProMax (@MtataProMax)Photo by MtataProMax (@MtataProMax)Photo by MtataProMax (@MtataProMax)Photo by MtataProMax (@MtataProMax)Photo by MtataProMax (@MtataProMax)Photo by MtataProMax (@MtataProMax)Photo by MtataProMax (@MtataProMax)Photo by MtataProMax (@MtataProMax)Photo by MtataProMax (@MtataProMax)Photo by MtataProMax (@MtataProMax)
Mzigo Sold Out❗️ Watanzania wamefurahi sana.
10
11
2
12
902
𝐊𝐈𝐅𝐔𝐍𝐆𝐎 𝐂𝐇𝐀 𝐌𝐈𝐀𝐊𝐀 𝐌𝐈𝐍𝐍𝐄 𝐊𝐈𝐌𝐄𝐙𝐈𝐍𝐆𝐀𝐓𝐈𝐀 𝐔𝐒𝐀𝐋𝐀𝐌𝐀 𝐖𝐀 𝐋𝐈𝐒𝐒𝐔 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐋𝐀𝐇𝐈 𝐌𝐀𝐏𝐀𝐍𝐀 𝐘𝐀 𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀. Hukumu hii ya miaka minne jela kwa Lissu imezingatia maslahi mapana ya Taifa na usalama wa Tundu Lissu. Ilikuwa haina budi kwa Lissu kufungwa kwa sababu kama angeachiwa huru pengine Wananchi wangemshambulia sana mtaani na hatimaye kuwaua kwa kusababisha machafuko ya Oct 29 ambayo yaligharimu maisha ya wapendwa wao. Hivyo, Mahakama imetumia hekima na weledi wa hali ya juu kumfungia miaka minne kupunguza hasira za wananchi dhidi ya Lissu. Lissu akiwa jela atakuwa salama zaidi. Pili, Lissu kufungwa miaka minne italifanya Taifa liwe na amani na utulivu zaidi, utulivu na amani ni vichocheo vikubwa vya uchumi na maendeleo. Ili tuendelee, tunahitaji amani na utulivu na Lissu kubaki uraiani na inatishia maendeleo na ustawi wa Taifa letu.
29
16
2
31
12,575
Zile rasta tunakwenda kuzinyoa leo. Hatutaki chawa mule. Haya wale wafuasi, muda wa kunyoa hizo nywele umefika. Nashauri apelekwa Maweni Tanga, kule kunamfaa zaidi.,
8
8
2
19
1,886
Kinachokwenda kumtokea Lissu litakuwa fundisho kwake na wafuasi wake. Na nyie mnaojificha nje ya nchi mkidhani mko salama sana, kila mmoja atafikiwa kwa muda wake.
26
10
2
22
3,988
𝐇𝐀𝐏𝐏𝐘 𝐀𝐍𝐍𝐈𝐕𝐄𝐑𝐒𝐀𝐑𝐘 my wetu😘 Tunayo zawadi maalum tumekuandalia leo! #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
39
79
9
855
25,914
Sasa mnaamini kuwa CHADEMA imaendeshwa na wanaharakati? Fatilieni hiyo Press ya Golugwa ni upuuzi mtupu
10
6
2
32
2,855
😂😂😂
😀😀 sasa leo diyo mtajua kama akina Katuga wanajua sheria au hawajui!..
1
90
MtataProMax retweeted
😀😀 sasa leo diyo mtajua kama akina Katuga wanajua sheria au hawajui!..
9
4
21
4,130
MtataProMax retweeted
Hii Tume ya Jaji Lila inakwenda kufunga watu, inakwenda kufuta watu kazi na inakwenda kuandika historia kubwa sana. Mark this tweet.
9
18
2
33
5,640
Wakati kesho watoto wa Lema raia wa Canada wakiwa wanacheza Gofu, wewe nenda kafanya fujo Mahakamani kwenye hukumu ya Lissu.
2
2
78
MtataProMax retweeted
11
8
117
𝐓𝐄𝐂 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐦𝐮𝐮𝐚 𝐏𝐫𝐨𝐟. 𝐊𝐢𝐠𝐡𝐨𝐦𝐚 𝐌𝐚𝐥𝐢𝐦𝐚. 𝐇𝐢𝐥𝐢 𝐦𝐭𝐚𝐭𝐮𝐛𝐮 𝐥𝐢𝐧𝐢 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐦𝐰𝐚𝐧𝐝𝐚𝐥𝐢𝐚 𝐦𝐢𝐬𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐥𝐮𝐦𝐮? Kighoma Malima (1938 - 1995); Akiwa na umri wa miaka 19 tu aliacha Shule Sekondari Tabora ili ajiunge na TANU katika harakati za kuikomboa Tanganyika kutoka kwenye ukoloni wa Mwingereza. Nchi ilipopata Uhuru aligundua kwamba kuna hili kubwa dhidi ya Waislamu ndani na nje ya serikali, mgawanyiko huo wa kidini wenye dhulumu ulichochewa na Wakatoliki wanaopokea maelekezo kutoka TEC. Alijitoa TANU na kuanzisha chama chake cha siasa cha National Reconstruction Alliance (NRA) na kutangaza kugombea Urais wa nchi 1995 ili aweza kurudisha usawa wa kidini ya serikali na nchi, TEC, CIA na M16 hawakupenda. Waislamu wote nchi nzima, kama walivyomuunga mkono Mwalimu miaka yote kablaya Uhuru hadi Uhuru, ndivyo walivyopanga kumuunga mkono Kighoma Malima, na duru zote ziliashiria tayari Malima anakwenda kuchukua kiti cha Urais 1995 kupita NRA. Katika mazingira ya kutatanisha, Agosti 5, 1995 Kighoma Malima alikufa ghafla Jijijini London nchini Uingereza alikopitia kutoka Makka alipokwenda kuhiji/kufanya umra, hii ni siku chache tu baada ya yeye kutangaza azma yake ya kugombea Urais wa Tanzania. TEC walihusika kusuka mpango wote huu, TEC tayari walikuwa na kijana wao Benjamin Mkapa, ambaye ndiye alikwenda kuwa Rais wa Tanzania. CIA, M16 kwa msaada wa TEC, walidhulumu roho ya Kighoma Malima. Tuwalize, hili watatubu lini na kuomba msamaha?
49
20
1
55
18,582
Tanzania Haijatengwa: Ushahidi wa Misaada, Mikopo na Mikataba na Mataifa ya Magharibi Baada ya Oktoba 29, 2025. Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, zilienea taarifa kwamba Tanzania imetengwa na jumuiya ya kimataifa, hasa Marekani na Ulaya. Mwaka mmoja baadaye, takwimu za fedha na mikataba iliyosainiwa zinaonyesha picha tofauti. Washirika wa Magharibi wameendelea kutoa mikopo, misaada na uwekezaji, ingawa kwa baadhi yao namna ya ushirikiano imebadilika. Benki ya Dunia: Mabilioni Yanaendelea Kutiririka Mfano mkubwa ni Benki ya Dunia, ambayo makao yake makuu yako Washington. Tarehe 31 Machi 2026, Bodi ya Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya Dunia iliidhinisha ufadhili wa IDA kwa programu mbili mpya za elimu na hifadhi ya jamii, zinazotarajiwa kuwanufaisha Watanzania zaidi ya milioni tatu. Thamani yake ni dola milioni 550 (zaidi ya shilingi trilioni 1.4). Uamuzi huo ulitangazwa na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia kwa Afrika Mashariki na Kusini, Dkt. Ndiame Diop, katika mazungumzo na ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Waziri wa Fedha, Dkt. Khamis Mussa Omar, pembeni ya Mikutano ya Majira ya Kuchipua ya IMF na Benki ya Dunia ya 2026 jijini Washington. Dkt. Diop pia alisema idhini hiyo inaakisi ushirikiano imara kati ya Tanzania na Benki ya Dunia, pamoja na utekelezaji mzuri wa miradi na sera thabiti za kiuchumi. Kwa sasa, uwekezaji wa Benki ya Dunia nchini kupitia dirisha la IDA umefikia dola bilioni 8.96 katika miradi 35. IMF: Programu Imekamilika kwa Mafanikio Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) nalo limeendelea kuiamini Tanzania. Mei 2026, Tanzania na IMF zilifikia makubaliano ya ngazi ya wataalamu yaliyofungua dola milioni 375.5 za ufadhili mpya. Kisha, Julai 10, 2026, Bodi ya IMF ilikamilisha mapitio ya sita na saba ya ECF na ya tatu na nne ya RSF. Hatua hiyo ilitoa takriban dola milioni 154.1 chini ya ECF, na kufikisha jumla ya ECF kuwa takriban dola milioni 1,063, pamoja na takriban dola milioni 289.7 chini ya RSF. IMF ilieleza kwamba Tanzania iliendelea kufanya vizuri kiuchumi, ikiwa na ukuaji wa Pato la Taifa wa asilimia 5.9 mwaka 2025 na mfumuko wa bei wa asilimia 4.0 Juni 2026. Marekani: Mkataba wa Afya wa Dola Bilioni 3.1 Licha ya mvutano wa kidiplomasia, Marekani na Tanzania zilisaini mkataba mkubwa wa afya. Kwa mujibu wa tangazo la Ubalozi wa Marekani la Julai 1, 2026, nchi hizo mbili zilisaini makubaliano ya miaka mitano ya ushirikiano wa afya yenye thamani ya dola bilioni 3.1. Tanzania itawekeza zaidi ya dola bilioni 1.8 katika sekta ya afya, na Marekani inapanga kuchangia zaidi ya dola bilioni 1.3, kulingana na idhini ya Bunge la Marekani. Mkataba huo ulisainiwa Dar es Salaam mbele ya Kaimu Balozi wa Marekani, Jeanne Clark, na Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa. Pia utasaidia kuanzisha Taasisi ya Taifa ya Afya ya Jamii ya Tanzania katika ngazi ya taifa na mikoa. Mazungumzo ya kidiplomasia yameendelea pia. Agosti 3, 2026 jijini Dar es Salaam, Tanzania na Marekani zilikubaliana kuyarejea maombi ya Tanzania kuhusu vikwazo vya viza. Umoja wa Ulaya: Euro Milioni 156 na Jukwaa la Uwekezaji Tume ya Ulaya ilisaini uamuzi Julai 24, 2026, ikiidhinisha Mpango wa Utekelezaji wa Mwaka 2026 wenye mchango wa juu wa EU wa euro milioni 156. Fedha hizo zinagawanywa hivi: euro milioni 129 kwa mnyororo wa thamani wa madini na kilimo, euro milioni 20 kwa uchumi wa kidijitali, na euro milioni 7 kwa kituo cha ushirikiano. Zaidi ya misaada, EU inahamasisha uwekezaji. Jukwaa la Uwekezaji na Biashara EU–Tanzania 2026–2027 lilizinduliwa Dar es Salaam Agosti 20, 2026. Kati ya Septemba 28 na Oktoba 6, 2026, mawaziri na taasisi za Tanzania walizuru Finland, Italia, Uholanzi na Ubelgiji wakinadi miradi 68 yenye thamani ya dola bilioni 30.1 kwa wawekezaji wa Ulaya. Awamu hii itafuatiwa na jukwaa la ngazi ya juu Dar es Salaam mapema 2027. Katika ziara ya Helsinki, EU na Finland zilionyesha nia ya kuwekeza katika madini muhimu na uchumi wa kidijitali wa Tanzania. Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) nayo ilisaini Julai 24, 2026 mradi wa minyororo ya kimkakati ya thamani ya kilimo kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Ujerumani, Uingereza, Norway na Ufaransa Ujerumani: Mkataba wa msaada wa euro milioni 20 (shilingi bilioni 60.7) ulisainiwa Hazina kwa ajili ya kuboresha huduma za maji na usafi wa mazingira katika miji ya Tunduma na Vwawa-Mlowo. Aidha, Agosti 13, 2026 jijini Dodoma, Tanzania na ujumbe wa serikali ya Ujerumani walikubaliana kuimarisha ushirikiano katika biashara, afya, uchumi wa buluu na teknolojia. Uingereza: Shirika la fedha za maendeleo la Uingereza, British International Investment (BII), lilisaini na Benki ya NBC ushirikiano wa zaidi ya shilingi bilioni 40 ili kupanua upatikanaji wa mikopo kwa biashara ndogo na za kati. Mkataba huo ulitangazwa katika Africa CEO Forum 2026 jijini Kigali. Mei 2026 pia, BII na Norfund ya Norway zilitoa kwa pamoja dola milioni 80 kwa Benki ya NMB kwa mikopo ya biashara ndogo na za kilimo. Kisha Agosti 11, 2026, Africa50 ilitangaza mchango wa dola milioni 20 kutoka BII kwa ajili ya kuharakisha miundombinu nchini Tanzania. Ufaransa: Ushirikiano wa Ufaransa umeendelea kuzaa matunda. Februari 2026, TANESCO ilitangaza kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi wa umeme wa jua wa Kishapu, Shinyanga, uliofadhiliwa kwa msaada wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), na megawati 50 zikiunganishwa kwenye gridi ya taifa. Takwimu zinaonyesha kuwa kati ya Oktoba 2025 na Oktoba 2026, Tanzania imeendelea kupokea mikopo, misaada na uwekezaji kutoka Benki ya Dunia, IMF, Marekani, Umoja wa Ulaya, EIB, Ujerumani, Uingereza, Norway na Ufaransa. Hii inaonyesha kwamba nchi bado ni mshirika muhimu wa kiuchumi na kimkakati wa Magharibi. Mjadala halali unaohusu haki za binadamu na utawala bora utaendelea, lakini dai kwamba Tanzania “imetengwa kimataifa” halilingani na ushahidi uliopo.
2
1
84
MtataProMax retweeted
“Kenya is run by a cartel” cc @C_NyaKundiH what is this?
1
15
13
622
Hivi ni kweli? 😂😂 kwamba wenye pumbu ni wawili tu?
4
2
6
886
MtataProMax retweeted
6
24
2,597
MtataProMax retweeted
Khalifa sio mwandishi wa habari guys, hii nitaongea mpaka mate yakauke au aniue na mimi.
Hivi mnajua DOGO KHALIFA kila anayemuhoji lazima afariki akiwa The Citizen yeye alikua mtu wa mwisho kumuhoji Maalim Seif akafariki, Machi 2023 alimuhoji Membe Mei 2023 akafariki, Oktoba 26 alimuhoji Mzee Alute siku 4 baadaye akafariki, kitaalamu kuna kitu BIOLIGICAL Weapon inatumiwa na watu wabaya na kupitia waandishi huwa zinawekwa kwenye MIC, so sisemi anahusika ila @tanpol ianze kumchunguza huyu jamaa
16
13
5
172
46,508
Tufurahi tuhuzunike? Maana huwa wanasema wana haki ya kuchagua wanavyohisi. Sema sisi hatuna roho mbaya kama wao. Mungu ampumzike pema peponi Kaka yake TAL.
8
4
1
5
584